CHADEMA kuwasha moto nchi nzima

CHADEMA kuwasha moto nchi nzima

Kuna sehemu vijijini wakienda watapigwa mawe.. Watu wana hasira dawa hazifiki,ela za maendeleo zimekuwa zikiliwa na wachache,.. JPM kaanza kutumbua majipu wanasimama bila aibu wakiongozwa na mzee wao mamvi,Lissu na wengine wanatetea majipu,Huo ndo upinzani?.. Watu hawadanganyiki tena,ndo maana mamvi alisema Upinzani ukishindwa 2015 itawachukua miaka 50 kuchukua nchi.. UKAWA bye bye
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Kinatarajia kuanza mikutano ya hadhara na ya ndani nchi nzima ili kujenga na kuinua uhai wake kuanzia juni mwaka huu.

Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Mh Daktari Vicent Mashinji alipoongea na waandishi wa habari jiji Dar es salaam.

Chanzo - Mwananchi .

WITO - ni vema CHADEMA ikatumia mikutano hiyo Kuanika ukweli wote kuhusiana na sakata la sukari .

Mungu ibariki CHADEMA , Mungu ibariki UKAWA .
ni vizuri pia makamanda wetu wakatuambia ni lini watawaondoa mafisadi waliopokelewa wakaua ajenda ya chama na sasa chadema haina mwelekeo. haijulikani inasimamia nini kwa sababu imepoka sera ya kusafisha mafisadi.
ni lini na nini kinafanyika ili kumrudisha kiongozi wetu mahiri Dr Slaa baada ya kuwafukuza watuhumiwa wa ufisadi tuliowakopa kutoka vyama vingine.
ni lini chama kitatuambia mapato na matumizi ya chama kwa kipindi chote. tumeshachanga mapesa mamilioni kwa mamilioni lakini hatujui nani kala, nani kazitumia na wapi
kuna mengine meeeengi tutawasubiri mitaani watueleze. hatutamwonea aibu yoyote. viongozi wajiandae na kujibu maswali magumu. wawe wana majibu ya uhakika kama hawana majibu ni bora wasije mitaani. watatupandisha hasira
 
Wakiwasha moto tutawazima kama kawa.

Si ukawa tena?
 
HASHITUI WALA HAIVUTII-- BILA SLAA MMMMM
Mfate canada ukale naye hongo aliyopewa na CCM.

Yo r afool ma friend. Et mtu aliyekuwa anakula mihgo gafla kapata wapi pesa za kwenda kuish canada?
 
Wasisahau kuzungumzia kuhusu rasimu ya katiba ya Tume ya Warioba ambayo hawa wabaka demokrasi waliichakachua na pia wawaombe Watanzania nchi nzima kutoiunga mkono katiba ya wabaka demokrasi nchini.
 
Kuna sehemu vijijini wakienda watapigwa mawe.. Watu wana hasira dawa hazifiki,ela za maendeleo zimekuwa zikiliwa na wachache,.. JPM kaanza kutumbua majipu wanasimama bila aibu wakiongozwa na mzee wao mamvi,Lissu na wengine wanatetea majipu,Huo ndo upinzani?.. Watu hawadanganyiki tena,ndo maana mamvi alisema Upinzani ukishindwa 2015 itawachukua miaka 50 kuchukua nchi.. UKAWA bye bye
Wakija tutawapigia deki barabara na kama kawaida magu akija lazima akutane na oooooooooooh za kutosha kama alizokuwa anakutananazo kipind cha kmpain.
 
CHADEMA Kuna wafuasi wa mzee mamvi(Ulipo Tupo).,Kuna waliokuwa wafuasi wa Dk.Slaa na Sera za kupinga mafisadi (wengi wamehama),na Kuna wanaopinga CCM tu bila hoja maalum(50/50),na Kuna wanaompinga JPM kwasababu binafsi za ukabila,dini etc.. Ukijumlisha na kutoa Kwa awamu hii ya tano,idadi ni ndogo sana,kumbuka CCM ilipata kura nyingi na wabunge kutoka sehemu za watu wa hali ya chini.., Kwa kukosa Sera mpaka kuongelea Sukari suala lililoanza march katikati.,waangalie wasipigwe mawe na wananchi wenye hasira.. Zamu hii hawazungushi mikono tena., subiri uone kama kutakuwa na mafuriko tena,waTZ sio wajinga.. Don't under estimate them!!
 
Watz sio wajinga ndyo maana wengi hawakuipigia CCM kura kama unabisha kamuulize lubuva.
 
Lowasa nae atakuwepo au atamtuma Sumae.
 
Chadema niwaombe mvute subira kufanya mikutano ya hadhara. Ya ndani fanyeni. Hiyo ya nje anzeni mwakani mwezi wa 6.
 
Kuna sehemu vijijini wakienda watapigwa mawe.. Watu wana hasira dawa hazifiki,ela za maendeleo zimekuwa zikiliwa na wachache,.. JPM kaanza kutumbua majipu wanasimama bila aibu wakiongozwa na mzee wao mamvi,Lissu na wengine wanatetea majipu,Huo ndo upinzani?.. Watu hawadanganyiki tena,ndo maana mamvi alisema Upinzani ukishindwa 2015 itawachukua miaka 50 kuchukua nchi.. UKAWA bye bye
Kwa mfano ni kijiji gani unachokifahamu wewe ambacho kimepelekewa dawa kwa sababu majipu yametumbuliwa ?
 
Chadema niwaombe mvute subira kufanya mikutano ya hadhara. Ya ndani fanyeni. Hiyo ya nje anzeni mwakani mwezi wa 6.
Unaogopa nini wakati miezi 6 imeisha kukiwa hakuna lolote ?
 
Kuna sehemu vijijini wakienda watapigwa mawe.. Watu wana hasira dawa hazifiki,ela za maendeleo zimekuwa zikiliwa na wachache,.. JPM kaanza kutumbua majipu wanasimama bila aibu wakiongozwa na mzee wao mamvi,Lissu na wengine wanatetea majipu,Huo ndo upinzani?.. Watu hawadanganyiki tena,ndo maana mamvi alisema Upinzani ukishindwa 2015 itawachukua miaka 50 kuchukua nchi.. UKAWA bye bye
Acha kubwabwaja hapa Magu mwenyewe ni jipu
 
Jipu ni fisadi EL najua wazungusha mikono a.k.a nyumbu bado mna imani nalo., lenyewe limeshasanda na mwisho wa Siku mtabaki 2% nchi nzima,watu wameshawashtukia na zigo lenu hilo
 
Back
Top Bottom