Sasa hivi wamekosa sera,wamebaki kupinga kila kitu,muda sio mrefu wataanza kuishi Kwa kutegemea matukio,. Ndo maana wanakomalia sukari,Hata walipoambiwa imeletwa Jana wanasema sio kweli.,ili wazunguke nchi nzima kuongelea kitu ka sukari.. UKAWA gone with the wind

Chadema niwaombe mvute subira kufanya mikutano ya hadhara. Ya ndani fanyeni. Hiyo ya nje anzeni mwakani mwezi wa 6.
ili?akili za lumumba ambapo ndo amefikia ukomo wa kufikiriaWastage of resources eti waanike ukweli kuhusu sukari sijui uchaguzi oooh bunge poor people. badilisheni strategy zile zama za kudanganya wabongo zishapitwa na wakati
To be dishonest CCM is awesome!😀To be Honest...CHADEMA ishatuchosha
Aitoe wapi CCM oyeeMbowe atutolee video ya shambulizi la bomu kwenye mkutano wa chadema alilodai kua lilifanywa na polisi kule Arusha.
Kama hana basi atafute namna ya kujijipima kwa kuudanganya umma .
Be honest politically that is what it is kwa pamoja na Magufuli ndio kiongozi tunaemtakaTo be dishonest CCM is awesome!😀
Nitakupa mfano wa kuku........Hivi kesi ya Lugumi imeishia wapi??
Hakuna jipya hapoChama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Kinatarajia kuanza mikutano ya hadhara na ya ndani nchi nzima ili kujenga na kuinua uhai wake kuanzia juni mwaka huu.
Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Mh Daktari Vicent Mashinji alipoongea na waandishi wa habari jiji Dar es salaam.
Chanzo - Mwananchi .
WITO - ni vema CHADEMA ikatumia mikutano hiyo Kuanika ukweli wote kuhusiana na sakata la sukari , Ajenda ya KATIBA YA WARIOBA na TUME HURU YA UCHAGUZI vishikiwe bango .
Mungu ibariki CHADEMA , Mungu ibariki UKAWA .
Wenzio akina kisena , lugumi etc wanapiga hela za bure , wewe masikini wa Mungu umebaki kuvishwa fulana za kiwango cha chini kutoka jamhuri ya watu wa china ! Unatumikishwa bila hata kujua .Aitoe wapi CCM oyee
Subiri moto uwashwe kudadeki ! Hapo ndio utaitambua chadema ni nini ?Hakuna jipya hapo
Piga ua CCM ndiye baba, CCM ndiye mama; hakuna mtu atakayejimilikishia chama huo msimamo auhami leo wala kesho kwa maslahi mapana na atakaye amini vinginevyo atapigwa tu awe nani (hiki sio chama cha mtu au group, bali chama cha watu).