CHADEMA kumtema mbunge wa NCCR (Mkosamali)

CHADEMA kumtema mbunge wa NCCR (Mkosamali)

Alikuwa anatetewa na JK mwenyewe kwa sababu ya Pesa zake. Lakini pia ni swahiba mkubwa wa RA kwa hiyo alikuwa na utetezi mzito CCM Taifa. Ndio maana Katibu wa CCM Mkoa wa Kigoma wakati ule (Castico) alihamishwa Kigoma katikati ya Kampeni, tena siku ambayo JK alifanya ziara za kampeni Kigoma.

Jamal alitetewa mkoani kwenye kamati ya Maadili na Azim Premji (Mwenyekiti wa CCM Mkoa) na Muhsin Abdallah Sheni (Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa Mkoa Kigoma), na hawa wawili pamoja na Castico ndio walikuwapo Dodoma wakati wagombea wanapitishwa. Wawili (Premji na Sheni) walimtetea Jamal na mmoja (Castico) alisimamia maoni ya wananchi na Kamati ya Maadili Mkoa, akazidiwa nguvu.

Hapa inaonesha jinsi mgongano wa maslahi kwa hawa wafanyabiashara matajiri (wenye asili ya Kiasia) unavyotawala wanapoingia siasa. CCM imewajaza yenyewe kwa kuthamini pesa zao, lakini hao hao ndio wanazidi kuonesha wananchi kuwa hawako kwa maslahi ya wananchi
Kha!!!!! Mkuu wanaJF tunashukuru kwa kutuanikia na kutuonyesha MBIVU na MBICHI. " Ole wenu Mafarisayo na Wanasheria kwa maana mnawatwisha watu wengine mizigo mizito wakati nyinyi wenyewe hamuiguzi wala kwa ncha ya vidole vyenu."
 
NCCR wanaoperesheni ondoa wachaga(mbatia)ikiongozwa na kafulila na sasa mkosamali anataka kwenda chadema haoni atakua ameluka mkojo amekanyaga kinyesi amuulize kilicho mkimbiza chadema mwenzake kafulila atamjuza.kinacho mponza shibuda ni kuwa muwazi ndani ya kampuni ya mtu ye akizani chadema ni taasisi.
 
Mkuu naunga mkono hoja.Kama atapenda kujiunga na CDM yatosha kuwa mwanachama wa kawaida kwa sasa.
Sitaki kuaminishana kwamba hatuna watu wazuri wa kugombea kwa sasa mpaka wahamie kutoka vyama vingine.
Shibuda bado ni tatizo kubwa ndani ya chama sitamani kuona tukitengeneza lingine.Si jambo la busara kuamini mtu wa namna hii bila kushuku.
Kwa kifupi maoni yako nayakubali isipokuwa tu KICHWA CHA HABARI kina walakini.

Shibuda sio tatizo ndani ya chadema titizo ni ukaskazini hivi shibuda alieshinda ubunge wa maswa na mkurugenzi wa halmashauri na bunge wa chadema alie pata kura2000 zidi ya 36000. za augustino mrema nani ni tatizo ndani ya chama au bso shibuda ni msukuma
 
Shibuda sio tatizo ndani ya chadema titizo ni ukaskazini hivi shibuda alieshinda ubunge wa maswa na mkurugenzi wa halmashauri na bunge wa chadema alie pata kura2000 zidi ya 36000. za augustino mrema nani ni tatizo ndani ya chama au bso shibuda ni msukuma

NCCR wanaoperesheni ondoa wachaga(mbatia)ikiongozwa na kafulila na sasa mkosamali anataka kwenda chadema haoni atakua ameluka mkojo amekanyaga kinyesi amuulize kilicho mkimbiza chadema mwenzake kafulila atamjuza.kinacho mponza shibuda ni kuwa muwazi ndani ya kampuni ya mtu ye akizani chadema ni taasisi.

Mkuu umesomeka.

1. Unamfagilia Shibuda
2. Una dhana kuwa CHADEMA inaendeshwa kama kampuni binafsi!!!!!!!!

Hayo ndiyo maoni yako kwa kifupi!!!!!!!
 
Back
Top Bottom