CHADEMA kumtema mbunge wa NCCR (Mkosamali)

Itakuwa busara cdm wakikataa kumpokea huyu kijana kwa lengo la kumsimamisha kuwa kugombea ubunge labda awe mwanachama wa kawaidi kwa sababu zifuatazo:

1. Mkosamali ana uwezo wa kawaida sana kiasi kwamba atawasumbua wakati wa kumnadi labda angekuwa na uwezo km wa kafulila angefikiriwa.

2. Alishinda kwa kubebwa sana na baadhi ya viongozi wa dini ambao walikuwa na ugomvi na mgombea wa ccm kwa kuwa aliwahi kuwashtaki mahakamani na kutakiwa na mahakama kumlipa mamilioni ya fedha na pia mgombea huyo wa ccm anasemekana kuwa ni jambazi, endapo ccm watambadilisha itakuwa hatari sana kwa chadema.

3. Hadi leo hana hata chembe alichokifanya ktk jimbo ile hali wakati wa kampeni alitoa ahadi nyingi sana kwa kusema atazikamilisha ndani ya muda mufupi hivyo ccm watapata mahala pa kushikia kwa kusema wapinzania hawawezi kuwaona mawaziri ndo maana hata huyu hadi leo hana alichoweza

4. Kesi yake ni kubwa sana na ana asilimia nyingi sana za kushindwa na ndo maana anahangaika mapema hivi, kwa mtaji huu chadema wampokee au wasimpokee uchaguzi mdogo itakuwa ni lazima.

5. Huyu mkosamali ni miezi 3 kabla ya uchaguzi wa mwaka jana alikuwa ni kiongozi wa vijana wa chadema wilaya na alihamia nccr yeye na Moses machali wa kasulu mjini kwa taarifa zisizo rasmi kuwa mbatia atawapa pesa za uchaguzi ambazo chadema walisema hawataweza kuwapa kwa uchaguzi ule. Km aliweza kuhama kwa sababi mbovu km hii kuna haja gani ya kumpokea? Akipewa pesa na ccm si atatuuzia jimbo?
6. Chadema kwa sasa ina vijana wengi waadilifu na wenye mapenzi ya kweli km vile kashindye wa igunga watakaoweza kupeperusha bendera ktk uchaguzi mdogo na sio tuokoteze hawa wasioeleweka misimamo yao na kuwakabidhi majimbo.

Chadema imara itajengwa na wanachama imara,
Viva chadema viva Tanzania

Naomba kuwasilish
Mkosamali amekaririrwa juzi akisema hana mpango wa kuhama chama chake. Sijui huu mjadala unatoka wapi. Hata hivyo, nakubaliana nawe hapo kwenye maandishi yaliyokolea. Ni vema hawa wanaokimbiakimbia wakapata ujumbe kwamba vyama vinaweza kusonga mbele bila kujali wao wako wapi.
 
Uwezo anao, ila chadema wanapaswa wampige bench kidogo ili ajifunze.
 
Itakuwa busara cdm wakikataa kumpokea huyu kijana kwa lengo la kumsimamisha kuwa kugombea ubunge labda awe mwanachama wa kawaidi kwa sababu zifuatazo:

1. Mkosamali ana uwezo wa kawaida sana kiasi kwamba atawasumbua wakati wa kumnadi labda angekuwa na uwezo km wa kafulila angefikiriwa.

2. Alishinda kwa kubebwa sana na baadhi ya viongozi wa dini ambao walikuwa na ugomvi na mgombea wa ccm kwa kuwa aliwahi kuwashtaki mahakamani na kutakiwa na mahakama kumlipa mamilioni ya fedha na pia mgombea huyo wa ccm anasemekana kuwa ni jambazi, endapo ccm watambadilisha itakuwa hatari sana kwa chadema.

3. Hadi leo hana hata chembe alichokifanya ktk jimbo ile hali wakati wa kampeni alitoa ahadi nyingi sana kwa kusema atazikamilisha ndani ya muda mufupi hivyo ccm watapata mahala pa kushikia kwa kusema wapinzania hawawezi kuwaona mawaziri ndo maana hata huyu hadi leo hana alichoweza

4. Kesi yake ni kubwa sana na ana asilimia nyingi sana za kushindwa na ndo maana anahangaika mapema hivi, kwa mtaji huu chadema wampokee au wasimpokee uchaguzi mdogo itakuwa ni lazima.

5. Huyu mkosamali ni miezi 3 kabla ya uchaguzi wa mwaka jana alikuwa ni kiongozi wa vijana wa chadema wilaya na alihamia nccr yeye na Moses machali wa kasulu mjini kwa taarifa zisizo rasmi kuwa mbatia atawapa pesa za uchaguzi ambazo chadema walisema hawataweza kuwapa kwa uchaguzi ule. Km aliweza kuhama kwa sababi mbovu km hii kuna haja gani ya kumpokea? Akipewa pesa na ccm si atatuuzia jimbo?
6. Chadema kwa sasa ina vijana wengi waadilifu na wenye mapenzi ya kweli km vile kashindye wa igunga watakaoweza kupeperusha bendera ktk uchaguzi mdogo na sio tuokoteze hawa wasioeleweka misimamo yao na kuwakabidhi majimbo.

Chadema imara itajengwa na wanachama imara,
Viva chadema viva Tanzania

Naomba kuwasilisha

Zote ulizoandika hapo ni pumba tupu
 
Haya bana yangu tayari nimeyasema, sidhani km kutoa mtizamo kwa jambo fulani ni wivu.

Habari yako 2015
1. Wewe ni mwanaume au mwanamke?
2. Huyu mbunge umesoma naye au umewahi kuishi karibu naye?
3. Elimu yako ni ipi! (Umesoma mpaka level gani)?
4. Umewahi kugombea uongozi wowote ndani ya chama chako?
5. Una mpango wa kugombea kupitia chama gani hiyo 2015?
 
Napata wakati mgumu katika kumwelewa mleta hoja,kwani pengine ni kwa sababu anadhani kwamba yeye peke yake ndiye anaye mjua ndg yetu Mkosamali,kumbe wengi tunamjua juu ya uthubutu wake katika ujenzi wa hoja na michango yake bungeni haiwezi kusahulika hasa kwa jinsi anavyo jipambanua katika utetezi wa masuala yanayo wasibu vijana na Taifa kwa ujumla,pia kwa huyu mleta hoja ambaye anatoa ushauri kwa CHADEMA kwa kutompa nafasi ya kugombea ni upuuzi na uzandiki kwa yeye kudhani CHADEMA ni mali ya viongozi wa Chama,kwani CHADEMA ni mali ya wananchi wote,kwa maana ya wananchi wote wanaolipa kodi,Hivyo ni mchakato wa kikatiba ya nchi na ya chama ndiyo inayoamua namna ya kuwapata wagombea wake.Hivyo huyu anayeleta kusudio la zuio kwa mkosa Mali huku akijivika blanketi la CHADEMA kwamba ni mwanachama mwadilifu!!!!!!!hatuwezi kuwa na wanachama wanao jiita waadilifu wakati hawajui hata misingi ya kikatiba ya kichama inayozaa mchakato wa maamuzi ya kichama.CHADEMA ni chama makini,kinafanya maamuzi yake kwa kuzingatia taratibu zote za kikatiba,yaani ya nchi na ya chama.Mkosamali ni miongoni mwa vijana wenye kuthubutu,huyu anayeleta hoja atabaki kulaumu vijana wenzie na pengine nchi kama nchi huku yeye hathubutu hata kugombea serikali ya mtaa,huyu mleta hoja yeye amefanya nini kama kijana huko anako kuita kasuru au Tanzania.Tuache Chuki na Unafiki wa namna hii.Pia namsihi akasome majukum makuu ya Bunge baada ya hapo aone ni kipi ,ni yapi ambayo anadai Ndg Mkosamali Hajayatekeleza,huku na yeye ameshirikije katika kuyatekeleza.
 
Mwana Mpotevu akisharudi Nyumbani - Kama Mzazi lazima UMpokee - Mfanyie sherehe kubwa, Mvalishe VAZI lililo bora, Mvalishe PETE katika kidole chake Ishara ya USHINDI.

Karibu HOME Mpiganaji -- Hayo mengine yameshapita -- Kawaida sisi huwa tunasonga mbele tu. Kazi yetu kubwa ni kuwakomboa watanganyika ambao wengi wao wameanza kukata tamaa - we have to do it NOW!!!. Alutaa...
 
Tuntemeke inaonekana mbowe alikuhaidi kukuowa kwani kila nikisoma post zako huachi kumtaja mbowe unamimba yake nini kazi yako kubwa kumchafua mbowe slaa sasa hivi umehamia kwa lema unashida gani au naye lema alikuhaidi kukuowa au dada yako au kwenye ukoo wenu aliahidi kuowa mmoja wenu hoja ina muhusu mkosamali umewahi kwa lema mbowe slaa sema kama unamimba yao mbona sisi hatongelei ya ccm akina yusuph makamba mtoto wake yupo ndani ya chama mwinyi mtoto wake yupo ndani ya chama tena waziri wa ulinzi rizi wani kikwete yupo ndani ya chama salma kikwete acha majungu na nyumba ya jirani ya jirani waachie jirani wenyewe chadema tuachie chadema yetu na wabunge wetu mimba yako peleka kwa nape na mukame na chiligati na nec ya chama cha chukua chako mapema
 
Mkosamali kimsingi ni kijana wetu ambaye alijichagulia kujifunza siasa hata akiwa mazingira nje ya CHADEMA lakini sasa AMEJIFUNZA kwamba nyumbani kwake sahihi ni CDM.

Sasa kijana akisharudi nyumbani na zile juhudi zake binafsi tunazozifahamu kwa rekodi ya hapo nyuma kidogo, ni vema tukampitisha kwenye tanuri lile lile la kuzingatia utaratibu wetu wa demokrasia ya ndani ya chama chetu ambapo binafsi nampa nafasi kubwa kuibuka mshini, CHADEMA tumpe huyu kijana sapoti ya nguvu.

Tunapojiuliza maswali ya msingi kama vile 'Mhe Mkosamali anatafuta nini tena CDM ambacho hakipati kule NCCR Mageuzi ambacho hashawishiki kwenda kukitafuta kupitia hata huko CCM au TLP wakati kama ni ubunge tayari yeye yuko mjengoni Dodoma???????' na jibu linaonekana wazi mno hapa chini.

Hakuna ubishi kwamba Mhe Mkosamali (1) anatafuta CHOMBO SAHIHI kumwezesha kutumikia vema wapiga kura wake, (2) anatafuta demokrasia ya ndani ya chama na kupewa nafasi ya kutosha KUWA CHACHU WA MABADILIKO YA KWELI HUKU AKICHEZA KAMA MWANA-TIMU anayepewa ushirikiano wa kutosha.

Ndio, nasema ya kwamba mbali na huyu ndugu yetu kuhitaji zaidi kutiwa moyo kama mfano bora VIJANA KUWA NI VIONGOZI WA LEO NA WA SI LAZIMA KUWA TU VIONGOZI WA KESHO; (3) Mhe Mkosamali kama mwanasiasa chipukizi kuliko wote katika Bunge letu hili kimsingi anatafuta MALEZI MEMA KISIASA ili baadaye naye aje awe kama Mwalimu Nyerere wa kizazi chetu hiki ambapo hakuna ubishi kwamba tunakabiliwa na changamoto za HITILAFU ZA MAADILI NA UONGOZI BORA.

Hakuna anayeshindwa kukubali kwamba huyu ndugu tayari anayo mtandao wake wa kutegemewa jimboni, aliyenayo MKAKATI MAENDELEO YA JIMBO iliobora zaidi kwa sasa ni Mhe Mkosamali.

Nawaamini sana viongozi wetu wa chama busara zao, umahiri katika maamuzi ya kidemokrasia hivyo kumsaidia zaidi kujenga jimbo lake na hivyo tutaweza kufanikiwa kupunguza idadi ya maadui wa kisiasa mkoani hapo, kutumia gharama ndogo kumpata mbunge kupitia kijana anayependwa sana mashinani, na kubwa zaidi kuweza kuteka majimbo mengine mengi maeneo ya hapo jirani.

Vijana tutazame mbele zaidi kuona picha kubwa kuliko kuendelea kutukuza vitu vidogovidogo. Maslahi ya Tanzania mbeeeeeele kama tai, mambo mengi yote baadaye.
no comment
 
Mkuu naunga mkono hoja.Kama atapenda kujiunga na CDM yatosha kuwa mwanachama wa kawaida kwa sasa.
Sitaki kuaminishana kwamba hatuna watu wazuri wa kugombea kwa sasa mpaka wahamie kutoka vyama vingine.
Shibuda bado ni tatizo kubwa ndani ya chama sitamani kuona tukitengeneza lingine.Si jambo la busara kuamini mtu wa namna hii bila kushuku.
Kwa kifupi maoni yako nayakubali isipokuwa tu KICHWA CHA HABARI kina walakini.
 
Ni kweli Shibuda bado ni kirusi ndani ya chama. Tutoe nafasi kwa vijana waliopo chamani kuonyesha uwezo wao kuliko hao amba hatujui kama ni wapiganaji au mamluki.
 
Huyo mgombea wa CCM Jamal Tamim hakuwa safi (Kura za maoni za Wahusika wa Biashara za Maalbino alikuwa No. 1 wilaya ya Kibondo), hata Kamati ya Maadili ya CCM Mkoa haikuwa na imani naye.

Mkuu imebidi nikopi hiyo sentesi yako kwani imenishitua sana, yaani katika mazingira kama hayo kweli CCM bado walidiriki kumsimamisha huyu jamaa kugombea Ubunge wa wananchi!!!????? mwenyemacho haambiwi tazama. Kwa hiyo inawezekana kunawengine wa aina kama hiyo wako Mjengoni???? kwa hali hii Pinda atalia sana. Lakini hebu tujiulize huyu jamaa alishaonana na pilato au bado anaendelea kudunda mitaani!
 
Sidhani kama ulichokiandika una uhakika nacho kuhusu huyu mbunge kinacho nisikitisha kwanza wewe siyo mpigakura wake, pili Shutuma unazozitoa dhidi ya mbunge ni za kinafiki kwani si zakweli na hazina utafiti na hivo ni za uwongo mtupu.
Kwa kukusaidia, mpaka sasa Mh. mbunge amefanya yafuatayo katika jimbo lake;
1. Anawalipia ada watoto zaidi ya 300.
2. Ameanzisha Mhambwe Constituency Development Fund ambayo inasaidia vikundi mbalimbali.
3. Amesaidia kufanikisha vikundi mbalimbali kupata Matrekta
4. Ametoa madawati katika shule mbalimbali.
5. Ametoa Generator katika shule za sekondari mfano wake katizame Mkugwa high school.
6. Ametoa vitabu Mashuleni
7.Ametoa mipira kuhamasisha michezo kwa vijana walioko mashuleni.

Lakini pia anauzoefu wa kutosha katika siasa tofauti unavofikiria.
1. Amekuwa kiongozi kuanzia Shule ya sekondari hadi chuo kikuu, na Ameshiriki chaguzi mfano kugombea Urais chuoni, ambapo alikuwa mbunge na waziri chuoni.
2.Katika Chama cha NCCR ni Mwenyekiti wa vijana Taifa.
3. Katika Bunge la Tanzania ni mjumbe wa Kamati ya Katiba, sheria na utawala
Kwa hiyo ni kosa kutumia mtandao kumchafua kiongozi, na ukitaka uhakika fika jimboni kwake. NO RESEARCH, NO RIGHT TO SPEAK.
 
Huyo mgombea wa CCM Jamal Tamim hakuwa safi (Kura za maoni za Wahusika wa Biashara za Maalbino alikuwa No. 1 wilaya ya Kibondo), hata Kamati ya Maadili ya CCM Mkoa haikuwa na imani naye.

Mkuu imebidi nikopi hiyo sentesi yako kwani imenishitua sana, yaani katika mazingira kama hayo kweli CCM bado walidiriki kumsimamisha huyu jamaa kugombea Ubunge wa wananchi!!!????? mwenyemacho haambiwi tazama. Kwa hiyo inawezekana kunawengine wa aina kama hiyo wako Mjengoni???? kwa hali hii Pinda atalia sana. Lakini hebu tujiulize huyu jamaa alishaonana na pilato au bado anaendelea kudunda mitaani!

Alikuwa anatetewa na JK mwenyewe kwa sababu ya Pesa zake. Lakini pia ni swahiba mkubwa wa RA kwa hiyo alikuwa na utetezi mzito CCM Taifa. Ndio maana Katibu wa CCM Mkoa wa Kigoma wakati ule (Castico) alihamishwa Kigoma katikati ya Kampeni, tena siku ambayo JK alifanya ziara za kampeni Kigoma.

Jamal alitetewa mkoani kwenye kamati ya Maadili na Azim Premji (Mwenyekiti wa CCM Mkoa) na Muhsin Abdallah Sheni (Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa Mkoa Kigoma), na hawa wawili pamoja na Castico ndio walikuwapo Dodoma wakati wagombea wanapitishwa. Wawili (Premji na Sheni) walimtetea Jamal na mmoja (Castico) alisimamia maoni ya wananchi na Kamati ya Maadili Mkoa, akazidiwa nguvu.

Hapa inaonesha jinsi mgongano wa maslahi kwa hawa wafanyabiashara matajiri (wenye asili ya Kiasia) unavyotawala wanapoingia siasa. CCM imewajaza yenyewe kwa kuthamini pesa zao, lakini hao hao ndio wanazidi kuonesha wananchi kuwa hawako kwa maslahi ya wananchi
 
Sasa ni wakati muafaka wa kumleta mtoa hoja,kwa mtoa hoja kufuta kusudio ya kauli yake au kuleta uthibitisho wa madai yake,huku akifahamu majukum makuu ya mbunge na nini ambacho anasema mbunge hajakitekeleza,huku akijua kwamba hata mwaka mmoja haujaisha toka huyu Ndg Mkosamali apewe ridhaa ya uwakilishi.,pili akileta tathimini ya wabunge waliopita kabla ya mkosamali walifanya nini? Mkosamali ameipokeaje hali hiyo na anairatibuje hali hiyo.
 
Itakuwa busara cdm wakikataa kumpokea huyu kijana kwa lengo la kumsimamisha kuwa kugombea ubunge labda awe mwanachama wa kawaidi kwa sababu zifuatazo:

1. Mkosamali ana uwezo wa kawaida sana kiasi kwamba atawasumbua wakati wa kumnadi labda angekuwa na uwezo km wa kafulila angefikiriwa.

2. Alishinda kwa kubebwa sana na baadhi ya viongozi wa dini ambao walikuwa na ugomvi na mgombea wa ccm kwa kuwa aliwahi kuwashtaki mahakamani na kutakiwa na mahakama kumlipa mamilioni ya fedha na pia mgombea huyo wa ccm anasemekana kuwa ni jambazi, endapo ccm watambadilisha itakuwa hatari sana kwa chadema.

3. Hadi leo hana hata chembe alichokifanya ktk jimbo ile hali wakati wa kampeni alitoa ahadi nyingi sana kwa kusema atazikamilisha ndani ya muda mufupi hivyo ccm watapata mahala pa kushikia kwa kusema wapinzania hawawezi kuwaona mawaziri ndo maana hata huyu hadi leo hana alichoweza

4. Kesi yake ni kubwa sana na ana asilimia nyingi sana za kushindwa na ndo maana anahangaika mapema hivi, kwa mtaji huu chadema wampokee au wasimpokee uchaguzi mdogo itakuwa ni lazima.

5. Huyu mkosamali ni miezi 3 kabla ya uchaguzi wa mwaka jana alikuwa ni kiongozi wa vijana wa chadema wilaya na alihamia nccr yeye na Moses machali wa kasulu mjini kwa taarifa zisizo rasmi kuwa mbatia atawapa pesa za uchaguzi ambazo chadema walisema hawataweza kuwapa kwa uchaguzi ule. Km aliweza kuhama kwa sababi mbovu km hii kuna haja gani ya kumpokea? Akipewa pesa na ccm si atatuuzia jimbo?
6. Chadema kwa sasa ina vijana wengi waadilifu na wenye mapenzi ya kweli km vile kashindye wa igunga watakaoweza kupeperusha bendera ktk uchaguzi mdogo na sio tuokoteze hawa wasioeleweka misimamo yao na kuwakabidhi majimbo.

Chadema imara itajengwa na wanachama imara,
Viva chadema viva Tanzania

Naomba kuwasilisha

Naunga mkono hoja kwa %100 asipewe nafasi ya kugombea ubunge.
 
Mbona mbowe anauwezo wa kawaida sana kataka kufikiri kuliko mkosamali na mmempa uenyekiti wa chama au bso chama ni cha mkwe wake(mtei),kama ni kuhama chama mbona Dr slaa alikua mwanachama mwaminifu wa ccm au hilo hamlijui na leo ni katibu mkuu kwa nini asinge pewa prof.baregu ambae katika maisha yake hajawai kua ccm,kama hakuna alicho kifanya jimboni kwake mbona hata lema wa arusha hakuna alichokifanya zaidi ya kuwa na malumbano na viongozi wake wa chama jimboni.kama tatizo ni kesi inamwendea vibaya mbona hata lema wa arusha kesi yake lazima ashindwe.kamanda kama unanyemelea ubunge kwa chadema kaa vizuri ya mbowe kwani CDM sio chama bali ni kampuni
masaburi
 
Back
Top Bottom