Chadema kushinda Arumeru ni ndoto za jioni

Chaguzi ndogo Arumeru unafanyika kesho na mshindi ni CCM, natoa ahadi Chadema wakishinda najinyonga mpaka nakufa tutaona kesho wakati wa kutangaza matokeo.
Hee kwani kujinyonga kwako kunatuhusu nini?
We jinyonge tu hata sasa hivi....kwani tunakujua?
Haukujui mtu na hakuna mwenye haja ya kujua watu kama wewe....kufa tu tena hata sasa hivi
 
Namshangaa huyu magamba, aende akawaachie usia walomzaa, sie akuu wala haituhusu... Tunamjulia wapi huyu?
 
Hee kwani kujinyonga kwako kunatuhusu nini?
We jinyonge tu hata sasa hivi....kwani tunakujua?
Haukujui mtu na hakuna mwenye haja ya kujua watu kama wewe....kufa tu tena hata sasa hivi

Wewe kwani nani anakujua? Sasa unakasirika nini! Narudia tena kesho CDM wakishinda najinyonga, endelea kuchukia kwani mimi ndiyo nimekuambia uvae magwanda.
 
Chaguzi ndogo Arumeru unafanyika kesho na mshindi ni CCM, natoa ahadi Chadema wakishinda najinyonga mpaka nakufa tutaona kesho wakati wa kutangaza matokeo.
Mods tafadhali hii Id ya chatu dume ifute maana kwa matokeo ya jana atakuwa kesha jinyonga tayari.Ahadi ni deni na muungwana lazima atimize.
RIP chatu dume
 
Chaguzi ndogo Arumeru unafanyika kesho na mshindi ni CCM, natoa ahadi Chadema wakishinda najinyonga mpaka nakufa tutaona kesho wakati wa kutangaza matokeo.

Chadema wakishinda kesho me najinyonga na kitanzi cha kudu mpaka nakufa.

Ahadi yangu wewe kinakuuma nini me tajinyonga Chadema wakishinda Arumeru. Period.

ivi hawa watu washajinyonga au bado?

Ni rahisi mende kuangusha kabati ila si CDM kushinda...

Kijana mods wafanye kazi gani? mimi binafsi na uhuru wangu wakuamua mambo yangu, wewe kinakuuma nini? Kesho tajinyonga Chadema wakishinda.
 
Back
Top Bottom