CHADEMA kuwasha moto nchi nzima

CHADEMA kuwasha moto nchi nzima

mimi bado na shida na siasa ya vyama vyetu bila kujali ni chama gani ni kama chadema kupeleka mamia ya mamilion kwenye uchaguzi wa marudio wa CHALINZE ccm kupeleka mamilioni kwenye uchaguzi wa marudio wa ARUMERU way back .kuna vyama hawana hata makao makuu ya office wamepanga unaenda kutumia milion mia kadhaa sehemu ambayo unajua haushindi ?

Ni jambo nalifuatilia sana sipati sioni mantiki ya wanasiasa kusema wanajali raia
mkuu hivi lile jengo pale ufipa la nan? isije kuwa la mmoja wa viongozi jamaa huwa anavuta pesa kila mwezi? halafu walisivyo na aibu wakapanga tena mbele , halafu leo wanakuja na swaga za kuwasha moto,...

siasa za mpira hzo waache....

na jambo ambalo najiuliza mpaka leo, edo wanamualika kwenye mkutano kama mwenyekiti, mjumbe, au mgombea wa cdm? kwel pesa yake iliwavuluga kabisa..

rejeen maneno ya duni mtaijua cdm ipoje....
 
Kwa mfano kuhusu upungufu wa sukari ni wapi CHADEMA wamekudanganya ?

Kuhusu sukari lengo la president lilikuwa kulinda wakulima wetu wa miwa na kulinda viwanda vyetu vya sukari, wafanyabiashara wasiowaaminifu wakaamua wafiche sukari ili watumie mwanya huo kupata double profit.............sasa niambie kwenye hili unataka uzunguke nchi nzima utuambie nini? Ili iwasaidie nini wananchi?
 
Nje ya Magu na vyombo vya usalama hakuna CCM hili liko wazi kabisa. Huu mdomo mreeefu wa vijana wa lumumba wenye ID fake zaidi ya 100 humu tunajua hauna tija yoyote.
Mioyo ya watu wengi iko kwa upinzani ushahidi ni jinsi mlivyonyolewa zanzibar na sehemu zote muhimu hapa Tanzania bara, na sababu wameshawadhalilisha wafanyakazi wa serikalini vya kutosha awamu hii, wasubiri mapigo yake uchaguzi ujao. Wao wapambane na Katiba na tume huru. Manake imani kidogo tuliishaanza kumpa Magu naona kama nae hana jipya.
 
mkuu hivi lile jengo pale ufipa la nan? isije kuwa la mmoja wa viongozi jamaa huwa anavuta pesa kila mwezi? halafu walisivyo na aibu wakapanga tena mbele , halafu leo wanakuja na swaga za kuwasha moto,...

siasa za mpira hzo waache....

na jambo ambalo najiuliza mpaka leo, edo wanamualika kwenye mkutano kama mwenyekiti, mjumbe, au mgombea wa cdm? kwel pesa yake iliwavuluga kabisa..

rejeen maneno ya duni mtaijua cdm ipoje....
Edo ni htareee mpaka leo bdo anawaumiza vichwa yan mkimuona kwenye mikutano mnaanza jijambia wakat hta jamaa haongei chochote.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Kinatarajia kuanza mikutano ya hadhara na ya ndani nchi nzima ili kujenga na kuinua uhai wake kuanzia juni mwaka huu.

Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Mh Daktari Vicent Mashinji alipoongea na waandishi wa habari jiji Dar es salaam.

Chanzo - Mwananchi .

WITO - ni vema CHADEMA ikatumia mikutano hiyo Kuanika ukweli wote kuhusiana na sakata la sukari , Ajenda ya KATIBA YA WARIOBA na TUME HURU YA UCHAGUZI vishikiwe bango .

Mungu ibariki CHADEMA , Mungu ibariki UKAWA .
Na waweke wazi Lowasa alivyokuja Chadema, sakata la Dr Slaa alivyoondoka. Uchaguzi wa wabunge wakuchaguliwa.
 
Back
Top Bottom