CHADEMA Kumuondoa Lema Arusha

Lema Arusha ni mbunge wetu bado tuna imani tena kuendelea kutuongoza tena.
 
Mbona umepaniki sana Lema ni kiboko ya ccm mkisikia hilo jina ccm mnatetemeka mwili mzma kama yule mbunge wa monduli

Sasa mbona mnamuomdoa kwenye uwanja wa vita?
 
Mkuu labda CHADEMA wenzie ndio wanamuogopa, sisi hatuna haja ya kumuogopa mtu mwepesi vile ndio maana tulikuwa tunamsubiri katika uwanja wa mapambano hapo october ila CHADEMA wanamuondoa kabla!
Muziki wa Lema ccm hamtauweza hata siku moja Arusha Lema ndo nyumbani
 
Ccm kutawala tena Arusha wasahau
 
Lema aligombea na mgombea kigogo: waziri wa serikali iliyopo madarakani akamgaragaza vibaya.

Mlinganishe Lema na yule mnayemtumia kuvuruga upinzani

Kigoma Kaskazini
[TABLE="class: grid, width: 500"]
[TR]
[TD]Candidate[/TD]
[TD]Political Party[/TD]
[TD]Number of Votes[/TD]
[TD]Percentage Votes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ZITTO KABWE ZUBERI[/TD]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD]23,366[/TD]
[TD]48.57[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]LEMBO ROBINSON FULGENCE[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[TD]18,352[/TD]
[TD]38.15[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]OMARY MUSSA NKWARULO[/TD]
[TD]CUF[/TD]
[TD]4,839[/TD]
[TD]10.06[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CHONGERA HARUNA CHONGERA[/TD]
[TD]CHAUSTA[/TD]
[TD]264[/TD]
[TD]0.55[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MFAUME HAMISI MFAUME[/TD]
[TD]APPT - MAENDELEO[/TD]
[TD]108[/TD]
[TD]0.22[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]AUGUSTINO PETER MBOLEGWA[/TD]
[TD]SAU[/TD]
[TD]88[/TD]
[TD]0.18[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]GERMANI MAULIDI MLETE[/TD]
[TD]DP[/TD]
[TD]87[/TD]
[TD]0.18[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]HAMISI FADHILI KISWAGA[/TD]
[TD]NRA[/TD]
[TD]47[/TD]
[TD]0.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MAUWA SHAURI KAMANA[/TD]
[TD]JAHAZI ASILIA[/TD]
[TD]19[/TD]
[TD]0.04[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TATU SAIDI HUSSEIN[/TD]
[TD]UMD[/TD]
[TD]8[/TD]
[TD]0.02[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]SPOILT VOTES[/TD]
[TD][/TD]
[TD]927[/TD]
[TD]1.93[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TOTALS[/TD]
[TD][/TD]
[TD]48,105[/TD]
[TD]100[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: grid, width: 500"]
[TR]
[TD="colspan: 4"]ARUSHA MJINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Candidate[/TD]
[TD]Political Party[/TD]
[TD]Number of Votes[/TD]
[TD]Percentage Votes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]LEMA GODBLESS JONATHAN[/TD]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD]56,196[/TD]
[TD]57.68[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]BATILDA DR. SALHA BURIAN[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[TD]37,460[/TD]
[TD]38.45[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]YUSSUPH BAALAWAY GHARIB[/TD]
[TD]CUF[/TD]
[TD]2,022[/TD]
[TD]2.08[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]JOSEPH MARK MAFUATA[/TD]
[TD]MAKIN[/TD]
[TD]456[/TD]
[TD]0.47[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MACMILLIAN ELIFATIO LYIMO[/TD]
[TD]TLP[/TD]
[TD]179[/TD]
[TD]0.18[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]SPOILT VOTES[/TD]
[TD][/TD]
[TD]1,115[/TD]
[TD]1.14[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TOTALS[/TD]
[TD][/TD]
[TD]97,428[/TD]
[TD]100[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kuna mtu anayejiona maarufu kuliko chama, ambaye hata jimboni kwake hakupata asilimia 50 ya kura za watu wake!!! Tena aligombea na watu wasio vigogo, wa kawaida tu.

Lema ataendelea kuwatesa CCM, mvumilie tu
 
Hizi ni habari za uzushi kabisa Lema Arusha ndo nyumbani ataendelea kuwa mbunge wetu maendeleo kufanikiwa kukifanya ccm kuwa wapinzani ni maendeleo makubwa sana
 
Musalani subiri Baada ya Uchaguzi ndio utaona Lema Anakubalika Au Lah...
 
Shardcole
yaaani hiii post basi imewafurahishaaaaaa...
 
Last edited by a moderator:
CCM mnapata tabu sana kumjadili mgombea wa CDM, hivi mmeshajua hata wenu atakua nani? Nafikiria tu kama Batilda Buriani pamoja na unaarufu wake wote na nguvu kubwa iliyotumika alipigwa chini sijui mtamuweka nani?
 

arusha tumechoka hatuwez kuongozwa na jmbaz anashindwa kutatua matatzo ya wananachi kazi yake nikujipeleka jela na kushnda mahakamani hakuna cha maana alicho tufanyia zaidi ya maandamano,naaondoke hatuwez kuendelea kuongozwa na wakuja wakat wazawa wapo
 
Mkuu nakupongeza kubadilisha jina ,ila naona akili bado ni ile ile
Saidia kule nyumbani bado kunabomoka ya jirani shughulikia baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…