Wakuu kuna mtu kanitonya kua mathayo torongey uweza akapata ushindi kwa kishindo kwasababu kuna wamasai asilimia 70% wanamuunga mkono kesho ni kesho wacha tusubili
ukiangalia uwingi wa wamasai tu bado utaonekana hujafanya tathmini ya kina coz ktk jimbo hilo kuna wakwere na wazaramo kibao so rudi ukafanye tathmini upya!