wakuu,
- je ni kweli uvumi kwamba fedha za kugharamikia kampeni kwa uchaguzi wa mwaka huu ni za kugharamikia kampeni za urais tu? (moshi wa kwanza).
- kwamba wagombea/viongozi wengi wana malalamiko ambayo hayasikilizwi na uongozi?(moshi wa pili).
- kwamba kutokana na kupuuzwa huko kwa wagombea/viongozi; hii imepelekea wengine kukata tamaa, na kukisaliti chama? (moshi wa tatu).
mfano wa watu hao ni kama akina;
- nakaaya ( kukata tamaa),
- akina seme wa mbeya ( usaliti),
- akina nkambaku elisha (usaliti),
- yule mwanafunzi wa udom aliyegombea musoma na kuingia mtini ( kukata tamaa),
- akina sugu( kukata tamaa).
my take:
Hii wakuu imekaaje? Nini kifanyike kurekebisha hali hii?