CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

Hamna uwezo wa kumlazimisha CHIFU MKUU WA MACHIFU NCHINI....🤣🤣

Akitaka atawaita kwa muda wake......
Nani kakwambia wanamlazimisha, aache kulia lia sasa, Chifu Hangaya vipi tena
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa kuwa CHADEMA kila siku huita waandishi wa habari kuongea naomba jina la CHADEMA libadilishwe liwe CHADOMA

Yaana kirefu CHAMA CHA DOMOKAYA NA MANENO (CHADOMA)
Wewe mwanamke umerudi?Njaa imekurudisha ulikuwa umepitea.

7000/- kwa siku ni nyingi.
 
Nia na lengo letu la kuonana na Rais Samia sio kwenda kumueleza mambo yetu binafsi, bali mambo mbalimbali ya kuendesha Nchi yetu vizuri, na tuko tayari kwa mazungumzo na Rais, lakini hatuko tayari kukutana na Msajili"
Chadema ni waongo sana. Nia yao ni kutaka chai ya Ikulu tu hawana lolote.

Ndio Maana rais Kikwete alipowaalika wakanywa chai, kashata na katlesi za ikulu bila kuongea ya maana watu wakaamua kuwapuuza.

Chadema walisema watamnyoa mama, wembe ule ule uliomnyoa mtangulizi wake ndio watautumia kumnyoa Mama, hivyo mamlaka lazima zichukue tahadhari na zimlinde raid wetu mpendwa na wahuni hawa.

Hata hivyo, rais ana mambo mengi sana ya kufanya na ratiba yake imejaa kwa sasa. Mambo yakitulia basi watafikiriwa.
 
....wazee wenyewe wa CHAI ni hawa hapa....hebu waangalie 🤣🤣
c18.jpg
 
Chadema ni waongo sana. Nia yao ni kutaka chai ya Ikulu tu hawana lolote.

Ndio Maana rais Kikwete alipowaalika wakanywa chai, kashata na katlesi za ikulu bila kuongea ya maana watu wakaamua kuwapuuza.

Chadema walisema watamnyoa mama, wembe ule ule uliomnyoa mtangulizi wake ndio watautumia kumnyoa Mama, hivyo mamlaka lazima zichukue tahadhari na zimlinde raid wetu mpendwa na wahuni hawa.

Hata hivyo, rais ana mambo mengi sana ya kufanya na ratiba yake imejaa kwa sasa. Mambo yakitulia basi watafikiriwa.
😍
 
"Mwezi April Mwenyekiti Freeman Mbowe alimuandikia barua Rais Samia ya kuhitaji kukutana naye, Rais Samia amekutana na makundi mbalimbali ila kundi la Wanasiasa bado, tuna imani ya kukutana naye tumweleze mambo yanayosababisha ufa kwenye Taifa hili"
Nani alimwambia Benson kwamba Mama hajakutana na wanasiasa???? Mpo dunia gani ndugu zetu??

Hawakumuona Mheshimiwa Zitto ameenda kukutana na Mheshimiwa Chongolo?? Hivi mnakuwa mnafikiria kwa kutumia nini???

Mama ni rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hivi mnaelewa maana na hadhi ya hicho cheo??

Chadema mnachotaka ni kwenda kutia hasara ikulu tu kama mlivyofanya kipindi cha Kikwete. Mmeshtukiwa kwa kweli.

Kodi za Watanzania inabidi zisimamiwe vizuri kwa weledi sio kuitanaitana Ikulu tu. Kama mnataka kwenda ikulu basi washawishini wananchi kwa sera zilizo Bora ili wawachague.
 
Tukisema CHADEMA kazi yao kuwaongoza wafuasi MISUKURE tunamaanisha.....

Yaani wao wakanywe CHAI tu
tumblr_muamgvZavy1rmk6rto1_400.jpg
wakimaliza wapige PICHA na chifu mkuu Hangaya 🤣🤣
 
Haifuti uchawa wako kwa familia ya Mbowe na Rodney.....
Mimi ni mfanyabiashara wa kimataifa , ni mtu mwenye hela nyingi , au Tajiri kwa lugha ya kikwenu , namiliki viwanda kadhaa na nimeajiri watanzania wenzako zaidi ya 350 nchi nzima , masikini wenzio wote wanajua , sijawahi kuwa chawa wa mtu , fuatilia habari zangu hapa jf au waulize wenzako , kupambana na mimi hutoweza hata waliokutuma wanafahamu , ila wamekusakizia tu kwa vile wanakupa posho , zaidi utakimbia kama mamluki wenzako walivyokimbia
 
🤣🤣🤣Ha ha ha chawa wa Mbowe na tajiri wa JF ha ha ha

RBC mnyaki una GRANDIOSITY

RBC una GRANDIER DELUSION🤣

Ukiguswa tu "nerves" unakimbilia kujitapa kuwa wewe TAJIRI ha ha ha TAJIRI GANI unakesha JF kumtetea Mbowe ha ha acha pang'ang'a ndugu Chawa wa femili ya Mbowe.....🤣

Japo kuwa mimi si TAJIRI ila pia si maskini.....

Nisalimie mumeo aliyeshindwa UBUNGE.....relaaax
 
Back
Top Bottom