kudadadadadadek, hzo zote ni ak47, silaha za maangamizi. Yetu macho. Nawatakia safari njema kuelekea uwanja wa mapambano.
Kwa taarifa yako kuwa kamata viongozi CHADEMA ni kuipandisha chati zaidi kuliko wanavyo dhania CCM kuwa wanawazoofisha....Yote yatafanyika lakini kazi badi ipo kwani hawa majambazi wameanza vituko mara huyu ndani etc etc
Yangu macho kwakweli, Chadema mna kazi ya kuomba kura na kazi kubwa zaidi ni kulinda kura. CCM haitang'oka kirahisi mpaka tukipata katiba mpya. Sitaki kuamini mpaka kesho eti Kikwete alishinda uchaguzi ule, ni mtanzania gani sasahivi anaweza kufanya maamuzi ya hivyo? Tupiganie katiba mpya. CCM imekwisha jifia kwasasa inaokolewa na POLISI na TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI.

kudadadadadadek, hzo zote ni AK47, silaha za maangamizi. Yetu macho. Nawatakia safari njema kuelekea uwanja wa mapambano.
nipo kituo kimoja cha kujaza mafuta hapa mitaa ya kirumba jijini mwanza namuona kamanda wenje na mwenzie highness wakiijaza mafuta kwenye gari lao. Nimewadadisi wakaniambia kuwa kazi ndio inaanza wanaelekea igunga wakiwa na mabom maalumu ya kuisambaratisha kabisa ccm pia wamenijuza kuwa makamanda halima mdee, zitto na lema akiwa ame ambatana na selasin wako njiani vilevile.

kudadadadadadek, hzo zote ni AK47, silaha za maangamizi. Yetu macho. Nawatakia safari njema kuelekea uwanja wa mapambano.

Hii tutaita Twanga Kotekoteeeeeee!!