Chadema: Kunapofuka Moshi Kuna Moto!!!

Status
Not open for further replies.
Usisahau na yule aliyeanguka bafuni wakati yupo na mke wa mwenzie!Laana hizi!
View attachment 14013

huyu apa aliedondoka bafuni na mke wa mtu[/QUOTE]
hiyo haituhusu hata kama alikuwa anampiga mitindo akateleza hiyo ni juu yake sisis tunataka kichwa chakena sii kingine.na ukumbuke kuna watu wamefungwa maisha na familia zao.sasa hapo sijui unasemaje?siafadhali huyu aliyechukua jumla akamwacha huru ili atafute mwingine?kumbuka daudi alimwua rafiki yake ili achukue mkewe na bad aliendewlea kutawala.namkumbuka sana papii,slaa najua akiingia madarakani atawatoa.
 

huo unaodahani ni moshi kumbe sio. Wakati fulani niliwahi kusema hao wasanii wana ushawishi kiasi gani? Umetaja majina hafifu sana katika medani ya siasa. Mbona hujataja ubungo, arusha n.k. Huo nao pia ni mkakati wa kupunguza gharama kwani hao uliowataja hawana nafasi yoyote kisiasa
 

Afadhali umemjibu huyu MFU!

Watu wanadhani sisi ni WAJINGA kiasi hicho kwamba hatuwezi kujumlisha mbili na mbili? Upumbavu!

CCM inatambua kwamba IMECHEMSHA, na inajitahidi kurekebisha mambo kwa kila hali. Ninaitazama CCM kama nyumba inayounguzwa na moto huku upepo mkali ukivuma. Wenye nyumba wamechanganyikiwa, wana madebe ya maji na petroli. Badala ya kuchukua madebe ya maji, wanachukua yale ya petroli, huku yakiwa yameandikwa - kwa wino mwekundu - HATARI! Sasa, wanamwaga petroli na kuchangia kuzidi kuungua kwa nyumba yao. Hapatabaki kitu.

CCM wameunguza nyumba yao wao wenyewe, na hii inakuwa rahisi kwa CHADEMA kuja kujenga nyumba nyingine mpya, yenye kuvutia, si hiyo inayoungua kwa moto mkali. Moshi anaousemea ni ule wa nyumba ya CCM kuungua, kwani kwa sasa, nyumba mpya na imara imejengwa CHADEMA.

Tutamwumbua kila MAMLUKI WA CCM humu ndani! Minda, usitufanye sisi WAJINGA!

-> Mwana wa Haki

Tarehe 31 Oktoba 2010 ni siku ya HUKUMU kwa CCM! Tutawapigia kura ya PENALTI, wamecheza faulo nyingi sana, tena ndani ya PENALTY BOX! OUT YOU GO, SCUMBAGS!
 

Mtizamo wako tu.

Chadema siyo chama cha wanywa kahawa kama CUF na CCM
 
Hivi CHAdema wakitawala (KAMA, KAMA WAKITAWALA) kutakua na haki ya kusema wazi wazi? Maana mwanajamii kauliza 2 hapa lakini hayo matusi na kashfa alizopata? Jee wakipata nchi hawa majamaa? Hii inatisha? Tutaweza 'kuiquestion' seriKALI ya CHAdema kama tunavyo 'iquestion' ya Kikwete hivi sasa?
 
Afadhali umemjibu huyu MFU!...Tutamwumbua kila MAMLUKI WA CCM humu ndani! Minda, usitufanye sisi WAJINGA!...Tarehe 31 Oktoba 2010 ni siku ya HUKUMU kwa CCM! Tutawapigia kura ya PENALTI, wamecheza faulo... OUT YOU GO, SCUMBAGS!


:nono:
 
Minda, sounds so gay-ish!



:nono: you are off da topic pastor masanilo. anyway, coming to the level of your thinking, can such an ugly guy be a gay to attract the attention of fellow men? you are mistaken rev. and you are not doing me justice!!!

 
Naomba kama kuna mwislamu mzuri anikumbushe vile... hivi kwenye nchi za Kiislam zinazo-practise sharia... ukiiba mke wa mtu adhabu yake nini vile?
 

Changanya na hii hapa, source:https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania-2010/74514-mgombea-chadema-nkenge-ajiondoa-kugombea-ubunge.html. Mbunge Nkenge naye kujitoa.

Matatizo yapo mengi tu, lakiti kwa kifupi, wote tunajua huwezi kuendesha kampeni bila pesa. Mgawanyiko wa fedha hizi hauko wazi na hivyo kusababisha mifarakano ndani ya chama. Wako wanatumia pesa zao binafsi, wanaoendesha michango yao binafsina, wanaosema wamekopesha chama nk. Kampeni inahitajii pesa za kutosha kuhakikisha kila mgombea anapata support bila upendeleo wowote. Haya ni mambo yakujifunza...
 
Sikubaliani na visingizio vya watu walionunuliwa,mgombea anatakiwa awe na uwezo wa kuchamgisha hela ya kampen bila kutegemea sana hela ya makao makuu kwa chama chenye ruzuku kiduchu,kama hauwezi kuraise atleast 2m haufai kuwa mbunge(people power),nguvu ya umma itumieni watu wamewachoka mafisadi
 
Bwa ha ha ha
Inachekesha sana kuona mafisadi wa ccm kama minda wakiweka unafiki kuwa wanaitakia mema chadema

Ombi kwa wanaCHADEMA. Tafadhilini jibuni maswali kwa ustaarabu ama nyamazeni kimya. Mkishindwa tuambieni tuwasaidie kujibu kuwa fedha za kuwahonga viongozi wa majimbo ku - SABOTAGE viongozi wenu wasitetee viti vyao zipo lakini za ku-coordinate na kusupport watu wenu hamna...si mngewasaidia hata kuwawezesha kufanya fundraising basi....

Vilevile acheni huu ujinga wa kuamini ama kudai kuwa kila anayeikosoa CHADEMA basi huyo ni CCM ama amelipwa na CCM. Wapo wengi ambao ni baadhi ya waliokuwa dissapointed na hali ilivyo wakati walikuwa na matumaini ya dhati kwenu....Unapokimbilia kuwakashifu ujue pia unapunguza potential supportes or much needed resources or even a member....

Grow up people....
 

Kaka hapa utakuwa unajidanganya. Nakaaya na Sugu ni wanamuziki wanamapinduzi ama wanaharakati wenye ushawishi mkubwa kwa watu makini ambao CHADEMA inawahitaji ili kuweza kujenga taswira ya umakini wanayo jaribu kujijengea. Wangekuwa ni wale jamaa zetu wa hadithi za mapenzi na maisha ya kusadikika isingekuwa na athari kubwa kwa CHADEMA kwani hao wana ushawishi kwa wale ambao tayari wapo CCM ingawa ni wengi kwa kura lakini sio asset ya kuaminika kwa siasa za muda mrefu.
 
Unafiki wetu ni kwamba tunawashabikia sana lakini hatuwaungi mkono kwa kuwachangia kwenye kampeni zao.

CCM wananunua wenye njaa ili wapite kirahisi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…