CHADEMA Kutingisha Morogoro

CHADEMA Kutingisha Morogoro

Ngoja niende kutafuta vikao sasa vilipo nitawajuaza yanayojiri....maana sisi ndio wadau wa Moro! au kama kuna mwenye taarifa kwasasa wapo wapi ili nisiunguze mafuta.

Kwa sasa wanamalizia hapa maeneo ya Kolla B,wakitoka hapa wataenda Kichangani na kola,ila team za makamanda zimetawanyika katika maeneo mbalimbali,so mwenye kujua kuhusu maeneo mengine atujuze
 
You might be the definition of 'mnafiki'
unajua hiyo? jmushi1, njoo kaka-shemeji, i dont want stalkers!
mpotezee huyo si level yako.Hao ni wale waliovimbiwa dawa yao iko jikoni.Usijadiliane na mtu asiyejuwa mjadala ni wastage of time.Mpotezee dada-shemeji.
 
Last edited by a moderator:
mpotezee huyo si level yako.Hao ni wale waliovimbiwa dawa yao iko jikoni.Usijadiliane na mtu asiyejuwa mjadala ni wastage of time.Mpotezee dada-shemeji.

Nafikiri uko sawa kaka-shemeji. Huyu anatafuta umaarufu kwa kupitia mgongo wangu (source: wema sepetu).
natumaini uko na wknd nzuri. Msalimie nanihii.
 
Nafikiri uko sawa kaka-shemeji. Huyu anatafuta umaarufu kwa kupitia mgongo wangu (source: wema sepetu).
natumaini uko na wknd nzuri. Msalimie nanihii.

Kweli hastahili.Salam zimefika.Na wewe fikisha za kwangu kwa uwapendao...
 
Nafikiri uko sawa kaka-shemeji. Huyu anatafuta umaarufu kwa kupitia mgongo wangu (source: wema sepetu).
natumaini uko na wknd nzuri. Msalimie nanihii.

Wewe una umaarufu gani humu JF mie nitafute umaarufu kwako kweli kauzu ni zaidi ya dagaa...kwanza mie na wewe wapi na wapi.

"Ficha Upumbavu wako" Source Ivizibo.
 
Wewe una umaarufu gani humu JF mie nitafute umaarufu kwako kweli kauzu ni zaidi ya dagaa...kwanza mie na wewe wapi na wapi.

"Ficha Upumbavu wako" Source Ivizibo.

:loco::loco::loco::loco:
:croc:
:croc:
 
Kweli hastahili.Salam zimefika.Na wewe fikisha za kwangu kwa uwapendao...

Thanks mkuu. Dah, wako mbali kweli, ndo napoteza muda kujibishana na wehu!
Haya bwana, ngoja tuanzishe biashara ya kushonesha kulee na Kongosho. Namuombea ruhusa kabisaa, tunataka kwenda China na sie tutoke kimtindo.
 
Last edited by a moderator:
sorry makamanda nimeshindwa kuwaletea picha kwa kuwa nilikuwa busy mno ,,,kwa ufupi kwenye kata ya Kilakala mambo yameenda vizuri tulikuwa na Makamu mwenyekiti Taifa..... Mambo yameenda sawa na tunatarajia mkutano wa hitimisho utafanyika jumatatu alasiri
 
Moderator your work is so good, God bless you.
 
Haya ndio mambo yaliyokuwa yakingojewa Moro.. Jamani Moro sasa inafunguka. Duhhh
 
Ccm anzeni kuchukua vilivyo vyenu na mpige picha ikulu kama kumbukumba maana kuna kila ishara kuwa mna ngoka 2015..
 
Back
Top Bottom