Waberoya jinga kabisa hivi huyu dikiteita uchwara asiyetaka demokrasia asiyeheshimu katiba atakubali kushindwa.? Hivi sasa alipo aliingia kwa dhuruma, PhD ya kufoji unategemea nini?
Sent using
Jamii Forums mobile app[/QUOT
Demokrasia unayotaka ni ipi? Mbona hata hapa uko huru kuandika pumba zako na hakuna anae kughasi? udikteta unao usema wewe ni upi? Kwani kampeni hamkufanya? Mlipiga kampeni sanaaa,hadi mkawa mna copy na kupaste mapicha ya watu ili kuonyesha nyomi kwenye mikutano.Mwisho wa siku chali....Sasa hivi ni kufanya kazi kampeni hadi 2020.Mikutano ya maendeleo fanyeni kwenye majimbo yenu.