Ntaluke.N.
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,340
- 552
Nawashauri mkaikabidhi ujeruman alikokuwa kikongwe wenu
Ila atambue inshu ya ushoga hapa tz ilishapigwa chini so asipokee misaada kwa kuwadanganya kuwa atairudisha hapa bongo...imekula upande wake hiyo...unatafuta misaada ili kuuza nchi?? Halafu eti naye anataka urais wakati hata familia yake imemshinda!!!kaishia kusingizia watu walinz wake eti wanataka kumuua?? Shame on babuuu
Mbona mnakuwa waoga hivi kukabidhiziwa hiyo CD..Si ikabidhiwe ili tuchambue mbivu na mbichi.