Mawazo na msimamo wako siku zote ni kupotosha .Chadema kama chama wanaweza kuendelea kuongelea muundoa wa serikali nje ya UKAWA what is so wrong bro . Think bigger
Wazee gani ni hawa hawa mnaowatukana kila siku humu JF kuwa kazi yao kukaa vibarazani waswahili wanywa kahawa.
Chadema dar kinawazee wawili tu mzee slaa na mzee baregu kikao cha watu wawili sijui kama kitanoga.Ritz hapana hawa ni wale wasomi ,, wachungaji wastaaf, na wenye nazo... wenye IQ kubwa ya kufikiria ukombozi wa nchi hii wale wenye kuiunga kauli mbiu yetu ya 'TULIANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU' wale wazee wako wanywa kahawa kariakoo wasiojielewa na wavaa vibaghashia samahani hawana nafasi hapa.....ndo maana huwa tunawazodoa humu kwa kashfa kedekede... tukiwaalika si itakuwa kama tumelamba matapishi yetu???
Hii ndiyo maana ya ukawa ijue vema mkuu.Ndugu, nini maana ya UKAWA-ndani na UKAWA-nje lakini kikubwa zaidi, nini chanzo na kichocheo cha UKAWA?.
Huo siyo mkutano wa kujenga chama katika msingi wa sera zake, ndiyo maana nikasema CHADEMA chao ni chao na cha wengine kwa maana kuwa CUF and NCCR-Mageuzi ni chao!
Waislam mnawasoma Chadema lakini hawa ndiyo wanataka kuchukuwa nchi si bora kutwaliwa na mbwa kuliko hawa wapuuzi nilikuwa nipo UKAWA nimejitoa kutokana na kauli za pro-Chadema kuwatukana Wazee wetu sasa hivi UKAWA ni maadui zetu.Ritz hapana hawa ni wale wasomi ,, wachungaji wastaaf, na wenye nazo... wenye IQ kubwa ya kufikiria ukombozi wa nchi hii wale wenye kuiunga kauli mbiu yetu ya 'TULIANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU' wale wazee wako wanywa kahawa kariakoo wasiojielewa na wavaa vibaghashia samahani hawana nafasi hapa.....ndo maana huwa tunawazodoa humu kwa kashfa kedekede... tukiwaalika si itakuwa kama tumelamba matapishi yetu???
Na wale wazee wakichagaa wa Kimara.Chadema dar kinawazee wawili tu mzee slaa na mzee baregu kikao cha watu wawili sijui kama kitanoga.
Sasa hii ni UKAWA au CHADEMA.
Hawa wanadai wameungana kwenye suala la katiba na kwa maana hiyo, ukiongea kuhusu katiba, basi lazima jina UKAWA liwe zaidi ya jina la chama kama CHADEMA.
Au ndiyo yale yale ambayo ni mwendelezo wa misingi ya kibaguzi
na ubinafsi kwa maana kwamba chako ni changu na changu ni changu.
Wewe CUF au NCCR-Mageuzi ukiandaa tunaita UKAWA lakini mimi nikiandaa tunaita CHADEMA!.
Mchagga aliyekutenda , lazima atakuwa Rijali kisawasawa maana huishi kukumbukia wachagga kila mahali.........Na wale wazee wakichagaa wa Kimara.
Wazee gani ni hawa hawa mnaowatukana kila siku humu JF kuwa kazi yao kukaa vibarazani waswahili wanywa kahawa.
Sikuhizi huwa nikiagiza nasema nipatie Kinana bariid kabisa! Mara nyingi wahudumu wananielewa, wasiolewwa nawapa darsa! Teh teh teh!Ndugu, Mimi ni mwanachama wa kawaida ndani ya CCM.
Kinana ni Katibu Mkuu wa CCM na Nape ni Katibu wa NEC Taifa wa Itikadi na Uenezi.
TANZANIA KWANZA haina uhusiano wowote na CCM kama chama.
Ziara za Katibu Mkuu zimepangwa kabla hata ya Bunge la Katiba halijaundwa.
Kwa kukusaidia, ukienda kwenye mikutano ya kikundi kinachojiita UKAWA, utagundua kuwa majina ya Mzee Kinana na Nape yanatajwa mara nyingi zaidi ya neno Katiba ambalo ndiyo wanadai ni ajenda mama. Kwa maana nyingine, Mzee Kinana na Nape ndiyo imekuwa ajenda kuu kwenye mikutano ya kikundi kinachojiita UKAWA.
Fanya huo uchambuzi na utakubaliana na hiki ninachokisema.
Fanyeni vyote zungukeni huko sijui UKAWA sijui Tanzania kwanza ila Tanganika yetu tunaitaka.
Sikuhizi huwa nikiagiza nasema nipatie Kinana bariid kabisa! Mara nyingi wahudumu wananielewa, wasiolewwa nawapa darsa! Teh teh teh!
Mkuu kwani hawanywi kahawa, tusi liko wapi hapo, uzuri hawaingii humu kuchungulia umbea na uchonganishi wakoWazee gani ni hawa hawa mnaowatukana kila siku humu JF kuwa kazi yao kukaa vibarazani waswahili wanywa kahawa.