Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,163
- 5,768
Ushahidi wa kesi za mauaji huwa sio wa kukurupuka kama mnavyodhani unahitaji maandalizi, hasa ikiwa unayetegemea kusikiliza kesi ndiye mtuhumiwa.
Chadema waliomba iundwe tume ya kijaji ili wakabidhi mkanda lakini hata kujibiwa tu hawakujibiwa ulitaka wamkabidhi nani Kova au Chagonja?
Kwa vile lengo la bomu lililenga kisiasa vilevile utoaji wa mkanda unahitaji timing ya kisiasa.
Acha kuleta longolongo wewe hakuna mtoto hapa. Msipende kutetea upuuzi. Miaka yote hiyo walikuwa wapi?