HOJA CHADEMA, mfukuzeni Lema mapema. Anakwenda kukimaliza chama

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,822
Reaction score
63,245
Lema ni team Mbowe, matendo yake na matamshi yake yanatia wasiwasi .

Kamponza Pambalu aje kwenye mkutano wake wa Arusha kuwa Tanzania ni salama, na serikali imemhakikishia usalama wake kama yeye aliyohakikishiwa aliporudi kutoka Canada.

Chadema isipokuwa makini na kuchukua hatua mapema, anakwenda kuirubuni Kamati Kuu na wajumbe wa Baraza Kuu baadaye iwe rahisi kukiteka chama kwa pesa za Abdul.

Chadema ni sikio la kufa.
 
Chadema isipokuwa makini anakwenda kuirubuni Kamati Kuu na wajumbe wa Baraza Kuu baadaye iwe rahisi kukiteka chama kwa pesa za Abdul.

Chadema ni sikio la kufa.
ok team heche 🐒
 
Hata Mange àmémlalamikia kwa matàmshi yake. Ngoja tuone kauli ya Heche. Huyo nitamfuata!

Nina wasiwasi na wimbi la ushindi wa kesi ambazo serikali inashitakiwa au ambazo somehow ni government backed...kutuaminisha/ kutuandaa kisaikolojia kuwa mahakama iko huru, then wakilipua " BOMU" la Lisu kushindwa, tusilalamike maana tumeshaandaliwa kuwa sasa mahakama inatenda haki.

Nitarudi kwenye thread hii 6.11.2026.
 
Usilete umbea wa dada enu huku
Sijaanza leo kutoa ushauri kama huu.

Hata Mange àmémlalamikia kwa matàmshi yake. Ngoja tuone kauli ya Heche. Huyo nitamfuata!

Nina wasiwasi na wimbi la ushindi wa kesi ambazo serikali inashitakiwa au ambazo somehow ni government backed...kutuaminisha/ kutuandaa kisaikolojia kuwa mahakama iko huru, then wakilipua " BOMU" la Lisu kushindwa, tusilalamike maana tumeshaandaliwa kuwa sasa mahakama inatenda haki.

Nitarudi kwenye thread hii 6.11.2026.
Uko sahihi kabisa kuhusu mahakama na wanachokifanya kwa sasa na hata mimi nimekuwa nikiwazo hivyo.
 
Lema ni team Mbowe, matendo yake na matamshi yake yanatia wasiwasi .

Kamponza Pambalu aje kwenye mkutano wake wa Arusha kuwa Tanzania ni salama, na serikali imemhakikishia usalama wake kama yeye aliyohakikishiwa aliporudi kutoka Canada.

Chadema isipokuwa makini na kuchukua hatua mapema, anakwenda kuirubuni Kamati Kuu na wajumbe wa Baraza Kuu baadaye iwe rahisi kukiteka chama kwa pesa za Abdul.

Chadema ni sikio la kufa.
Hataweza
 
..keep your eyes on the prize.

..wanaoteka, kutesa, na kuuwa, ni Ccm na vyombo vyao vya dola.

..tu-deal na hao badala ya kushambuliana wenyewe kwa wenyewe.
 
CHADEMA hii ya Tundu Lissu, au bado unawaza ile ya Mbowe?
Lema atatoa wapi ushawishi wa "kurubuni" kundi la watu waliopitishwa kwenye tanuru la makaa ya mawe!

Lema hadi alipo sasa hivi anajuwa ndani ya CHADEMA hii ya sasa hana njia, mwishowe itamlazimu tu yeye mwenyewe ajiondoe. Huyu hata haihitaji kumfukuza, amekwishajifukuza mwenyewe kwa aliyokwishaonyesha ndani ya chama.
 
..keep your eyes on the prize.

..wanaoteka, kutesa, na kuuwa, ni Ccm na vyombo vyao vya dola.

..tu-deal na hao badala ya kushambuliana wenyewe kwa wenyewe.
CCM ina mkono mrefu ina pesa chafu inaweza kumnunua yeyote, hata Zitto, Katambi na vibaraka wengine walikuwa Chadema lkn walidhibitiwa mapema.
 
Lema ni team Mbowe, matendo yake na matamshi yake yanatia wasiwasi .

Kamponza Pambalu aje kwenye mkutano wake wa Arusha kuwa Tanzania ni salama, na serikali imemhakikishia usalama wake kama yeye aliyohakikishiwa aliporudi kutoka Canada.

Chadema isipokuwa makini na kuchukua hatua mapema, anakwenda kuirubuni Kamati Kuu na wajumbe wa Baraza Kuu baadaye iwe rahisi kukiteka chama kwa pesa za Abdul.

Chadema ni sikio la kufa.
mmeshikwa akili na mange na Maria, CHADEMA ni TAASISI
 
Lema ni team Mbowe, matendo yake na matamshi yake yanatia wasiwasi .

Kamponza Pambalu aje kwenye mkutano wake wa Arusha kuwa Tanzania ni salama, na serikali imemhakikishia usalama wake kama yeye aliyohakikishiwa aliporudi kutoka Canada.

Chadema isipokuwa makini na kuchukua hatua mapema, anakwenda kuirubuni Kamati Kuu na wajumbe wa Baraza Kuu baadaye iwe rahisi kukiteka chama kwa pesa za Abdul.

Chadema ni sikio la kufa.
Mimi nilikuwa naomba ushahidi wa haya msemayo, nasema hv kwa sababu moja, tunaweza kuwa tunampaka mtu matope kumbe ni safi au sio safi, suluhisho la hili ni kuweka ushahidi ili watu wajue
 
Back
Top Bottom