MATATA2011
Member
- Dec 11, 2011
- 20
- 2
Hali inaonyesha kuwa vijana wengi na wazeee hasa wale waliokuwa vyama vya CCM na CUF wamehama vyama hivyo na kukiunga mkono CDM. Mfano mmoja wapo ni pale Tawi moja wapo lililokuwa na washabiki wa chama cha CUF karibu na BUSH BAR...SUA ROAD limebadilika na kuwa CDM.kama upo morogoro pita hapo utaona mwenyewe. Pia kwa mjibu wa kijana mmoja hivi yeye anakaa chamwino anadai kuwa nyumbani kwao kulikuwa na shina la CCM..hivo shina hilo nalo limebadilika na kuwa CDM. Jamani haya ni maneno ya kweli...Ngome ya CCM sasa inakwenda alijojo.....nawakilisha.