CHADEMA kukabidhi Mkanda (CD) ya mauaji ya wanachama wake Soweto

What you mean mheshimiwa,unaposema mikono salama ndani ya nchi,maana ukisema hivyo si ndo kuikabidhi serikali au ulikuwa na maana tofauti.

Na vipi ingetolewa wakati ule wa kampeni sio ingekuwa bora maana wangekuwa wanahangaika kujibu shutuma huku wengine wanachanja mbuga....Not sure but I think wana reason kubwa sana ya kimkakati kuitoa sasa hivi
Sentensi yako ya mwisho ndiyo yenye ujumbe.

Wangeitoa kwenye kampeni zipi kama ni uchaguzi wa marudio wa madiwani wa Arusha Chadema walishinda kata zote, huu ndio muda mwafaka wa kuitoa kama ulivyosema kimkakati.
 
Muda wote watu wamepiga kelele kwamba watoe ushahidi waligoma kwa visingizio kibao, leo hii eti wanaikabidhi serikali, baada ya kuona kuna uchaguzi siku chache zijazo enhee? Tukisema Chadema wanatengeneza mauaji ili yawe mtaji wao wa kisiasa mnatutukana, sasa hiki kinachoelekea kufanywa ni nini? Walifanya yote hayo ili wasubiri muda wa uchaguzi wawagawe wananchi. Kama kweli wana huruma na watu waliopata maafa kipindi kile kwa nini wasingetoa huo mkanda kipindi kilekile ili hatua za kisheria zichukuliwe haraka? Huu uhuni haufai hata kidogo,serikali ianze na hao watakaopeleka huo ushahidi iwaulize muda wote walikuwa wapi. hao hao ndio wanajua tukio nzima lilikuwaje. Ifike mahala tuache kuvumilia ujinga wa namna hii.
 
si walisema wana mkanda wa ushahidi kwamba bomu lilirushwa na polisi? Sasa imekuwa ni watu wanaosadikiwa kuwa usalama wa taifa tena? Hata wakiweza kutoa hiyo cd (which i seriously doubt), tutaweza kujua kama huyo aliyerusha ni usalama wa taifa na siyo chadema wenyewe?

polis pia ni usalama wa taifa kwa taarifa yako kama hujui.
 
Kama hiyo CD ipo mlishindwa nini kuisambaza kwa wananchi, mbona Lema anasambaza CD yake na Chadema makao makuu walimpa John Heche CD ya Mwangosi kuzunguka nayo Ulaya kuombea misaada.
 
mud a wote hawajaleta Leo ndo walete,wanataka kuleta machafuko tu! ndo maana tunasema viongozi wa cdm bado hawajakomaa,maana ukiwauliza lengo lao ni nini sijui kama wanajibu la Msingi
Kwani waliorusha hayo mabomu hawakuleta machafuko?
 
mud a wote hawajaleta Leo ndo walete,wanataka kuleta machafuko tu! ndo maana tunasema viongozi wa cdm bado hawajakomaa,maana ukiwauliza lengo lao ni nini sijui kama wanajibu la Msingi

Kuwahabarisha wananchi juu ya ukweli wa kilichojiri 16.06.2014.Hilo ndilo lengo la CHADEMA
 
Kama hiyo CD ipo mlishindwa nini kuisambaza kwa wananchi, mbona Lema anasambaza CD yake na Chadema makao makuu walimpa John Heche CD ya Mwangosi kuzunguka nayo Ulaya kuombea misaada.

Kwema mkuu Ritz, tulikuwa tunasubiri serikali sikivu ya CCM kuunda tume huru ya kijaji halafu tuwakabidhi hiyo bidhaa adimu kujua ukweli wa mambo.
 
polis pia ni usalama wa taifa kwa taarifa yako kama hujui.

Yes, polisi ni usalama wa taifa, lakini si kila personnel wa usalama wa taifa ni polisi. Kwa hiyo kwa kuwa mwanzo walisema bomu lilirushwa na polisi basi watuonyeshe usalama wa taifa ambaye ni polisi akirusha bomu.
 
Muda wote watu wamepiga kelele kwamba watoe ushahidi waligoma kwa visingizio kibao, leo hii eti wanaikabidhi serikali, baada ya kuona kuna uchaguzi siku chache zijazo enhee? Tukisema Chadema wanatengeneza mauaji ili yawe mtaji wao wa kisiasa mnatutukana, sasa hiki kinachoelekea kufanywa ni nini? Walifanya yote hayo ili wasubiri muda wa uchaguzi wawagawe wananchi. Kama kweli wana huruma na watu waliopata maafa kipindi kile kwa nini wasingetoa huo mkanda kipindi kilekile ili hatua za kisheria zichukuliwe haraka? Huu uhuni haufai hata kidogo,serikali ianze na hao watakaopeleka huo ushahidi iwaulize muda wote walikuwa wapi. hao hao ndio wanajua tukio nzima lilikuwaje. Ifike mahala tuache kuvumilia ujinga wa namna hii.

Kama walihusika si ndiyo vizuri mtawakamata kirahisi?vyombo vyote vya usalama vipo chini yenu,hofu yenu ni nini sasa?
 
Mkabidhi na ile mliyokuwa mnamwagia watu Tindikali kule tabora pamoja na ile ya kumteka mlinzi wa slaa.
Kama nyie CCM mnao mkanda wa Tesha mliyemwagia tindikali toeni Chadema wana mkanda wa Soweto.
 
mud a wote hawajaleta Leo ndo walete,wanataka kuleta machafuko tu! ndo maana tunasema viongozi wa cdm bado hawajakomaa,maana ukiwauliza lengo lao ni nini sijui kama wanajibu la Msingi

Kuamua kutoa leo sio tatizo na lisikuume saanaa,na hii haiusiani na uletaji machafuko,na pia c kipimo sahii cha kumsibitisha mtu kwa amekomaa au ajakomaa kisiasa,hizo ni fikra za ki vivu. Jiukize kwa nini kesi ya kijinga ya Mr mbowe, icheleweshwe ije itolewe ukumu dk 89?
 
huu mwaka vimbwanga vingi sana, kuutoa mkanda muda huu karibia na uchaguzi jumlisha na kauli ya Nape kuwa CCM watashinda hata kwa goli la mkono.
 
But I doubt this could be a game of political distraction,trying to divert our attentions from bonus and high payments are to be paid to the parliamentarians.
 
Muda wote watu wamepiga kelele kwamba watoe ushahidi waligoma kwa visingizio kibao, leo hii eti wanaikabidhi serikali, baada ya kuona kuna uchaguzi siku chache zijazo enhee? Tukisema Chadema wanatengeneza mauaji ili yawe mtaji wao wa kisiasa mnatutukana, sasa hiki kinachoelekea kufanywa ni nini? Walifanya yote hayo ili wasubiri muda wa uchaguzi wawagawe wananchi. Kama kweli wana huruma na watu waliopata maafa kipindi kile kwa nini wasingetoa huo mkanda kipindi kilekile ili hatua za kisheria zichukuliwe haraka? Huu uhuni haufai hata kidogo,serikali ianze na hao watakaopeleka huo ushahidi iwaulize muda wote walikuwa wapi. hao hao ndio wanajua tukio nzima lilikuwaje. Ifike mahala tuache kuvumilia ujinga wa namna hii.
Ushahidi wa kesi za mauaji huwa sio wa kukurupuka kama mnavyodhani unahitaji maandalizi, hasa ikiwa unayetegemea kusikiliza kesi ndiye mtuhumiwa.

Chadema waliomba iundwe tume ya kijaji ili wakabidhi mkanda lakini hata kujibiwa tu hawakujibiwa ulitaka wamkabidhi nani Kova au Chagonja?

Kwa vile lengo la bomu lililenga kisiasa vilevile utoaji wa mkanda unahitaji timing ya kisiasa.
 
mud a wote hawajaleta Leo ndo walete,wanataka kuleta machafuko tu! ndo maana tunasema viongozi wa cdm bado hawajakomaa,maana ukiwauliza lengo lao ni nini sijui kama wanajibu la Msingi

Hivi anayeleta machafuko ni yule aliyetenda .. au yule anayesema kuhusu yaliyotendwa..??
 
lengume

Taarifa zingine CDM siyo za kuacha muda mrefu ikaendelea bila kukanusha au kuwekwa sawa .Jukwaa hili siku hizi imekuwa ka udaku.

Anyway kwa vyovyote kama ni kweli hatua yoyote ya kutoa Mkanda huo km kweli upo kwa sasa itakuwa kosa kubwa kwa CDM.Muda wa kufanya hivyo bado sana!

CC Tumaini Makene
 
Last edited by a moderator:
kuna sheria ya kuhusu watu wanaoficha ushahidi wa uhalifu makusudi,hiyo sheria itumike kuwaweka lokapu hao watakaopeleka huo mkanda,waulizwe kwanini wameficha ushahidi wa mauaji kwa miezi yote hiyo,mpaka wahalifu waweza kuwa wametokomea?.

ndo maana mi husema hawa jamaa ni wahuni,
 
Back
Top Bottom