AMARIDONG
JF-Expert Member
- Jun 24, 2010
- 2,502
- 180
CHADEMA IMEPANIA KUTUMIA IBARA YA 46 YA KATIBA YA JAMHURI KUMUONDOA JK MADARAKANI IBARA HII INASEMA
JAMAA HAFAI KWANZA AMEVUNJA SHERIA KATIKA KUINGIA MADARAKANI NA PILI ANAKIDHLILISHA KITI CHA URAISI SASA HUU NI WAKATI WA UPINZANI WA KWELI NA BINAFSI NAWAUNGA MKONO CHADEMA ENDELEENI MBELE HUYU MKWERE HATUMTAKI.
""Bila ya kujali masharti ya ibara ya 46 ya Katiba hii, Bunge linaweza kupitisha azimio la kumuondoa Rais madarakani endapo itatolewa hoja ya kumshtaki Rais na ikapitishwa kwa mujibu wa masharti ya ibara hii.
(2) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya ibara hii, hoja yoyote ya kumshtaki Rais haitatolewa isipokuwa tu kama inadaiwa kwamba Rais-
Sheria ya .
(a) ametenda vitendo ambavyo kwa jumla vinaivunja Katiba au Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma;
(b) ametenda vitendo ambavyo vinakiuka maadili yanayohusu uandikishwaji wa vyama vya siasa yaliyotajwa katika ibara ya 20 (2) ya Katiba, au
(c) amekuwa na mwenendo unaodhalilisha kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano"