CHADEMA kushinda uchaguzi 2025

Safari hii watapewa, kinachotakiwa ni wananchi kupiga kura nyingi kwa Cdm mpaka wezi wa kura waone aibu
Ukitegemea mwizi wa kura kuona aibu, utasubiri sana.
Njia pekee inayoweza kuhakikisha vyama hivi vya upinzani vinapata haki yao ni kukataa kwa njia zote, kura zao kuchezewa na mtu yeyote yule, hata awe polisi.
Chama kama kina wanachama wa kweli milioni sita, watashindwa vipi kuhakikisha kura zao hazichezewi?

Hakuna binaadam yeyote asiyetaka haki,; lakini ili kuipigania haki ni lazima mtu awe na ujasiri wa kufanya hivyo; na ujasiri unatokana na kuwa na viongozi wanaosimamia njia za kulinda haki hiyo.
 
Kwa Katiba ipi?
Kwa tume ya uchaguzi ipi?

Acha kuwafamya watanzania mazombi ?
 
Mkuu mzyond , kiukweli, kuonda ndoto za matumaini hewa ya mchana kweupe, rukhsa.
Endelea kuota!.

Usikute hao wasiomkubali Mama Samia, ni wale ambao, hawajiandikishagi kupiga kura, na wakijiandikisha ili tuu kupata kitambulisho, huwa hawapigi kura!.

Chadema ipi hiyo unayoizungumzia ya kuiondoa CCM?.
Ni Chadema ipi?
Ni Chadema hii HAPA!.
Au Chadema hii HAPA!
Au Chadema hii HAPA!.
Kiukweli kabisa, kwa Chadema hii, CCM itatawala milele!.
P
CCM itaondolewa madarakani kwa amani 2025 , hii ni kwa sababu ya Katiba mpya na Tume Huru ya uchaguzi inayokuja , ccm bila Polisi hakuna kitu , hilo wewe unalijua vizuri sana
 
Unaweza ukadhani niko ndotoni lakini huo ndio ukweli, 2025 Chama kikuu Cha upinzani Chadema kina nafasi nzuri zaidi ya kushinda uchaguzi, kuliko chaguzi zote zilizopita, sababu kubwa itakayowezesha CHADEMA kushinda ni makosa makubwa aliyofanya aliyekuwa mwenyekiti wa Chama Cha mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati John Pombe Joseph Magufuli ambaye wakati wa uongozi wake alijijenga yeye badala ya kuimarisha taasisi za Chama na Serikali yeye akawa ndiye Halfa na Omega kwenye Chama na Serikali.

Baada ya kifo chake wananchi wengi hawamuamini Rais Samia kutokana na uongozi wake kuwa shirikishi tofauti na mtangulizi wake ambaye alikuwa anaongoza nchi kibabe na kuwabana matajiri na wananchi wengi walitafsiri ubabe huo kuwa ndio uthabiti wa kiongozi.

Utafiti mdogo niliofanya unaonesha kati wa wananchi 10, wananchi 8 hawamkubali Mama Samia, Sasa CCM itashindaje uchaguzi.

CHADEMA jipangeni vizuri 2025 mtaingia Ikulu.
Eti kushinda uchaguzi....mshinde mara ngapi??
Ebu kuweni serious na mabadiliko ya msingi kabla ya haya mapambio yenu ya kutaka ushindi!
 
CCM itaondolewa madarakani kwa amani 2025 , hii ni kwa sababu ya Katiba mpya na Tume Huru ya uchaguzi inayokuja , ccm bila Polisi hakuna kitu , hilo wewe unalijua vizuri sana
Hakuna kitu kizuri kama kuukubali ukweli jinsi ulivyo,
Kwanza kwa kazi nzuri anayoifanya Chief Hangaya, nani wa kushindana naye na kushinda?.

Pili, kuna chama gani cha upinzani cha kukabidhiwa nchi hiyo 2025?!.
P
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mnafikiri chadema mkiendeleza vita vya kumkejeli na kumtukana marehemu Magufuli mtapata mafanikio kisiasa?
 
Hakuna kitu kizuri kama kuukubali ukweli jinsi ulivyo,
Kwanza kwa kazi nzuri anayoifanya Chief Hangaya, nani wa kushindana naye na kushinda?.

Pili, kuna chama gani cha upinzani cha kukabidhiwa nchi hiyo 2025?!.
P
Mkuu Chadema itachukua nchi 2025 na hakuna atakayeleta fyokofyoko , hangaya hatogombea (nakung'ata sikio) , Ila wewe hautoshughulikiwa kwa unafiki wako , hivyo ondoa shaka , na wala chadema haitolipa kisasi kwa yeyote
 
Back
Top Bottom