CHADEMA kususa uchaguzi mdogo wa madiwani wanatuma ujumbe gani kwa umma, Serikali na Jumuiya ya Kimataifa?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,181
11,605
Ladies and Gentlemens, salaam

Hivi karibuni, Chama cha Demokrasia na Maendeleo -Chadema, Kimetangaza rasmi kutoshiriki uchaguzi mdogo kata 14 humu nchini, uchaguzi ambao utafanyika mapema mwezi July 2023. Ni hatua na ni jambo jema, na la Kidemokarasia lakini pia ni haki kwa vyama kushiriki au kutoshiriki chaguzi na michachakato mbalimbali kulingana na maazimio ya vyama husika na huo ni ukomavu wa Kidemokarasia wa kiwango cha Kati.

Hatua hii imekuja baada ya kutolewa hukumu na Mahakama ya Africa majuzi kwamba Wakurugenzi wa wilaya na Halmashauri nchini hawakustahili na hawastahili kuwa wasimamizi wa uchaguzi wowote humu nchini. Wao wasimamie miradi ya maendeleo pekee.

Kwa ukubwa, uzoefu, ukongwe na intelijensia ya taasisi hii, kugomea uchaguzi huo kuna lenga kutuma salamu, lakini pia kutuma ujumbe, na kuujulisha Umma, Serikali na Jumuiya za kimataifa kwamba kususa huku kunalenga:-

1. Kujitenga kabisa na failure na blunders za serikali iliyopo Madarakani ktk ngazi zote za uongozi ktk nchi ili kuepuka kuwa sehemu lawama kutoka kwa wananchi hapo baadae. Rejea udhibiti wa serikali na Chama tawala uchaguzi 2020.

2 . Kupaza sauti na kusisitiza kutokuridhishwa kwake na namna ambavyo serikali inaongoza nchi hususani katika masuala ya chaguzi, mikataba n k. Kumbuka, kususia jambo ni namna mojawapo kati ya nyingi ya kupaza sauti na kutaka kusikilizwa na hatimae kutekelezewa Jambo unalohitaji.

3. Kujiweka kando na kuhofia kudhalilishwa, kugalagazwa na kushindwa vibaya sana na vyama shiriki, chipukizi na vigongwe vinavolenga kujiimarisha zaidi kwenye uchaguzi huo mdogo na muhimu sana kwayo.

4. Kuufahamisha Umma kuwa Chama hakina fedha kwaajili ya mchakato wa kumpata mgombea na kumfadhili yeye na kufadhili kampeni nzima japo ni chini ya siku15 tu. Inawezekana mfukoni patupu wanajikusanya kwaajili ya Dec.2024 serikali za mtaa.

5. Kuufahamisha Umma kuwa Chama hakina hoja na sera nyingine kwasasa zaidi ya Katiba mpya na hivyo sera mbadala na za Msingi za kunadi maeneo hisika kwa sasa hakuna na hivyo inaweza kua fedheha kwa chama ni bora kukaa pembeni na kujipanga. Labda ule moto wa sera za kishindo umekata kidogo hivyo wamejifungia wanajiformat upya ili waje na come back moto moto. Hoping to see that again.

6. Kuufahamisha Umma kuwa Chama hakina mgombea makini na mwenye sifa za ziada kupambana na kuwashinda kwa kishindo, wagombea hodari wa vyama chipukizi, machachari na vikongwe ktk uchaguzi huo. Kumbuka marufuku ya mikutano ya kisiasa ilifanya wanasiasa walipotezana maboya, leo hii ni changamoto kubaini nani ni nani, ana nguvu kiasi gani wapi au eneo gani. I think jamaa wapo bize kujioorganize ili wajuane tena na waje kivingine. Waiting for that joh.

7. Kuufahamisha Umma kua Chama Kinataka kuonyesha msimamo wake thabiti kwa serikali, Umma na Jumuiya za kimataifa kwamba utaratibu wa uchaguzi Tz sio mzuri na hauna usawa na hivyo hauwezi kuwa huru, wazi, na wa haki na kupelekea kuzalisha viongozi wasio halali na wasio na sifa za uongozi kisheria.
This is my take

Kwa hayo machache na Mengi, hadi baadaeeee.

Ppeopleezzzzzzzzz🤞💪
 
Ppeopleezzzzzzzzz
Wamekula ruzuku hawana hata mia

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mtu au chama kinachojitambua kitaendelea kushiriki hizi chaguzi za kihayawani. Mnaooana hizo chaguzi zina maana endeleeni, lakini wananchi wameshapuuza huo ujinga. Kama mlitarajia mtaendelea kupora chaguzi zetu, na watu waendelee kushiriki katika mazingira hayo hayo, basi mmepoteza.

Hata cdm ikishiriki wao kama chama, sisi wananchi tumeshapuuza rasmi huo upuuzi uitwao uchaguzi. Tegemeeni idadi ndogo sana ya wapiga kura kama salamu, kuwa hatuko tayari kufanywa wajinga na chama cha Mapinduzi ambacho tumeshakichoka. Machafuko au mapinduzi ndio yatarejesha imani ya box la kura hapa nchini.
 
Hapo matokeo tayari wanayo kabla hata ya uchaguzi mwenyewe
 
Back
Top Bottom