CHADEMA kushinda uchaguzi 2025

Mkuu Chadema itachukua nchi 2025 na hakuna atakayeleta fyokofyoko , hangaya hatogombea (nakung'ata sikio) , Ila wewe hautoshughulikiwa kwa unafiki wako , hivyo ondoa shaka , na wala chadema haitolipa kisasi kwa yeyote
Duh...!. Hili la posibility ya Chief Hangaya kutogombea, hata mimi nililisema
Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!,
Tatizo la huku bara ni hatuna kabisa, any credible opposition.
P
 
Reactions: Tui
ila Zanzibar alikoingia Zitto ndio kunaaminika siyo , labda kama unatania
Kwa Zanzibar, CUF was a credible opposition, na kiukweli kila uchaguzi walikuwa wanashinda lakini hawapewi kwa sababu...
P
 
Mkuu kimya kimya....
 

Nimecheka kwa nguvu, kweli umri ni tatizo. Bado una hizi porojo bro?!
 
Kwa mtazamo wangu, CDM walishinda 2010, 2015 na 2020..... Ila hawakupewa nchi. Tatizo siyo kushinda bali kupewa nchi.... Same as Zanzibar. Hiyo walioko ndani wanajua including CDM wenyewe. Refer interview ya Babu Duni uchaguzi wa 2015.
Rubbish, saccos walishindia wapi?.
 
CHADEMA inaweza kushinda uchaguzi huo lakini haitashika dola, SAMIA tayari ameshaonja utamu wa keki ya Taifa, uchaguzi ukikaribia tu utamwaga vijipesa kwa watumishi wa umma haswa ile kada simamizi na wengine wengi watakao husika kwenye uchaguzi, mchezo utaishia hapo. Hivyo hizo ni ndoto ambazo haziwezi kutimia kwa urahisi.
 
Katika hili bandiko kuna sehemu umesema Rais hupangwa na Mungu. Lakini bado unaamini kuwa Tanzania upinzani ni dhaifu. Hapa kwa akili yangu ya darasa la saba A ninashindwa kukuelewa.
 
My dear kama ulisoma Things Fall Apart utaelewa kuwa now is No Longer at Easy.
 
Safari hii watapewa, kinachotakiwa ni wananchi kupiga kura nyingi kwa Cdm mpaka wezi wa kura waone aibu
Wapambanie kuwapata wabunge na madiwani kwa wingi kazi kubwa ianzie bungeni.
 
Ni kweli uliyoyasema kwa 100% BUT CCM huenda akashinda kwa sababu ya tecnichal issue zifuatazo
1. Tume ya taifa ya uchaguzi ikisaidiwa na polisi, jeshi, Tiss, Takukuru etc
2. CHADEMA inakubalika lakini haiko in touch na common people, au haiwatambui au haiwaoni kama ni wa muhimu kwao. Eg CCM inawasiliana na wanachama wao kwa njia nyingi ikiwemo text meseji. Kwa CHADEMA mkisha changa kumlipia mtu faini au dharura yoyote ndio imetoka hiyo. Hawakumbuki hata kumshukuru kwa meseji, Hawaweki kumbukumbu, wala hawana register ya watu ambao wamewasaidia. Na hata hii Join the chain hawajishuhulishi kuwafahamu waliowachangia na kubuni njia ya kuwaretain kupitia mawasiliano mawasiliano ya mara kwa mara. Kama CCM au TRA inaweza andika meseji ikawafikia wafanyabiashara wote CHADEMA wanashindwa nini?
3. Wakati kwa CCM any person is valuable resource, na wanapokea taarifa na ushauri wowote utakaowawezesha kushinda, CHADEMA hakuna ushauri wanaopokea unless umetolewa na maprofesa au viongozi wa juu kabisa.
 
Nasikia umeitwa ukapewe utendaji kata wa Elia Fanuel kule Ngara...
 
Unaongelea chadema ipi? Ni hii saccos inayojulikana kwa jina la chaga development manifesto au ipi? Hata ipigiwe kura na wachaga wote duniani haitoboi, CCM kitabaki kuwa chama bora si tu hapa Tz bali Afrika nzima.
 
Kwa katiba ipi? Labda katiba ya URUSI
 
Kushinda ni kitu tofauti kabisa na Kutangazwa.

Maana kama ni kushinda basi CDM imekuwa ikishinda mara nyingi tu.
 
Ni haki ya kila mmoja wetu kuota ndoto tamu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…