CHADEMA Kutingisha Morogoro

CHADEMA Kutingisha Morogoro

poa kaka kwani huyo bwa mdogo namjua ni jembe sana,ningependa nimsikilize ana lipi jipya na anatuambiaje cc vjana wenzie kuhusu magamba ukizingatia kabla ya kuja huku wa majembe sie alikuwa huko
 
poa kaka kwani huyo bwa mdogo namjua ni jembe sana,ningependa nimsikilize ana lipi jipya na anatuambiaje cc vjana wenzie kuhusu magamba ukizingatia kabla ya kuja huku wa majembe sie alikuwa huko
Mpaka ninayejua ameondoka kwa maandalizi ya mashambulizi ya Iringa ni Mbunge wa Iringa. Lakini subiri.
 
aaaaaaah,mchungaji mwesigwa,daaaaa,kitawaka mjini,jamaa anaongea kwa points vibaya,magamba yameshikwa vibaya,magari yenye machata ya M4C yanawachanganya sana hapa mjini,cjui mbunge wao abood atakuwa na hali gani
 
aaaaaaah,mchungaji msigwa,daaaaa,kitawaka mjini,jamaa anaongea kwa points vibaya,magamba yameshikwa vibaya,magari yenye machata ya M4C yanawachanganya sana hapa mjini,cjui mbunge wao abood atakuwa na hali gani
 
CDM ina vichwa vingi sana, hivi tu tumeshatoka kuvua gamba mtu mkubwa wa CCM hapa Morogoro. Sijui kama Muda utatosha. Yaani kuna watu wengi wa CCM wanarudisha mikadi ya gambaz.
 
Kesho tarehe 27 August 2012, Jumatatu, saa tano na kuendelea, tutaanza kwa maandamano, halafu mkutano mkubwa. Umenielewa mkuu.

Mtu asipokua makini hatoweza kwenda sambamba na JF.
 
People power ni kubwa kuliko sisi wachache tunaochapa jalamba katika mitandao; hali ni tete kabisa kwa magamba sio kawaida; they are fully locked up
Leo kwa mara ya kwanza Magamba walikuwa wanakula kona hata wakiona skafu CDM tu. Jamani sisi si wagomvi, nimeshangaa sana.
 
At last this is the day that we have been waiting, it has come.
 
Kumekucha, tuendelee kujuzana yanayojili.
 
Hatimaye ile siku iliyokua ikisubiriwa kwa hamu na wana Morogoro imewadia leo, M4C itawasha moto leo Morogoro mjini kwa maandamano yatakayoanzia Msamvu na kuhitimisha na mkutano mkubwa wa adhara utakao hutubiwa na viongozi wa Chadema taifa na wabunge kadhaha wa kadhaha!

Hamasa ni kubwa sana mjini Morogoro asubuhi hii na wale wazee wa intelenjisia nao wako tayari kuhakikisha mambo hayaendi sivyo ndivyo, nimepita hapa kituo kikuu cha polisi Morogoro naona wapo kibao wakijiandaa kuhakikisha amani itakuwepo, najua asilimia kubwa ya vijana wa itelijensia nao ni supporters wa M4C..

Ili ni nalo ni sehemu ya pigo la mwisho kwa CCM kwa vile Moro ilikua ni moja ya ngome yao,lakini sasa imebaki historia,nadhani ngome ya c.c.m imebaki Dodoma tu sasa
 
Hapa najiandaa kwenye Msamvu kwa maandamano japo habari zilizopo ni kuwa maandamano yamepigwa marufuku.....nitawajuza yatakayojiri. Picha mnielekeze tu jinsi ya kutupia camera inachargiwa hapa. Hakika hamasa ni kubwa mno .......Abood leo ndio atajua kuwa M4C ni nomaa
 
Una uhakika polisi hawajazuia haya maandamano? Check your sources.
 
maandamanao yamezuiliwa mgoshi!! nipo morogoro sijui kitatokea nini leo Mungu tusaide
 
Nipo hapa fire najiandaa kuzuka msamvu kwa ajili ya maandamano ya M4C.

Peopes.............Power.............!
 
Hapa najiandaa kwenye Msamvu kwa maandamano japo habari zilizopo ni kuwa maandamano yamepigwa marufuku.....nitawajuza yatakayojiri. Picha mnielekeze tu jinsi ya kutupia camera inachargiwa hapa. Hakika hamasa ni kubwa mno .......Abood leo ndio atajua kuwa M4C ni nomaa

Abood jana nimemuona kwenye tv yake analialia tu,hata alicho ongea hakieleweki,tv yake nayo haipo kwa ajili ya habari zenye coverage ya vitu vyote,bali kwa ajili yake na habari za c.c.m tu,ameshndwa kujifunza kwa mwenzie Diallo ambae ameipa uhuru station yake ya Star Tv ifanye itakavyo!no wonder Abood tv ni ya miaka mingi lakini imekuja kupitwa na tv zilizoanzishwa baada ya Abood!
 
Wakuu hebu 2peni habar za uhakika kama maandamano yatakuwepo ama hayatakuwepo ili 2jue 1.
 
Back
Top Bottom