CHADEMA kuwasha moto nchi nzima

CHADEMA kuwasha moto nchi nzima

Moto wa kutetea wahujumu uchumi!
 
Ikumbukwe kwamba chai ndio kinywaji namba 2 ambacho masikini anaweza kukimudu , kupiga marufuku sukari kutoka nje wakati hatuna sukari ya kutosha ni kulazimisha umaarufu wa bure .
Dah... nani kapiga marufuku?
 
CHADEMA haiwezi kufika popote kwa mtindo huu wa kudandia hoja zinazokuwa kwenye maongezi ya kipindi fulani. Wakae chini na kuingia na strategy ambayo itawaonyesha watu kwamba pamoja na kuondoka kwa Dr. Slaa, pamoja na kushindwa kwenye uchaguzi mkuu, bado wanastahili kusikilizwa na kuheshimiwa.

CHADEMA wajipange kweli, kwa sababu Rais Magufuli ni msikivu kwa anachoambiwa haswa na watu wa hali ya chini. Licha ya ukali alionao bado anajitambulisha kama mtetezi wa wanyonge. CHADEMA wawe wa kwanza kuutambua ukweli huo na kujipanga kwa kubuni mikakati mizito zaidi ya siasa za mihemko.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Kinatarajia kuanza mikutano ya hadhara na ya ndani nchi nzima ili kujenga na kuinua uhai wake kuanzia juni mwaka huu.

Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Mh Daktari Vicent Mashinji alipoongea na waandishi wa habari jiji Dar es salaam.

Chanzo - Mwananchi .

WITO - ni vema CHADEMA ikatumia mikutano hiyo Kuanika ukweli wote kuhusiana na sakata la sukari .

Mungu ibariki CHADEMA , Mungu ibariki UKAWA .

Sio sukari tu, hata udhaifu wa uongozi wa JPM.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Kinatarajia kuanza mikutano ya hadhara na ya ndani nchi nzima ili kujenga na kuinua uhai wake kuanzia juni mwaka huu.

Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Mh Daktari Vicent Mashinji alipoongea na waandishi wa habari jiji Dar es salaam.

Chanzo - Mwananchi .

WITO - ni vema CHADEMA ikatumia mikutano hiyo Kuanika ukweli wote kuhusiana na sakata la sukari .

Mungu ibariki CHADEMA , Mungu ibariki UKAWA .
Kwa akili yako suala la sukari bado ni mongwa? Kweli kazo ipo nchi hii kwani watu hawafuatilii matulio.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Kinatarajia kuanza mikutano ya hadhara na ya ndani nchi nzima ili kujenga na kuinua uhai wake kuanzia juni mwaka huu.

Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Mh Daktari Vicent Mashinji alipoongea na waandishi wa habari jiji Dar es salaam.

Chanzo - Mwananchi .

WITO - ni vema CHADEMA ikatumia mikutano hiyo Kuanika ukweli wote kuhusiana na sakata la sukari .

Mungu ibariki CHADEMA , Mungu ibariki UKAWA .
Nashauri wajikite vijijin mikutano yao ili wajulikane zaidi. Mjin hakuna noma muda huu
 
Chadema bhana mizengwe kibaoooo!! Mmesahau katiba mmeanza kulilia sukari!!!?? Mmmh chama kisicho na falsafa elekezi hutegemea matukio ndipo kipate la kusema.
Sukari imeagizwa mpaka muanze mikutano yenu tayari Sukari haitakuwa ishu teeena
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Kinatarajia kuanza mikutano ya hadhara na ya ndani nchi nzima ili kujenga na kuinua uhai wake kuanzia juni mwaka huu.

Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Mh Daktari Vicent Mashinji alipoongea na waandishi wa habari jiji Dar es salaam.

Chanzo - Mwananchi .

WITO - ni vema CHADEMA ikatumia mikutano hiyo Kuanika ukweli wote kuhusiana na sakata la sukari .

Mungu ibariki CHADEMA , Mungu ibariki UKAWA .
Acheni kwenda na matukio, vipi kama swala la sukari litakuwa limekawa sawa hadi Juni, je mikutano hiyo itumike kufanya nini?
 
Moto uliowashwa na cdm kufikia uchaguzi uliopita ulitutisha wengi. Mmoja tu hakutishika nao na kuuita moto wa mabua. Ni Kikwete. Nasubiria moto utakaowashwa safari hii ataubatiza moto wa aina gani. Je aliyedai ccm imeishiwa pumzi atakuwepo? Au ndo yeye kaishiwa pumzi? Na comedian Duni Haji atakuwepo? Au ndo kaishia mazima? Tunawasubiri tuwashangae.
Chadema ni maigizo na SACCOS ya wajanja wachache, wengi wanafikiri chadema wanaweza kuleta maisha bora.. Kitu ambacho hakipo kabsa
 
niwe mkweli:
a)mimi kama mwanasiasa,nasema magufuli alikuwa na pigo la mwisho la kuiua ukawa na hasa chadema,ila ameremba sana,mwishowe alipo amua kuwa piga chadema wamekwepa na juni wanaanza kuinuka!
b)niwe,mkweli upinzani ulikuwa mahuti,iliktwa ni kazi kidogo ya magufuli,kuuchomoa mpira oksijeni na hivyo kuwa futilia mbali upinzani,ila mpira ummeteleza wakati anauvuta na mgonjwa kazinduka na juni anaanza kukimbia tz nzima!
c)isinge kuwa sukari,upinzani nguvu hii wangeitoa wapi?
d)hivi isingekuwa blunder la nape,upinzani wangeongea nini?
e)isingekuwa lugumi,egma,kesi ya kitlya and others,upinzani ungekuma historia!
Magufuli Ameichezea SARAFU,ACHA IDONDOKEE CHOONI!
MPAKA TAREHE 27/02/16 UKAWA WALISHA POTEANA!LUGUMI,WANANCHI HAIWAGUSI MOJA KWA MOJA,ILA 28/02/16 MPAKA LEO,NDIO IMEWAPA NGUVU UKAWA,KWANI SUKARI IMEMUGUSA HATA MPIKA GONGO...
Magufuli:Jilaumu Mwenyewe!
 
Kwanza ukiwa muludshe ile list ya mwembe yanga ndio tutawaamin tena
 
Wasubiri wakati wa kampeni maana Rais mpya yuko kwenye kurekebisha vichwa vilivyo jaa uchafu wa kuwaibia watanzania.
Kama chodoma itaanzisha siasa zao tutaamini yanayosemwa kuwa ni sehemu ya waharibifu huo na kumkwamisha mkuu wa nchi.
Kilichopo sasa ni kazi ya kuinua maisha ya watanzania siyo kuwapotezea muda watanzania.
Diranqw!!!.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Kinatarajia kuanza mikutano ya hadhara na ya ndani nchi nzima ili kujenga na kuinua uhai wake kuanzia juni mwaka huu.

Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Mh Daktari Vicent Mashinji alipoongea na waandishi wa habari jiji Dar es salaam.

Chanzo - Mwananchi .

WITO - ni vema CHADEMA ikatumia mikutano hiyo Kuanika ukweli wote kuhusiana na sakata la sukari .

Mungu ibariki CHADEMA , Mungu ibariki UKAWA .
HIVI HILI GENGE BADO LINA EXIST! kambare katika ubora wao!
 
Tuliyekuwa tunamtafuta! tumepata copy yake, baada ya chodoma kumtelekeza original.
HAPA KAZI TU.
 
Tuliyekuwa tunamtafuta! tumepata copy yake, baada ya chodoma kumtelekeza original.
HAPA KAZI TU.
 
niwe mkweli:
a)mimi kama mwanasiasa,nasema magufuli alikuwa na pigo la mwisho la kuiua ukawa na hasa chadema,ila ameremba sana,mwishowe alipo amua kuwa piga chadema wamekwepa na juni wanaanza kuinuka!
b)niwe,mkweli upinzani ulikuwa mahuti,iliktwa ni kazi kidogo ya magufuli,kuuchomoa mpira oksijeni na hivyo kuwa futilia mbali upinzani,ila mpira ummeteleza wakati anauvuta na mgonjwa kazinduka na juni anaanza kukimbia tz nzima!
c)isinge kuwa sukari,upinzani nguvu hii wangeitoa wapi?
d)hivi isingekuwa blunder la nape,upinzani wangeongea nini?
e)isingekuwa lugumi,egma,kesi ya kitlya and others,upinzani ungekuma historia!
Magufuli Ameichezea SARAFU,ACHA IDONDOKEE CHOONI!
MPAKA TAREHE 27/02/16 UKAWA WALISHA POTEANA!LUGUMI,WANANCHI HAIWAGUSI MOJA KWA MOJA,ILA 28/02/16 MPAKA LEO,NDIO IMEWAPA NGUVU UKAWA,KWANI SUKARI IMEMUGUSA HATA MPIKA GONGO...
Magufuli:Jilaumu Mwenyewe!
Ulitia shaka bure tu , ccm haijawahi kubadilika na wala haitakuja kubadilika .
 
Back
Top Bottom