Chadema: Kunapofuka Moshi Kuna Moto!!!

Status
Not open for further replies.
Please msitumie lugha za kuongelea mambo ya kuanguka etc.Hili laweza kutokea kwa mtu yeyote whether he is fit or not.Tunachopima hapa ni hoja.Tukienda hivyo itafikia mahali ambapo tutaanza kuongelea kuwa mbona jamaa alipokuwa anatembea alijikwaa akaanguka,is this a point???Tunaongelea hatima ya taifa letu na sio mambo ya nani kalala na nani,nani kala chakula gani jana,nani kafanya nini.Kwani mbona maofisini hatuulizwi mambo hayo tunapokwenda kwenye interview??.Kumbuka hii ni interview kama interview nyingine,
 
Sioni kama kuna hoja yeyote hapo. Kama wewe ni CCM hicho kidole kimoja unachonyooshea CHADEMA basi kuna vidole vingine vinne vinakunyooshea mwenyewe (CCM), katika chama chochote wapo wale walioingia kwa kutafuta faida fulani na faida hiyo isipoiva wanakata tamaa, hawa wa "vipande thelathini" wapo wengi sio CHADEMA tu bali hata CCM, hata CUF n.k. Sina haja ya kuorodhesha majina bali itoshe tu kukuambia uliyoyandika sio hoja ya msingi kwa sasa.

Nenda kapige kura na umpigie CHADEMA.
 
Kwa kipindi cha wiki moja sijaona post ya Kipuuzi kama hii,

Sasa utaona "upuuzi zaidi", jambo ambalo umeshindwa kuliona hapa ni kuwa kila mtu anao uhuru wa kufanya na kuamua kila jambo kwa manufaa yake kwanza, kisha kwa manufaa ya wengine. Binafsi sikuona tatizo lolote kwa mtoa mada. Jambo zuri kabisa alilolifanya ni kwenye swali lake la msingi, nini kifanyike kunusuru hali hii. 1) Hakuna cha kufanya kwani kuhama chama haijaanza Chadema hata CCM na vyama vingine watu wanahama. 2) Tambua vipaumbele vya nchi hii na tarehe 31 kapige kura kwa kufuata hesabu zako ulivyozipiga ili kura yako iwe na faida 3) Umaskini wa wetu uko kichwani hivyo ni vigumu kufanya lolote 'fate decides for us' 4) Bado hatujaweza kusema ukweli tunafanya maamuzi kwa visingizio ndio maana tukikosa tunavyovitafuta tunahama.
muombe radhi mtoa mada.
 
All in all, pesa za kampeni zinahitajika if CHADEMA is serious katika kushinda ubunge viti vingi.
 
Mimi naona mwanzilishi wa mada joja yake inahusu hili wimbi la sasa hivi ambalo limekuwa kama upepo mbaya kwa Chadema kwa kuwa watu waliojiunga na CCM ni watu mashuhuri wanaojulikana na wamefanya maamuzi yao wakati kampeni zimepamba moto.
Ili kurekebisha hali hii tufanyeje? Akiwa na maana ya kusolve hii problem hasa wakati huu tulionao.

Sasa majibu lazima yalenge mada na siyo fulani kala maharage na fulani kala mbaazi.Sijaona majibu muafaka mpaka sasa kutoka kwa wanaharakati wa Chadema.
:eyeroll2:
 
Chadema ni chama kichanga na hakina pa kuiba pesa za kuwangonga wapoiga kura .CCM wamesha chota pea serikalini wametemgeneza mabango ya Kikwete na kuchapisha picha Canada. Chadema ruzuku haitoshi na ndiyo hupiga harambee mikutanoni .
Ulimsikia Lazaro Nyarandu wa CCM ni rafiki yangu lakini tunatofautiana mno kwenye ya CCM na Upinzania, alitamka wazi kwamba yule wa Singida walimrubuni arudi maana alikuwa na uwezo wa kushinda akiwa Chadema. So wengine na njaa zao wana connect na uchanga wa Chadema .Lakini pia ukiwa unajiandaa kugombea Ubunge si unajiandaa wewe kwanza ama wagombea kutegemea oeda toka kwenye Chama kama Chadema ? CCM pekee inaweza kuwapa fungu wabunge wake na huwa ni jasho letu .
 
wakuu,
  • je ni kweli uvumi kwamba fedha za kugharamikia kampeni kwa uchaguzi wa mwaka huu ni za kugharamikia kampeni za urais tu? (moshi wa kwanza).
  • kwamba wagombea/viongozi wengi wana malalamiko ambayo hayasikilizwi na uongozi?(moshi wa pili).
  • kwamba kutokana na kupuuzwa huko kwa wagombea/viongozi; hii imepelekea wengine kukata tamaa, na kukisaliti chama? (moshi wa tatu).
mfano wa watu hao ni kama akina;
  1. nakaaya ( kukata tamaa),
  2. akina seme wa mbeya ( usaliti),
  3. akina nkambaku elisha (usaliti),
  4. yule mwanafunzi wa UDOM aliyegombea musoma na kuingia mtini ( kukata tamaa),
  5. akina sugu( kukata tamaa).
my take:
hii wakuu imekaaje? nini kifanyike kurekebisha hali hii?

Bwa ha ha ha
Inachekesha sana kuona mafisadi wa ccm kama minda wakiweka unafiki kuwa wanaitakia mema chadema
 
Freedom is expensive.Hawa ni wale walifikiri kuwa kazi ya ukombozi ni lele mama.See what they did to Mandela,walimfunga miaka 27 lakini hakukata tamaa.Jifunze kuhusu Baba wa Taifa Mwl.Nyerere je angekuwa ni mtu wa kukata tamaa kiivyo kama Nakaaya na hiyo timu yake tungepata uhuru kweli????????.DON'T GIVE UP PLEEEEEEEEESE.The play ground is not smooth.
hapo umesema, mwana mageuzi hanunuliwi kwa peremende, huyo atakua msaliti mbele ya safari, wana mageuzi ni wale wanaopambana kuhakikisha mawazo yao yanaishi.
 
eeeh ndio huyo huyo alie vunja ndoa hii Slaa.jpg
 
Ni njaa kali


Ni ukweli usio kificho kuwa upinzani kuna njaa .....so watu waliozoea mteremko wa maisha ....na wasowavumilivu ..ni bora tu wakabakia CCM....vyama vya upinzani havina PESA vitatoa wapi....watu wengi pale wanajitolea tu..ndo maana wengi wameishia njiani baada ya njaa kuwabana....na wachumia tumbo wataendelea kuhama...

WATU....WANASAHAU KUWA HATA MWALIMU NA WENZAKE NDANI YA TANU WALIPATA SHIDA HIYO WAKATI WA UKOMBOZI WA KWANZA....MAMA MARIA ALIKUWA AKIUZA MAANDAZI NA KINA MAMA WENZAKE PALE PUGU NA BAADAYE MAGOMENI...ILI KUGANGA NJAA..ILI MAPINDUZI YA KWANZA YAFAANIKIWE.....SASA IWEJE TUTEGEMEE VYAMA VYA HARAKATI ZA MAPINDUZI YA PILI...KUMKOMBOA MTANZANIA MTEGEMEE VIWE NA PESA..............TABAKA LILILOKUWA NYONYAJI LEO LIMETEKA CCM NA KUWALAMBISHA SUKARI ILI KUWATIA WATU TAMAA YA PESA ZA HARAKA NA WAMEFANIKIWA....KUWAWEKA KIZUIZINI WASIWEZE TENA KUVUMILIA TAAABU........NI KICHEKESHO KILA ANAYERUDI CCM ANASEMA ALIKUWA ANAKUFA NJAA ..AU AMEKIMBIA NYUMBA YA MAKUTI ANAKIMBILIA YA BATI......WAMESAHAU PIA WALIOJENGA HIYO NYUMBA YA BATI HAWAKUWA NA TAMAA YA PESA..........

......TATIZO LA WANASIASA WENGI BONGO WAMEJEUZA SIASA AJIRA ...NDIO MAANA WANASHINDWA ...KUVUMILIA..LAITI WANGEFANYA SIASA NA KUHAKIKISHA KUWA KAZI ZAO ZA KUENDELEZA FAMILIA ZINAENDELEA ..IWE KILIMO AU UFUGAJI HATA BIASHARA ...INGESAIDIA......KUNA UMUHIMU WA WANASIASA KUPEWA SEMINA MAALUM ZA JINSI YA KUFANYA SHUNGULI NYINGINE HALALI SAMBAMBA NA SIASA....KWA WENZETU WALIOENDELEA!!....HATA KENYA TU HAPO WANASIASA WOTE WANA SHUGHULI MBALI NA SIASA...
 
Kama unamuonea wivu huyo Mwanamke, si useme tu? Kaka wa Tanga bado ana wafuasi wengi.
Usisahau na yule aliyeanguka bafuni wakati yupo na mke wa mwenzie!Laana hizi![/QUOTE]
 
Usisahau na yule aliyeanguka bafuni wakati yupo na mke wa mwenzie!Laana hizi!
View attachment 14013

huyu apa aliedondoka bafuni na mke wa mtu[/QUOTE]

KUANGUKA BAFUNI SIO JAMBO LA AJABU ..HATA WEWE UNAWEZA KUANGUKA .....KUNA UTELEZI ...AU WATAALAMU WANAHUSISHA NA MSHTUKO ESPECIALLY UNAPOOGA MAJI BARIDI..NI LAZIMA UANZE KIDOGO YAKUZOEE..

PIA KUANGUKA BAFUNI KUNAHUSISHWA NA PRESHA YA KUPANDA ....HASA UNAPOINAMA GHAFLA ...DAMU HUJA SEHEMU YA KICHWA NA KUSABABISHA PRESSURE KUBWA KWENYE MISHIPA KUPASUKA....SIKU HIZI HII NI SABABU KUBWA YA VIFO IE ...JUZI AMEKUFA MKEMIA MKUU...DR MASHIMBA....ALIANGUKA BAFUNI.....

KWA HIYO KIMSINGI KUANGUKA BAFUNI NI JANGA NA SIO LA KUCHEKA ...ASILIMIA KUBWA YA WANAOANGUKA BAFUNI HUWA WANAKUFA AU KUPATA STROKE.......IKITOKEA UMEANGUKA BAFUNI NA UMEPONA NI JAMBO LA KUMSHUKURU MUNGU...

WALE WASHIRIKINA HUHUSISHA MOJA KWA MOJA KUANGUKA BAFUNI NA TUKIO LA KULOGWA.....[WANASEMA KUTUMIWA JINI]....LAKINI KIMSINGI MUULIZE DAKTARI YEYOTE ATAKUPA MAEKEZO YA KINA JUU YA MATUKIO YA KUANGUKA BAFUNI NA NAMNA YA KUZUIA......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom