Chadema kushinda Arumeru ni ndoto za jioni

Chadema kushinda Arumeru ni ndoto za jioni

Ushajinyonga au bado
Kuna kamba ya manilla hapa nikusaidie
 
Si vizuri kuapa kwa jambo linaloamuliwa na watu wengine wasiokuhusu. Kuna jamaa aliwahi kujiapiza kuwa likitokea jambo fulani aliwe tiGo, bahati mbaya/nzuri likatokea, masela walimng'ang'ania hadi akaliwa.
 
Chaguzi ndogo Arumeru unafanyika kesho na mshindi ni CCM, natoa ahadi Chadema wakishinda najinyonga mpaka nakufa tutaona kesho wakati wa kutangaza matokeo.

Huyu alisema kuwa atajinyonga Chadema ikishinda Arumeru na wengine walisema watatembea uchi. Je kumesikika matukio ya mtu kujinyonga na watu kutembea uchi maana Chadema imeshinda Arumeru?
 
umbea tu ulikuwa unamsumbua, achaneni nae huyo gamba la kucha
 
Si vizuri kuapa kwa jambo linaloamuliwa na watu wengine wasiokuhusu. Kuna jamaa aliwahi kujiapiza kuwa likitokea jambo fulani aliwe tiGo, bahati mbaya/nzuri likatokea, masela walimng'ang'ania hadi akaliwa.

huwezi jua labda kafanya hiyo iwe substute ya kujinyonga kwa hiyo inawezekana jamaa kaliwa.
 
Nadhani kishakufa huyu...Chichiem wako makini na ahadi zao ile mbaya
 
unapoongea jambo ni vizuri kushirikisha ubongo,
No research, No right to speak.
Naamini bado hujajinyonga, aibu yako....
 
RIP Chatu dume,

Mkeo ntakulelea, usijali:tape2:
 
Kapumzike kwa amani fisadi, usiyejali taabu za watanzania wenzako
 
Natumaini umeshajinyonga na haupo dunia hii maana hatukuhitaji kabisa.
 
Chaguzi ndogo Arumeru unafanyika kesho na mshindi ni CCM, natoa ahadi Chadema wakishinda najinyonga mpaka nakufa tutaona kesho wakati wa kutangaza matokeo.

WANA JF CDM IMESHINDA SASA JE chatu dume ATAJINYONGA ???
 
pole... najua ulitoa ahadi isiyotekelezeka km chama chako. pole sana kwani c wewe ila umezoea ahadi zisizo na ukweli, au umejinyonga kweli.
 
Back
Top Bottom