CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari wa Ndani na Nje ya Nchi Makao Makuu ya Chama

nitawasikiliza kama wakinionesha jinsi kilivyowauma kushindwa kwa taifa star uwanja wa nyumbani. nitawasikiliza tuu iwapo watapigania kiingereza kirudishwe mashuleni maana hata Royal Tour haikufanyika kwa kiswahili bali kiingereza. nawadai hayo mawili tuu.Chadema ongereeni na sports basi maana sports nayo huitangaza sana nchi, . Brazil imevuma duniani kwa ajili ya soccer. msiwe mnalalamika tuu fikilieni hii entartainment ya soccer nayo mtaifufuaje kimataifa? piganieni turudishe rugha yetu ya commonwealth iwe haki ya raia jamani. aliyetufutia kafa sasa tunangoja nini kuirudisha lugha ya Elizabeth mashuleni?
Kama ni hayo mawili tu unayotaka toka kwa CHADEMA, basi hawana lazima ya kuwaondoa CCM madarakani, wewe zungumza na hao rafiki zako wa CCM wawaachie CHADEMA wayaendeshe maeneo yako hayo mawili, basi.
 
Kama ni hayo mawili tu unayotaka toka kwa CHADEMA, basi hawana lazima ya kuwaondoa CCM madarakani, wewe zungumza na hao rafiki zako wa CCM wawaachie CHADEMA wayaendeshe maeneo yako hayo mawili, basi.
Katiba yao tu wanashindwa kuifuata ya nchi wataiweza? bado sana.
 
Muhimu watoe statement inayoeleweka kwa kuangalia muelekeo wa chama chao hasa kwenye image waliyoijenga kwa watanzania, wakiichezea hii image kwa kuendelea na vikao vya maigizo kule ikulu, wasitafute wakumlaumu.
 
Busara na amani vitawale,maneno ya kukera yaepukwe wakati wa kufikisha ujumbe.Mama SSH anahujumiwa na wanachama wenzake,awe makini wakati kupendekeza wakuu wa mihimili mengine,timu Magu, wanafanya kila njia kukuharibia ,Wana agenda zao
Huyo mama yenu hakosei, kwenu kila kosa mnamtupia marehemu, sasa kama hawezi kuongoza nchi kwa mawazo yako mwenyewe ikulu anafanya nini?

Mwambieni awapishe wengine yeye akalee wajukuu.
 
Joyce Mukya umeliwa na gaidi kwa ahadi ya ubunge ,tulia hivyo hivyo na mishahawa ya gaidi ubunge hutaupata safari hii
Jenga hoja, a ha matusi. Basi Kama Ni mazuri nawe Mama yako mbonà naye analiwa na machokoraa mtaani
 
Hii ndio Taarifa ya Dharula ya sasa inayosambazwa na Chama hicho , kwamba viongozi wa Juu Kabisa wa Chadema wataongea na Waandishi wa Habari wa Dunia nzima tarehe 17/05/2022 , saa 5 Asubuhi , kwenye Makao Makuu ya Chama hicho yaliyo Nje ya Jiji la Dar es Salaam, Kinondoni Mtaa wa Ufipa .

Mpaka sasa haijulikani kipi kitakachozungumzwa na viongozi hao bali kinachoonekana ni Kuimarishwa kwa Ulinzi kwenye makao makuu ya Chama kwa kuongezwa Walinzi wa Chama kusiko kwa Kawaida.

Wote Mnakaribishwa.
Mungu ibariki CHADEMA
 
Viongozi wa Chadema wanataka kuwang'oa kina Halima Mdee wapeleke michepuko mipya
 
Kesi iko Mahakamani CHADEMA wakae watulie! Viji-press conferences ni kuwapotezea watu muda. Mimi nashauri waendelee na JOIN THE CHAIN kwani angalau imewasaidia kununua JEZI wanazoita Sare Mpya!!
 
FB_IMG_1652783896574.jpg
 
Back
Top Bottom