Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,299
- 3,055
Katika nchi nyingi za kibeberu ambazo vyombo vya sheria viko chini ya serikali mara chache sana vyombo hivi vikatenda haki! Mfano ni Ivory Coast ambako mahakama kuu ilimuidhinisha Bagbo dhidi ya Wade kama rais wa nchi hiyo kinyume na matokeo halisi ya uchaguzi.
Hiyo red bolded
1) Unatumia kigezo na takwakimu zipi hapo?
2) Ni tangu lini hiyo imekuwa unavyosema hapa?
3) Huo uchaguzi ulifanyika lini na wapi? Bagbo ni Cote d'Ivore, Wade ni Senegal sasa lini walikutana na kugombea Abidjan?
Siku nyingine panga hoja kwa mtiririko wa fikra na baada ya kufanya uchunguzi.