CHADEMA kupata ofisi mpya ya Makao Makuu-Mwenge

mungu akubariki mzee Sabodo umeshaandikwa kwenye vitabu vya ukombozi wa nchi hii na peponi tutakutana. Wewe na JK Nyerere kitu moja.
 
Arusha tutashinda kwa garama yoyote. Kumbukeni Arumeru tuliwaachia kwasababu tunazozifahamu sisi. Am hapy mmeanza kujitambua

Sawa Mkuu,
Mimi naitunza hii kauli yako ili iwe kumbukumbu nzuri mtakaposhindwa tena. Si unakumbuka kauli zako za Arumeru? Nikukumbushe?

 
Arusha tutashinda kwa garama yoyote. Kumbukeni Arumeru tuliwaachia kwasababu tunazozifahamu sisi. Am hapy mmeanza kujitambua
Mbona wewe tumeshakuzoea maneno yako huwa ni ya kishabiki tu huwa hayabebi maana yeyote.

quote_icon.png
By Rejao Nimetembea kuanzia KIA, Kikatiti, Maji ya Chai naUsariver! kote huku hawataki kabisa kuiskia CDM!
 
Pongezi kwa uongozi wa Chadema kwa kuona umuhimu wa kuwa na ofisi za kisasa. Nashauri pale zilipo ofisi za sasa pawe makao makuu ya jumuia za chama kama Bavicha na Bawacha.
 
Nimeikubali sana hii hata TANU ilikuwa ikisaidiwa kuanzia mavazi,chakula mpaka ofisi katika kudai ukombozi na mpaka leo hayupo aliyesema ofisi za TANU zirudishwe sasa itakuwaje kwa CDM?

Wewe kama hautaki kutoa sie wenzio tunatoa na bado tunasonga mbele kwani hii si ofisi ya CDM tu bali pia ni kwa ajiri ya harakati za ukombozi wa Watanganyika part2
 
Jamani CHADEMA msisahau kufungua kituo cha habari. Baada ya ofisi fikirieni kufungua kituo cha habari.

Hakuna mazuri ya CHADEMA yanayotolewa na vyombo vya habari. Kila chombo cha habari kiko upande wa CCM. Wananchi wanapaswa kujua ukweli wa mambo, na sio story za mitaani. Maana ukitaka kujua ukweli wa habari za CHADEMA, inabidi utumie nguvu ya ziada kuzitafuta.

Mbali na hapo. Inawapatia umaarufu mkubwa. Na kazi ya kampeni 2015 haitakuwa kubwa.
 
Nadhani pale sio Mwenge ni Mikocheni...angalizo Chadema kuweni makini kuna baadhi ya vitu chama kinatakiwa kufanya kwa nguvu zake, siku Sabado hakiwa hayupo familia yake wakalitaka jengo lao itakuwaje?

Ndo maana sabodo kasema anafanya mazungumzo na wataalamu wake ili jambo hilo liwe la kisheria. Tuna subiri majengo wanayomiliki CCM tuliyolazimishwa kujenga bila hiari yetu tuyarudishe kwa wananchi hapo 2015
 
Sabodo we thank for your support!ningekua nauwezozo ninge mnyanganya mkuu wa nchi udokta ni kupatiewewe!we thank once again
 
Ila one thing sijapenda, Dr Slaa anasema 'watatumia sehemu ya 100m kwa matengenezo ya hiyo ofisi'! Kwani walijua watapewa mshiko na ofisi? Nini mipango ya CDM kuwa ofisi kabla ya mchango wa Sabodo?


Hayo hayakuhusu, kwani ile ya kinondoni ulitoa wewe?
 
Haha haha haha ha ha! Mkuu TUNTE. Naskia ulikasirika sana uliposkia CHADEMA imeshinda Arumeru. Vipi ile kazi yako uliyokuwa unafanya? Imeisha au? Msalimie TII, PAA, MTUKWAO na MWANAHALIS. Vipi upo na Mchange na Ben hapo?

Naomba tafadhali usiniingize kwenye mijadala yenu ya kipuuzi
 
Kweli Mustafa Sabodo Jembe dah! Nimemkubali sana kwa mapenzi aliyo nayo kwa chadema!
Mkuu usisahau Mzee Sabodo si kwamba ana Mapenzi na Chadema ila ana Mapenzi makubwa na watanzania na ameona Chadema ndiyo njia muafaka kwa yeye kufikisha misaada yake kwa Watanzania, baada ya kuona wajanja wa CCM kila mara akitoa pesa wanakula wao na famila au na mafisadi wenzao .
 
Back
Top Bottom