Chadema kushinda Arumeru ni ndoto za jioni

Chadema kushinda Arumeru ni ndoto za jioni

mpaka humu kuna mataahira kama wewe??? Mi nadhani we utakuwa punguani si bure!! Eti ufe kisa chadema imeshinda.... Sema ujinyonge kwa matatizo yako binafsi na sio kuja kutafuta sababu ya uchaguzi... AKILI FUPI KAMA MSHALE WA SAA...
 
Itakuwa ujinga na uzandiki CCM kushindwa Arumeru, wana madiwani 17 Chadema hata katibu kata hawana.
 
Chaguzi ndogo Arumeru unafanyika kesho na mshindi ni CCM, natoa ahadi Chadema wakishinda najinyonga mpaka nakufa tutaona kesho wakati wa kutangaza matokeo.

Wape wape CHADOMO Hao!! Kesho kwao ni msiba tuandae maturubai ya kuomboleza.
 
Chadema wakishinda kesho me najinyonga na kitanzi cha kudu mpaka nakufa.

wewe waweza ogopa kujinyonga lakini mwanao atakuja kujinyonga kwa ahadi yako, tena uliyemtabiria ni mwanao kipenzi!!!!!
 
maaskofu wamekasirishwa na kauli ya chadema kusema kuwa "CCM wamewahonga maaskofu sh 20000 ili waipigie kampeni CCM" MAASKOFU WAMEAPA KUHAKIKISHA HAWA CDM WANASHIKISHWA ADABU KWA KUNYIMWA KURA"
 
maaskofu wamekasirishwa na kauli ya chadema kusema kuwa "CCM wamewahonga maaskofu sh 20000 ili waipigie kampeni CCM" MAASKOFU WAMEAPA KUHAKIKISHA HAWA CDM WANASHIKISHWA ADABU KWA KUNYIMWA KURA"

Maaskofu wepi, kwani Arumeru kuna maaskofu wangapi? Usiwadhalilishe watumishi wa Mungu. Tatizo la kupiga za kienyeji hafu kula unategemea hadi uhongwe na ccm, sasa kesho ndo mwisho sijui utakuwa unakula wapi.
 
Mkuu aindae kabisa kamba ya kujinyonga maana Ushindi wa CDM ni 80%
Chaguzi ndogo Arumeru unafanyika kesho na mshindi ni CCM, natoa ahadi Chadema wakishinda najinyonga mpaka nakufa tutaona kesho wakati wa kutangaza matokeo.
 
Chaguzi ndogo Arumeru unafanyika kesho na mshindi ni CCM, natoa ahadi Chadema wakishinda najinyonga mpaka nakufa tutaona kesho wakati wa kutangaza matokeo.

Vipi, mmeshinda baada ya kuongeza kura hewa ngapi?
Mtaendelea kushinda kwa namna hiyo milele?
 
Chaguzi ndogo Arumeru unafanyika kesho na mshindi ni CCM, natoa ahadi Chadema wakishinda najinyonga mpaka nakufa tutaona kesho wakati wa kutangaza matokeo.

Nini kujinyonga kamata sumu ya panya ili ikurahisishie kazi
 
Unaonaje ukiibadilisha AVATAR yako ndipo uanze kubwabwaja hayo yaliyomo kichwani mwako? Maana unayoyasema hayafanani na hiyo avatar ..

Wewe kazi yako humu JF kupangia watu avatar? Narudia tena CDM kesho wakishinda Arumeru najinyonga ni uhuru wangu wewe mbona unashangilia CDM.
 
Back
Top Bottom