Wenge una faida gani kwa mtanzania? halafu ni miaka 50 ya uhuru wa Tanzania bara au Tanganyika maana CCM hawataki kabisa kusikia jina Tanganyika sijui imekuwaje wewe umethubutu kuandika neno Tanganyika....Waungana katika pitapita zangu nimegundua wana CDM hawafurahi TZ kusheherekea miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika.
Dalili zimejoinyesha;-
1. Viongozi wao katika ngazi zote kutoshiriki vikao vya maandalizi ya Mwenge wa Uhuru
2. Viongozi wao kushindwa kushiriki kuukimbiza mwenge ulipofika katika maeneo yao; mfano Ubungo (mhe.Mnyika) na Kawe (mhe. Mdee ).
3. Wabunge wao wameshindwa kushiriki katika vikao vya maandalizi ya miak 50 ya uhuru pasipo kutoa udhuru.
Watanzania inabidi tutumia akili ya mbaimbawi tuwahukumu CDM katika masanduku ya kura kuanzia uchaguzi wa serikali za mitaa 2012 na tuwape kichapo kikubwa uchaguzi mkuu 2015. Hawa wamekosa uzalendo, wamebaki kushabikia sera za Mfadhili wao David Cameroon.
hahahahaa...mafilili yake yana muwasha......kikwetu Mafilili maana yake makalio. Yaelekea nawe mtoa maada haufikirii kwa kutumia kichwa,bali unafikiri kwa kutumia makalio a.k.a. masaburi. Kuna faida gani kutumia mamilioni ya pesa za wananchi kukimbiza mwenge huku nchi ikiwa gizani bila umeme?
Hii ni fursa pekee kwa watz kujiuliza, kutafakari pale tulipojikwa na kupata mkakati wa kitaifa, TUZIDI kusonga mbele.
Mwaka 1961, graduate walikuwa 12, leo wapo mitaani hawana idadi wengine wanatumika pasipo kujitambua kushiriki maandamano ya CDM; tuwe waungwana tujitambue maendeleo yamepatikana.
Leo watoka Mwanza hadi DSM siku moja.
UDOM ni ishara ya maendeleo katika elimu
Powertillers kwa wakulima walioingia katika KILIMO KWANZA
Majibu ya kuboresha miundombinu ya elimu yameshapatikana. Chenji za rada zinaenda kutatua matatizo ya elimu ikiwepo kununua madawati na ujenzi wa nyumba za walimu. Shime tujiunge pamoja watz tuondoe tofauti za vyama TWENDE KUSHEREKEA MIAKA 50 YA UHURU KUENZI kazi iliyofanywa na waasisi wa nchi!!!
Miaka hamsini ni kwako mkuu unayefaidi keki ya uhuru, sisi wengine bado tunatafuta uhuru wa kweli na si uhuru wa bendera! Haingilii akilini mnasherekea miaka hamsini ya uhuru huku umasikini, ujinga na maradhi vinazidi kutuundama na waandaaji wa sherehe hizo wanaficha uozo kwa kuupaka perfume!
Unakaa sehemu gani ya Tanzania wewe? CDM kutoenda ni haki kabisa, huwezi kupoteza billions of money wakati akina mama wanajifungulia chini, watoto wanakalia mawe, 12km kutoka magogoni hamna maji ya bomba, miundombinu duni na rasirimali za nchi zikiporwa eti mnasherekea miaka hamsini ya uhuru! Inabidi tuomboleze maana miaka hamsini ya uhuru taifa linazidi kujichimbia kaburi chini ya wakoloni weusi ccm! Heri yako usiyoyaona haya!
Naona umejipanga kutojibu hoja!!!!!!!!!!!!!!Hii ni fursa pekee kwa watz kujiuliza, kutafakari pale tulipojikwa na kupata mkakati wa kitaifa, TUZIDI kusonga mbele.
Mwaka 1961, graduate walikuwa 12, leo wapo mitaani hawana idadi wengine wanatumika pasipo kujitambua kushiriki maandamano ya CDM; tuwe waungwana tujitambue maendeleo yamepatikana.
Leo watoka Mwanza hadi DSM siku moja.
UDOM ni ishara ya maendeleo katika elimu
Powertillers kwa wakulima walioingia katika KILIMO KWANZA
maneno yako unaonyesha aidha ni mrundi ama una hasira za kukosa kuingia jumba la magogoni mwaka jana. Wewe kama ni mtz, utatembea kifua mbele kutokana na mafanikio ya miaka 50, sikulaumu sana kwa vile umri wako ni mdogo yaliyotokea baada uhuru huoni ni ya kujivunia.
Jaribu kukaa kitako na mama yako muulize kabla ya uhuru wao walizalishwa maeneo gani. Wewe hauna shukrani, umezaliwa zahanati, umeshoma shule ya msingi na sekondari bora.
Tujipongeze watz, tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele!!!
Waungana katika pitapita zangu nimegundua wana CDM hawafurahi TZ kusheherekea miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika.