Chadema Kunani?

Tatizo uroho wa madaraka ndo unaowakumbuka viongozi ndani ya CHADEMA ukimwona CHACHA nae atataka agombee sasa hilo ndo tatizo kubwa sana na pale naona CHACHA ndo mbishi kuliko wote...

Ingawa sina matatizo na watu wengi kugombea-kumbuka hata ccm tulikuwa na wagombea zaidi ya kumi na tano, ila huyo Chacha is my favourite. Chacha ni mwiba kwa Chadema. Yeye ndiye atawapeleka chini wapoteee kama NCCR walivyopotea kwenye historia ya upinzani Tanzania.
 
Mushi,

Tujipange tujenge chama chetu ccm. Hiki ndio chama pekee chenye uongozi madhubuti. Mbona unaonekana kama unataka kubadili msimamo na kujiita mpinzani?

Umebadili kimya kimya au unataka kula kote kote!

Mkuu mimi sina Chama kwa sasa na nasubiri nione nani mkweli kabla ya kujoin bandwagon
Sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote!
 
Ingawa sina matatizo na watu wengi kugombea-kumbuka hata ccm tulikuwa na wagombea zaidi ya kumi na tano, ila huyo Chacha is my favourite. Chacha ni mwiba kwa Chadema. Yeye ndiye atawapeleka chini wapoteee kama NCCR walivyopotea kwenye historia ya upinzani Tanzania.
acha uzushi nccr hawajapotea
 
Waridi,
Tunajaribu kuangalia chama chenye uhai na wala si wingi wa vyama, chadema kina mwelekeo na ndiyo maana watanzania wanataka kuwekeza kura zao huko 2010, ndicho chama chenye mtizamo chanya, japo bado kuna changamoto ndani ya chama hiki, nadhani ni wakati muafaka wa chama hiki kujisahihisha ili 2010 kipate kuongeza idadi ya MP na mwisho wa siku ndoto zao zitatimu.
uhai wa chama umeupimaje na mwelekeo wa chadema una upekee gani tofauti na vingine,watanzania idadi gani wamekwambia wataweka kura zao chadema, wapo pia wanaoweka kura zao vyama vingine,acha kupendelea chadema,kama unaipigia debe uza uzuri wa sera
 
unajua kwamba viongozi wakuu wa namba 6 takribani wote hawako nchini, jiulize wako wapi na wanafanya nini

unajua kwamba namba 6 kitakwimu ina wanachama wengi sana,ikizidiwa na vyama viwili tu kikiwemo ccm chenye wanachama 4m

nakudokeza tu simwagi kila kitu

Na hapo kwenye namba 6 kuwa na wanachama wengi sana kitakwimu ikizidiwa na vyama viwili ikiwemo CCM.
Hicho chama kingine ni CHADEMA?

Na takwimu za ubunge nazo zina suggest vipi?
 
Na hapo kwenye namba 6 kuwa na wanachama wengi sana kitakwimu ikizidiwa na vyama viwili ikiwemo CCM.
Hicho chama kingine ni CHADEMA?

Na takwimu za ubunge nazo zina suggest vipi?
jiulize swali, lipumba alipata kura milioni moja na (2005) toka bara cuf haikuambulia mbunge hata wa dawa, kwa hiyo takwimu za ubunge zaweza kukumislead sometimes. kumbuka pia hujuma ya ccm katika chaguzi ina mkono wake katika suala la chama gani kina idadi gani ya wabunge, mambo yako engineered kuliko unavyoweza kuona juu juu
 
sory kwa kuwadissapoint CCM lakini mimi si mwanachama hai wa chama chochote kile. Shule niliosoma kiingilio na ada ya chama ilikuwa inaingizwa kwny mahitaji ya shule. Bado nakitunza just in case waonyesha mwelekeo lakini kwa mwendo huu hapa nilipo naona wana safari ndefu, tena CCM wakienda kwa si na ari mpya watatumbukia hakika kwenye shimo kubwa, si unajua 'the higher you climb, the-----you fall.
Bora wajipange honestly, wajipange, upyaaaaaa, waanze safari tena.
chadema hawana neno, wako poa tu na sera zao pia ni nzuri tu,
Haya mambo ya pesa siku zote ni tazito, ila kama waliopo wana nia ya kujenga nchi watajena tu, na sisi tutaona tu, hayafichiki, mbona ccm tuona zamani wanaenda mrama tukasema sana, nao wakabisha sana, mambo mazuri yanajonyesha tu!! hayajifichi.
Hayo mambo ya Chacha, mara Mnyika etc, Mnyika tunamtambua ni mbunge wetu, siku zote, wala hatakiwi kutia shaka, tulimpa kura zote, basi tu ccm.
Mentality walio nayo inatakiwa iwe kwa uzalendo wao binafsi, si kwa chama, chama kinakuja tu katika kuhalalisha katika katiba.
 
CHADEMA imegawanyika...Na huku MAFISADI WAKINUSA NUSA Ushindi na hivyo kuanza kuwa na ujasiri wa kudai eti wanataka wajisafishe kabla ya uchaguzi wa 2010!
 
CHADEMA NAO...Mimi sijui lolote kwasababu sina ze dataz...Lakini ni wazi hawa hawako pamoja tena...Sina haja ya kuanza kurudia sababu...Kaeni pamoja Taifa linawahitaji...Muda ni mfupi sana.
 
Haya Bwana wewe kumbe unalakwako jambo sikujua tangia awali.

Hapana mkuu...Mwanzoni vita hii ilianzishwa na nyie CHADEMA...ZITTO,SLAA NK...Na sas ni Killango wa CCM ambaye amepewa sapoti na baadhi ya wana CHADEMA kwa visingizio vya UTAIFA!
Sasa utaifa gani huo mliosubiri wasafishane kwanza kwenye NEC halafu waje bungeni kuchangia bajeti huku kukiwa hakuna anayethubutu kusema wakamatwe?
Niambie la kwangu lipi hilo?

Mimi kama nilivyosema hapo awali SINA CHAMA...Ila nipo hapa kwa wakati wa MUNGU..Nimegundua si bure kwasababu kuna mengi ninayoyaona na wengine hawawezi.
Thanks GOD nimeijua JF na Ufisadi wa Taifa umeyabadilisha maisha yangu na sasa naomba kila siku kwa Mungu kwani yanayoendelea si ya kawaida.
Asante na Mungu Akubariki na uendelee na kazi yake kama ni kweli upo upande wake.
 
Nimekuelewa ndugu.mapambano yanaendelea

Si umeona ukweli huko bungeni?
Hao CCM wanaojiita wazalendo wamewaweka wapinzani pembeni wakati wa kupiga kura ya kulikomboa Taifa, na mamluki kama kina CHEYO wameonekana wazi jinsi mnavyotakiwa muwe makini na hao CCM na mamluki wengine kwani wanaweza kuwaletea matatizo na nyie tulikuwa tukiwatizama kwa macho ya matumaini!
La sivyo watu watakufa kwa ugonjwa wa moyo jamani.
 
Hii thread ni mjadala wenye swali moja kubwa....
IS CHADEMA STILL THE SAME?
If Yes Why...And if not then Why not?
Are these people together as they used to be?
Je kama watajiunga na vyama vingine vya upinzani na kumsimamisha mgombea mmoja..Ni sera zipi watakazozinadi?
Wameshajitayarisha?
Ama wanataka wapewe nchi based on politics na si kile watakachowafanyia wananchi?
Mjadala uanze...

SWALI HILI NILIUZA!
HATUONI MBELE?
THREAD ZETU HAZIFI?
Haya..Kina da WARIDI NA WENGINEO...NAONA MOTO UNAWAKA CHADEMA...JE...CHADEMA KUNANI
 
Mimi binafsi sijashtushwa na yanayotokea CHADEMA hivi sasa.Nilijua tu satatokea ila nilikuwa sijui ni lini na kwa mtindo gani, there is more coming.
Cha msingi ni kwa vijana kutambua kuwa hawa sio wa kujiunga nao.
 
Tusubiri kesho huko bungeni...Then tutajuwa kila kitu.
NARUDIA...HATMA YA NANI NI NANI ITAJULIKANA BUNGENI KESHO!
 
jamani! chadema, chadema,chadema... hivi JF ni ya chadema? mara mwajadili sera zao,mara viongozi wao, mara sijui Dr Slaa for President 2010... hapa hamvitendei haki vyama vingine.Tanzania tuna vyama 18, ni ufinyu wa majadiliano, kila siku chadema chadema chadema... jadilini na vyama vingineTLPDemokrasia makiniCHAUSTAPPT MaendeleoUPDDPNCCR MageuziCUFJahazi asiliaCCMnkJiulizeni huko kwenye vyama vingine kunaendelea kitu gani ndipo mtaweza kuwa na mtizamo au chaguo bora.
Ni wakati wako wa kumwaga sera dada waridi.
 
Back
Top Bottom