chollemadulu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2013
- 259
- 78
Wakuu kuna mtu kanitonya kua mathayo torongey uweza akapata ushindi kwa kishindo kwasababu kuna wamasai asilimia 70% wanamuunga mkono kesho ni kesho wacha tusubili
Issue ni je,?? Wana shahada za kupiga kura?? Shida kuu ni mashabiki wasio na shahada.Wakuu kuna mtu kanitonya kua mathayo torongey uweza akapata ushindi kwa kishindo kwasababu kuna wamasai asilimia 70% wanamuunga mkono kesho ni kesho wacha tusubili
Achilia mbali CDM kushinda Chalinze, ikipata kura 1,000 nitatembea Uchi WA mnyama mitaani!
Achilia mbali CDM kushinda Chalinze, ikipata kura 1,000 nitatembea Uchi WA mnyama mitaani!
Kwani unadhani kesho kuna uchaguzi Chalinze?!, no way, kesho hakuna uchaguzi Chalinze, kesho kunafanyika zoezi tuu la udhibitisho wa mbunge mpya wa Chalinze!.Wakuu kuna mtu kanitonya kua mathayo torongey uweza akapata ushindi kwa kishindo kwasababu kuna wamasai asilimia 70% wanamuunga mkono kesho ni kesho wacha tusubili
Achilia mbali CDM kushinda Chalinze, ikipata kura 1,000 nitatembea Uchi WA mnyama mitaani!
Mathayo torongey ni nani?
Achilia mbali CDM kushinda Chalinze, ikipata kura 1,000 nitatembea Uchi WA mnyama mitaani!