Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,230
neno la huruma limekujaje hapa? au unamaanisha determination yenu ni kuionea huruma chadema?
kusema vyama vingine havijadiliwi ni dalili ya kuvionea huruma!
neno la huruma limekujaje hapa? au unamaanisha determination yenu ni kuionea huruma chadema?
Mwulize Lissu nani alibadili tamko la ushirikiano wa vyama lisomekeNabisha..toa ushahidi!
Kumbuka mimi ni mtu ambaye nataka nione uwajibikaji kama ilivyo kwa vilio vya wananchi walio wengi!
ni angalizo la kuwapanua upeokusema vyama vingine havijadiliwi ni dalili ya kuvionea huruma!
Na kama huamini CHADEMA ina nguvu flani then unaota da Waridi...Na kama hauamini kuwa CCM ni taabani then sina comment!
ni angalizo la kuwapanua upeo
Safi sana .Nadhani sasa watum wamesha amka na kujua hoja za kizushi .Waachieni kama hivi waendelee nayo wenyewe hadi wachoke .Yaani hakuna vitu vya maana zaidi ja Mbowe na Chadema hapa ? Ama kweli watu mko kazini .
Kuna viongozi wengi tu wazuri upinzani!
Kama upinzani wasipoungana basi Kikwete ana uwezo wa kutuwin back kama akiwashughulikia mafisadi na kufanya mabadiliko yatakayahakikisha kuwa upuuzi huo haujirudii!
Mwulize Lissu nani alibadili tamko la ushirikiano wa vyama lisomeke
tunakusudia kuunganisha nguvu zetu (tr.10/5/2007), badala ya sentensi ya awali iliyosema tunakusudia kuunganisha vyama vyetu kama ilivyokuwa imeandikwa na vyama hivyo tr 9/5/2007
pili, mwulize Mbowe kwa nini alitamka katika mkutano mkuu wa chadema mwaka 2005 kwamba hawatakaa waunge mkono au washirikiane na chama chochote kingine, watasimama wenyewe ,paka kieleweke
tatu, mwulize makamu mwenyekiti, hasira aliyokuwa nayo siku ushirikiano ulipotangazwa kama imempoa, na hata matamshi yake ya juzi kwamba CUF kivyao
nne, waulize wenyeji wa mkoa wa kigoma jinsi chadema inavyoshawishi wanachama wa vyama vilivyoko katika ushirikiano waame vyama hivyo wajiunge na chadema kinyume cha makubaliano yaliyopo
ukipata majibu hayo ya angalau, nitakupa nyeti zaidi
jamani! chadema, chadema,chadema... hivi JF ni ya chadema? mara mwajadili sera zao,mara viongozi wao, mara sijui Dr Slaa for President 2010... hapa hamvitendei haki vyama vingine.
Tanzania tuna vyama 18, ni ufinyu wa majadiliano, kila siku chadema chadema chadema... jadilini na vyama vingine
TLP
Demokrasia makini
CHAUSTA
PPT Maendeleo
UPD
DP
NCCR Mageuzi
CUF
Jahazi asilia
CCM
nk
Jiulizeni huko kwenye vyama vingine kunaendelea kitu gani ndipo mtaweza kuwa na mtizamo au chaguo bora.
Waridi;
Ningekuunga mkono kujadili vyama vingine; lakini hiyo ni nadharia kwa vitendo vyama ni hivi...
1.CCM,
2.CHADEMA,
3.CUF;
4.UDP,
5. TLP,
6. NCCR MAGEUZI,
7. JAHAZI ASILIA;
8. PPT MAENDELEO,
9. CHAUSTA Na
10. UDP;
Hivyo vingine na ambavyo havipo hapo ni vikundi tu vya watu waliojikusanya wakaandika MEMORANDUM etc... wakasajiwa lakini sasa hivi havina hadhi ya vyama vya siasa vya Tanzania... lakini come 2010 utavisikia...
Na kwa maoni yangu... Kuanzia no. 6... hapo juu kwenda chini kuna walakini pia...
Waridi;
Ningekuunga mkono kujadili vyama vingine; lakini hiyo ni nadharia kwa vitendo vyama ni hivi...
1.CCM,
2.CHADEMA,
3.CUF;
4.UDP,
5. TLP,
6. NCCR MAGEUZI,
7. JAHAZI ASILIA;
8. PPT MAENDELEO,
9. CHAUSTA Na
10. UDP;
Hivyo vingine na ambavyo havipo hapo ni vikundi tu vya watu waliojikusanya wakaandika MEMORANDUM etc... wakasajiwa lakini sasa hivi havina hadhi ya vyama vya siasa vya Tanzania... lakini come 2010 utavisikia...
Na kwa maoni yangu... Kuanzia no. 6... hapo juu kwenda chini kuna walakini pia...
kwa taarifa yako namba 6 ni strong kuliko unavyofikiri,tena kama ni kutega masikio ya matumaini ungeyaweka hapo hapo namba 6,huko 1 hadi 5 hamna kitu
Hapo kwenye kauli ya kuunganisha nguvu kuna ubaya gani?
Kwasabau saa nyingine lazima tuwe makini kwani CCM ni wajanja mno wa kuweka mapandikizi ambayo yanaweza kuleta mifarakano na hivyo upinzani kupoteza imani kwa wadau wa nchi!
naomba kaushahidi ambako kanaweza kakaniingiza mkenge...teh teh