Kuna tetesi kua maandamano yamepgwa marufuku ila mkutano upo pale pale,siku zote dola iliyotawala kwa dhuluma,uongo uongo,kuwapumbaza wananchi,siku zinapofika kua inakaribia kudondoka kwa vile wananchi wamebumburuka na kugundua kua dola hiyo ni dhalimu,uwa inatumia nguvu kubwa mno kudhibiti vitu vidogo!wanashndwa kuamini ile kauli ya Mwalimu Nyerere kua "risasi na silaha zenu zote hazitatosha pindi wananchi wakiamua"