Sometimes ingekuwa bora kama ungechangia threads za members wengine pia.
Acha uselfish. Tutakuwa tunachangia tuu threads zako mpaka lini?
Be interactive.
Kwa shilingi 2000 za kitanzania unaweza ukapata hukumu na proceeding zote za kesi.
Hebu nenda kaombe ya kesi ya Lema Arusha. Utachanganyikiwa ndugu yangu. Omba na ya juzi ya segerea utachoka!! Tatizo ni mhimili wa mahakama kuingiliwa na DOLA. Miye nadhani ungeleta UZI wa madhara yanayoweza kutokea kama hali hiyo ikiendelea. Ni KWELI bila utawala wa sheria hakuna utawala au NCHI HAITAWALIKI.
Nipo hapa Nairobi wanaapisha upya majaji na wanafuatilia historia za maamuzi waliyofanya na wengine wakubwa kabisa wamefukuzwa!!. Mchakato huu uko Objective kwa sababu dola imewekwa kando na wachambuzi wanatoka sehemu mbalimbali za dunia.
Swali je mchakato ukija kwetu ni Jaji yupi atakapona? Jaji mkuu aliyepita Augustino Ramadhani amekiri waziwazi amewahi kushinikizwa na dola kufanya maamuzi ya kuipendelea DOLA!!
Acha kutoa pumba.... Huna chochote-si-lolote!!! Redi NY mshikaji tuendelee kusukuma box ooop kuendesha malori. Huiwezi siasa weee... Elimu huna umebaki kuwa ndumila kuwili.
- Wengi wetu tunaotaka mabadiliko ya kweli kwa taifa letu, huwa tunawachukulia Chadema seriously kama chama as the best alternative from CCM, lakini pole pole au kwa kasi sana wamekuwa wakijenga imani potofu sana among wananchi kwamba kila wanaposhindwa, either iwe uchaguzi au kesi za uchaguzi, basi haki inakuwa haikutendeka na kwamba nchi haiwezi kutawalika.
- Imean, kwenye kila ushindani kuna kushinda na kushindwa, depending on how much politics you have in you kushindwa kunaweza kuwa ni kushinda, lakini unapoanza kujenga mazingara ya kwamba ukishindwa tu haki haikutendeka na hasa kwenye siasa, unajenga a very fragile political base, ambayo Mungu jalia ukija kushika madaraka itakuja kukumiza wewe mwenyewe, maana itawaruhusu uliowashinda ku-claim your conflict theory ya kutokea kwamba haki haikutendeka!
- Ujumbe wangu kwa Chadema ni kwamba some of us are taking you very serious, sasa huu msingi mnaoujenga wa haki kutendeka pale tu mnapokuwa mmeshinda, ni hatari sana kwa siasa za mbele kwa taifa, jaribuni kuweka taifa mbele kama sisi wengine.
MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
William @DSM City!
Kwanza jizoeshe kutumia lugha moja iliyonyoka bila kuchanganya lugha mbili katika mada yako. Hii - Imean, kwenye kila ushindani kuna kushinda na kushindwa, depending on how much politics you have in you kushindwa kunaweza kuwa ni kushinda.Au hii ifuatayo:Ujumbe wangu kwa Chadema ni kwamba some of us are taking you very serious, sasa huu.
Malechela ukipata ubunge ndivyo utakavyoongea na wananchi wa Mtera kwa kuwaambia I mean, my confidence kuwaletea maendeleo, May be I will do kadiri ya uwezo wangu.
Tulia jifunze lugha na ujifunzi nchi inavyoenda usikimbilia matawini bila kujua tawi limeshikwazwaje toka shinani.
- Ni dalili kwamba Ujumbe umefika hapo, sawa sawa ndugu yangu!
William.
Chadema mpende kukubali matokeo msidhan mnakubalika vilvo ni wajinga wachache ndo huamin ndan ya chadema
Hivi nyinyi bila kuiba mnaweza kushinda?
Namnukuu Ndesambulo,"Nilishamuambia Kikwete mwaka jana CCM bila wizi wa kura hawawezi kushinda"
Mwisho wa kunukuu....
Hatuna imani na nyinyi CCM tena kwa kuwa ndio imekuwa tabia yenu ila mwisho wake unakaribia
...Ni mpaka pale CCM itakapooacha kuingilia mihimili mingine ya maamuzi hasa mahakama na tume ya taifa ya uchaguzi ndipo haki itaonekana kutendeka na malalamiko yatapungua kama si kukoma kabisa.
U a right mkuu. Wajinga wengi ndo huamini ndani ya CCM.Chadema mpende kukubali matokeo msidhan mnakubalika vilvo ni wajinga wachache ndo huamin ndan ya chadema
Wewe ni taahira kama mataahira wengine
msisumbuane na mtu aliye na ufahamu mdogo kwa kifupi william ubongo wako haufanyi kazi sawasawa kama unabishi sikumoja sikumoja utatembea uchi