Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,301
- 4,681
angalia uzito wa kilichobadilishwa,ujue muungano wa vyama haupo bali danganya toto tu
so hata mrema anaweza kuwa danganya toto?
angalia uzito wa kilichobadilishwa,ujue muungano wa vyama haupo bali danganya toto tu
so hata mrema anaweza kuwa danganya toto?
Mwulize Lissu nani alibadili tamko la ushirikiano wa vyama lisomeke
tunakusudia kuunganisha nguvu zetu (tr.10/5/2007), badala ya sentensi ya awali iliyosema tunakusudia kuunganisha vyama vyetu kama ilivyokuwa imeandikwa na vyama hivyo tr 9/5/2007
pili, mwulize Mbowe kwa nini alitamka katika mkutano mkuu wa chadema mwaka 2005 kwamba hawatakaa waunge mkono au washirikiane na chama chochote kingine, watasimama wenyewe ,paka kieleweke
tatu, mwulize makamu mwenyekiti, hasira aliyokuwa nayo siku ushirikiano ulipotangazwa kama imempoa, na hata matamshi yake ya juzi kwamba CUF kivyao
nne, waulize wenyeji wa mkoa wa kigoma jinsi chadema inavyoshawishi wanachama wa vyama vilivyoko katika ushirikiano waame vyama hivyo wajiunge na chadema kinyume cha makubaliano yaliyopo
ukipata majibu hayo ya angalau, nitakupa nyeti zaidi
Hakuna wana CHADEMA humu?
Mimi kwa maoni yangu hapa ili tuweze kukata mzizi wa fitina na ili tuendelee na mjadala huu ningeomba kupewa tafsiri ya "Kuunganisha nguvu" badala ya "kuunganisha vyama"
Nina imani kuwa kama Lissu akija hapa anaweza kutoa ufafanuzi mzuri tu.
Hii ni kwasababu ukisema vyama peke yake huku tukikiri kuwa kuna vile ambavyo havina nguvu kabisa then haitakuwa tena kuunganisha nguvu bali kuingiza udhaifu!
Na ili kuepuka hilo ni lazima kuwe na mjadala hapa wa kuweza kueleweshana ili uunganishwaji wa nguvu hizo uwe na maridhiano yenye nguvu kutoka kwa pande zote husika!
Na vile vyama ambavyo inasemekana kuwa ni dahifu kutokana na viwango vilivyowekwa kama wingi wa wanachama pamoja na wabunge then nao wapewe majukumu pamoja na guarantee ya a piece of pie kimajukumu mara baada ya ushindi kutegemea na role waliyoiplay wakati wa kampeni.
Ni muhimu sana kwa vyama vya upunzani kuja pamoja wakati huu!
Ni ngumu kukubaliana kwa kila kitu na hivyo ni lazima tukubali kuwa kutakuwa na sacrifices kwa pande zote!
mushi pole pole mkuu, naona unataka kugeuka wale wazungu wanaowaita "the people who likes to listen to their own voices"
wewe hujaleta hoja, umeleta masuala. na unataka kuchota idea za watu bila ya wewe kuwa na yako hata moja. huna stance wala opinion lakini umeshika kusema "mjadala uendelee". uendelee kwa vipi?
mada yako haina hata skeleton, usitegemee watu kujazia nyama.
Binafsi naamini kuwa chadema kina sera nzuri tu, sawa na vyama vingine, pia naamini kuwa chadema kuna VIONGOZI IMARA, pia kuna undelezaji wa vijana kwa nia moja.
naamini kuwa chadema ni nguvu ya hoja.
Najua pia kuna matatizo makubwa kiasi makao makuu ya chadema, lakini sidhani kuwa yanabadili misimamo ya walioingia chadema kupigania haki Tanzania.
Walio nje ndio wasemaji wakuu, na wawili au watatu walio humo ndani ambao kama kawaida huwa wapo kila mahali ni traitors. inaeleweka na ni acceptable.
quoting wanamahesabu wa kitheolojia wanasema 1/12 (yuda) ya kila kundi la watu, kuna mmoja anayeendeshwa na shetani na hakuna msaada, ni kukaa nae tu, atawasaliti tu, lakini si sababu ya kuacha kuendelea na kazi.
Mimi nilikuwa ccm wakati niko shule, nadhani bado niko huko, kwani sijanunua kadi ya chama kingine.
Najua pia CCM kuna matatizo makubwa, lakini si sababu ya kuacha kufanya kazi.
Vyama vyote vina matatizo makubwa, tukipata fursa ni vizuri kuvijadili kama hoja si kama pesonalities.
Gaijin kama wewe huoni ni muhimu kwa watu kuunganisha nguvu then huwezi kuona umuhimu wa mjadala huu!
Idea zinaanzia from nothing!
We study more about less and less until we learn something about nothing!
We listen to each other, we analyze we argue,we debate...We do all of that with common objectives.
Hapa hatutaki kabisa hawa watu wagawanyike!
Uwazi na honesty miongoni mwetu ni kitu cha muhimu la sivyo imani ya wananchi ni rahis kuyumba!
Ni lazima mjadala uendelee as whether kuunganisha nguvu ama ku merege vyama!
Tunaamini kila upande una maoni yake na tutayajadili bila husda!
mushi....mada yako haikuanza na jee upinzani unapaswa kuungana au kuvunjika, hata heading inasema chadema kunani, as if kumetokea jambo la kushangaza ndo maana unaulizia.
unapoambiwa mtu anapenda kusikiliza sauti yake mwenyewe ni mtu asiyewapa watu nafasi ya kusema, anasema yeye tu.
rejelea huu mjadala na uangalie una posts ngapi na za kwako wewe ni ngapi.
once unataka mawazo kutoka kwa wengine, usijaze posts zako tu ambazo zinasema hazifafanui chochote kwenye mada.
ni hayo tu
Binafsi naamini kuwa chadema kina sera nzuri tu, sawa na vyama vingine, pia naamini kuwa chadema kuna VIONGOZI IMARA, pia kuna undelezaji wa vijana kwa nia moja.
naamini kuwa chadema ni nguvu ya hoja.
Najua pia kuna matatizo makubwa kiasi makao makuu ya chadema, lakini sidhani kuwa yanabadili misimamo ya walioingia chadema kupigania haki Tanzania.
Walio nje ndio wasemaji wakuu, na wawili au watatu walio humo ndani ambao kama kawaida huwa wapo kila mahali ni traitors. inaeleweka na ni acceptable.
quoting wanamahesabu wa kitheolojia wanasema 1/12 (yuda) ya kila kundi la watu, kuna mmoja anayeendeshwa na shetani na hakuna msaada, ni kukaa nae tu, atawasaliti tu, lakini si sababu ya kuacha kuendelea na kazi.
Mimi nilikuwa ccm wakati niko shule, nadhani bado niko huko, kwani sijanunua kadi ya chama kingine.
Najua pia CCM kuna matatizo makubwa, lakini si sababu ya kuacha kufanya kazi.
Vyama vyote vina matatizo makubwa, tukipata fursa ni vizuri kuvijadili kama hoja si kama pesonalities.
Maoni ni mengi lakini hatutaki kuvuruga nia halisi ya kuunganisha either nguvu ama vyama!
Ama makubaliano ya aina yoyote!
Tunataka kila mtu bila kujali sana vyama wapate nafasi za ku utilize vipaji vyao kwenye ujenzi wa Taifa!