Chadema: Kunapofuka Moshi Kuna Moto!!!

Status
Not open for further replies.
Naomba kama kuna mwislamu mzuri anikumbushe vile... hivi kwenye nchi za Kiislam zinazo-practise sharia... ukiiba mke wa mtu adhabu yake nini vile?

Kama umeoa adhabu yake ni kupigwa mawe na umati wa watu adi ufe lakini kama wewe ni mseja (bado kuoa) unapewa adhabu ya kuchapwa bakora 50 mbele ya kadamnasi!
 
Sipendi ligi za watoto. Wapo waliojitoa na kuhama chama ktk list hii Minda akadai wamekata tamaa. Wapo kama Sugu ambao wanachanja mbuga na sijamsikia akilalama ndo maana nikahoji. Mtu akihama chama sasa hivi si kukata tamaa bali ni tamaa! Sijui nimekusaidia kuelewa?
This is a none issue na kama hujanielewa basi naona hutaki au huwezi.

Hawajakata "tamaa bali wameongeza tamaa" mpaka wakapitiliza!!
 
Narudia,wagombea wenye upeo hawezi kujitoa kisa hela ya kampen toka makao makuu haijaja au haipo,ukiona hivo ujue huyo mtu yuko ki maslahi zaidi kuliko democrasia
 
wakuu,

  • je ni kweli uvumi kwamba fedha za kugharamikia kampeni kwa uchaguzi wa mwaka huu ni za kugharamikia kampeni za urais tu? (moshi wa kwanza).
  • kwamba wagombea/viongozi wengi wana malalamiko ambayo hayasikilizwi na uongozi?(moshi wa pili).
  • kwamba kutokana na kupuuzwa huko kwa wagombea/viongozi; hii imepelekea wengine kukata tamaa, na kukisaliti chama? (moshi wa tatu).
mfano wa watu hao ni kama akina;
  1. nakaaya ( kukata tamaa),
  2. akina seme wa mbeya ( usaliti),
  3. akina nkambaku elisha (usaliti),
  4. yule mwanafunzi wa udom aliyegombea musoma na kuingia mtini ( kukata tamaa),
  5. akina sugu( kukata tamaa).
my take:
Hii wakuu imekaaje? Nini kifanyike kurekebisha hali hii?

namba za kuchangia zimetolewa wote tunaotaka mabadiliko tuchangie, sote tunafahamu kazi kubwa iliyofanywa na viongozi na wabunge wachache katika kuipindi cha miaka mitano iliyopita, kiasi cha kutuvuta. Kwani watu waliovutika kuja chadema walifikiri hii ni ccm kuna fedha za epa, hapa ni toa ndugu toa ndugu.

kama umekuja kuwakomboa watanzania halafu hauwezi kubuni mikakati ya kufanya kampeni katika jimbo mojatu, theni haufai kuwa katika chma dume kama chadema kisichokuwa na mifuko ya epa. Tujiulize zitto aliwezaje kugahrimia kampeni zake kwa mara ya kwanza na ndio tu alikuwa ametoka chuoni? Jibu ni kuwa alikuwa committed. This people are not committed kwenye mabadiliko ndio maan wanashindwa kuwahamasisha wapenda mabadiliko katika majimbo husika.
 
...Vilevile acheni huu ujinga wa kuamini ama kudai kuwa kila anayeikosoa CHADEMA basi huyo ni CCM ama amelipwa na CCM. Wapo wengi ambao ni baadhi ya waliokuwa dissapointed na hali ilivyo wakati walikuwa na matumaini ya dhati kwenu....Unapokimbilia kuwakashifu ujue pia unapunguza potential supportes or much needed resources or even a member....




A%20S%2041.gif
umemaliza yooote!!
 
eeeh ndio huyo huyo alie vunja ndoa hiiView attachment 14014

Honestly namheshimu sana Dr Slaa kwa misimamo yake, lakini kwa hili hata mimi amenikwaza sana. Sikutegemea at 62, mtu tunayetamani kumpa kura atusaidie kusimamia utawala wa sheria, angeweza kutenda kinyume na maadili (kutembea na mke wa mtu) na kinyume na sheria pia (kutangaza uchumba na mke wa mtu ambaye hajatalikiwa). Unless kuna taarifa za upande wake ambazo hajazisema, na ninamuomba sana aziseme aniondolee makwazo haya. Ninaamini wapo wengi wengine waliokwazika na suala hili, na linaweza kumgharimu hata kama hataki kuamini hivyo.
 
Honestly namheshimu sana Dr Slaa kwa misimamo yake, lakini kwa hili hata mimi amenikwaza sana. (kutembea na mke wa mtu) na kinyume na sheria pia (kutangaza uchumba na mke wa mtu ambaye hajatalikiwa). Unless kuna taarifa za upande wake ambazo hajazisema,
Siasa ni mchezo mchafu, Watu wamevuliwa uraia na kuwa Wakimbizi kwenye nchi yao wenyewe, sembuse kumtengenezea mtu Kashfa ya kuwa anataka luoa mke wa mtu? Jambo la msingi hapa, ni kuwa sisi kama watanzania vipaumbele tunavyovifikiria nani ataweza kutekeleza? Kwa nini kitendo cha ... kuoa kisiri siri hata kama dini inaruhusu na kuwapa madaraka ..... kutuongoza watanzania kwa starehe za dakika 28 hakijakuuma? ......... walisema mnakaa kwenye nyumba ya vioo acheni kurusha mawe, tukirusha....... :mad2:
 
Tanzania itajengwa na wenye moyo baada ya kuliwa na mafisadi CCM!

Wakati tunakemea wana CHADEMA tukemee na wana CCM pia wanaoleta vurugu humu badala ya kujadili mambo kistaarabu.
 
wakuu,
  • je ni kweli uvumi kwamba fedha za kugharamikia kampeni kwa uchaguzi wa mwaka huu ni za kugharamikia kampeni za urais tu? (moshi wa kwanza).
  • kwamba wagombea/viongozi wengi wana malalamiko ambayo hayasikilizwi na uongozi?(moshi wa pili).
  • kwamba kutokana na kupuuzwa huko kwa wagombea/viongozi; hii imepelekea wengine kukata tamaa, na kukisaliti chama? (moshi wa tatu).
mfano wa watu hao ni kama akina;
  1. nakaaya ( kukata tamaa),
  2. akina seme wa mbeya ( usaliti),
  3. akina nkambaku elisha (usaliti),
  4. yule mwanafunzi wa UDOM aliyegombea musoma na kuingia mtini ( kukata tamaa),
  5. akina sugu( kukata tamaa).
my take:
hii wakuu imekaaje? nini kifanyike kurekebisha hali hii?

Mkuu napenda ujue kuwa Rumi haikujengwa kwa siku moja. Mwanapinduzi yeyote wa kweli hakati tamaa, ukiona mwana mageuzi amekata tamaa basi huyo hafai na mimi nasema ni bora aondoke. Tunahitaji wana mapinduzi ambao watakuwa tayari si kukosa pesa tu bali pia kutoa uhai wao kwa ajili ya mama yetu Tanzania. Hao wanaokata tamaa ni wabinafsi, na waoga, waende salama, lakini joto la mapinduzi halitakufa hata kama itatuchukua miaka kumi. Wanaume wanabaki, na wanaendeleza mapambano. Ndugu yangu hapo hakuna moshi wowote unaofuka, isipokuwa ni majivu tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom