CHADEMA kuiunga mkono Jubilee ni kujisaliti

Wale they are moved by people and not ideas, wanamuunga mkono Kenyata kisa tu eti Raila ni rafiki ya Magufuli, nyie CHADEMA, hamjui kuwa Uhuru na Raila watapita tu? Yaani nyie kamwe hamtakaa mtawale Tanzania maana hamjui hata mnasimamia nini? Jirekebisheni.
Kwa huu upuuzi uliouandika inawezekana unafuata mkumbo tu pasipo elewa na kutojielewa pia. labda nikuulize je kuna siku CHADEMA walikuwa wanamuunnga mkono Odinga na ODM? ukitoa jibu jitafakari hicho ulichokiandika.
 
Maneno yote haya kwa sababu NASA na CCM wameshindwa. kama NASA ingeshinda hapa mtandani leo pasingekalika. binafsi nashukuru sana Odinga kuanguka iwe fundisho na mjue kuwa wakenya si mazuzu(ccm) kama watanzania
 
Uwe unafanya research kidogo badala ya kuandika kitu ambacho si kweli. Ni nani aliyeanza kuwa msaliti!?

Raila Odinga Aeleza Kenya Ilivyopokea Ushindi Wa Magufuli Na Kama Aliwahi Kumgusia Kuutaka Urais
2 years ago Comments Off on Raila Odinga Aeleza Kenya Ilivyopokea Ushindi Wa Magufuli Na Kama Aliwahi Kumgusia Kuutaka Urais
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga ambaye ni rafiki wa Dkt. John Magufuli ameeleza jinsi ambavyo chama chake cha ODM na Kenya walivyoupokea ushindi wa kada huyo wa CCM kugombea kiti cha urais wa Tanzania.

Akiongea na kituo cha runinga cha ‘Azam Two’, Odinga alisema kuwa wameufurahia sana ushindi wa Magufuli. Alisema wana imani kubwa kuwa kwa utendaji wake atasaidia kuimarisha zaidi umoja wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

“Sisi kama rafiki wa Tanzania tumefurahishwa sana na ambayo yamefanyika. Kuteuliwa kwa bwana maguguli kama yule ambaye atabeba bendera ya chama cha CCM, imetufurahisha sana hapa Kenya. Ndio maana sisi tunasema pongezi na heko kwa bwana Magufuli,”alisema Raila Odinga.

Odinga alieleza kuwa amemfahamu Dkt. Magufuli kwa kipindi kirefu na wamekuwa wakishirikiana kwa ukaribu na kushauriana tangu walipokuwa wanafanya kazi kama mawaziri wa wizara za ujenzi na barabara wa nchi zao. Hivyo, anatambua uwezo wake wa kutenda kazi kwa ufanisi.

Akielezea jinsi alivyomfahamu Magufuli na kama aliwahi kumdokezea kuwa na mpango wa kuwa rais wa Tanzania siku za usoni, Odinga alisema, “ni mtu mpole, si mtu ambaye ana hamaki. Anafuatilia mambo kabla hajafanya. Yeye mwenyewe amesema tu mara kwa mara eti hawezi kujilazimisha katika hili, lakini watanzania wakiamua yeye atakuwa tayari kuwahudumia hata katika cheo cha urais.”

Alisema chama cha ODM ni rafiki wa Chama Cha Mapinduzi hivyo watakiunga mkono katika mbio hizo za urais wa Tanzania japo hawatajihusisha moja kwa moja na kampeni kwa kuwa kampeni zinapaswa kufanywa na watanzania wenyewe.
Sio kila kitu revenge, some things MNA ignore, and act like matured fellows, kwa iyo sababu amesema ODM ni marafiki wa CCM ndio nanyi mkawasusia na kujitangaza pro jubilees. Tatizo mnachukulia Siasa uadui ndio maana mpo wepesi sana kutukana wenye fikra tofauti nanyi.

That was so low, lakini lazima kuna sababu nyuma yake. You saw the misunderstandings between these two governments and you chose them, for future monetary, etc assistance. You have same ideology (capitalism).
Mtatwanga maji kwenye kinu.
 
Asante Victoire kwa kusema ukweli, mungu akupe maisha marefu yenye baraka tele

Sent using Jamii Forums mobile app
Amen, bora hata wangepiga kimya kimya tu. Kwa akili zao wanafikiri Kenyata atawasaidia 2020, labda awalete wakikuyu na wakelenjin wapige kura kwa ukawa. Ila kama wapiga kura ndo hawa hawa watanzania basi kamwe wasahau unless wabadilike.
 
Wale they are moved by people and not ideas, wanamuunga mkono Kenyata kisa tu eti Raila ni rafiki ya Magufuli, nyie CHADEMA, hamjui kuwa Uhuru na Raila watapita tu? Yaani nyie kamwe hamtakaa mtawale Tanzania maana hamjui hata mnasimamia nini? Jirekebisheni.
Chadema 2013 walimuunga mkono Raila, lakini Raila 2015 alimuunga mkono Magufuli na ndio maana baada ya kutangazwa Magufuli kuwa mshindi Raila alienda Chato kumpongeza Magufuli wakati wa mapumziko yake, hivyo kutusaliti sisi wapinzani jambo ambalo lisingewezekana Chadema wamuunge mkono katika uchaguzi huu, jambo jingine ni namna ambavyo alikuwa akijinadi wakati wa kampeni kuwa ataongoza Kenya kama Magufuli jambo ambalo tafsiri yake ataminya uhuru wa kidemokrasia na kutokufuata misingi ya utawala wa sheria kama tunavyoona Magufuli akiendesha nchi katika mfumo wa One Man Show, huu mfumo wa mtu mmoja kuendesha mifumo yote ya serikali kwa namna anavyoona yeye badala ya kufuata mifumo ya utawala inataka nini jambo ambalo Chadema wanalipinga kwa nguvu zote, Chadema wanaamini katika utawala bora lakini Odinga kuongoza kama Magufuli ni kuongoza nchi ya Kenya kidikteta kama walivyo madikteta wengine wa Afrika mashariki na kati akina Kagame, Nkurunziza, Museveni, na mdogo wao Kabila.
 
Kama Odinga nae na chama chake waliipongeza CCM wote wapumbavu tu kama Chadema tu.Kama nilivyosema wanabase kwenye urafiki wa mtu na mtu na siyo maslahi ya Taifa zao.Ndo maana narudia tena kusema Chadema kamwe hawatakaa washinde.Hawajui kusimama na Taifa .
Kwako wewe chama kilichoitia umasikini wa kutisha nchi hii kwa zaidi ya nusu karne ndicho kinakufaa?!!! Mjinga siku zote huendeshwa na fikra na mawazo kiushabiki pasipo mantiki yoyote
 
Raila naye alichemsha, kuingiza siasa kwenye urafiki wake na Magufuli. Hata Chadema nao wametumia uadui wao na Magufuli kumuunga mkono Kenyata. Two wrongs do not make it right.Yaani wamebase kwenye man to man relationship than their ideas. Kamwe hawataa washinde labda wajifunze kupigania Taifa.
 
Dada Victoire, hivi kumuunga mkono Uhuru na kutomuunga mkono Raila kuna tatizo?
 
Nimemsikia mwanasheria mkuu wa CDM akisema kuwa wao kama chama walimuunga mkono mgombea wa urais kupitia chama tawala nchini kenya na kwamba kimsingi wamefurahishwa na ushindi wake wa urais nchini humo.

Ifahamike kuwa uchaguzi huu umekuwa na dosari kadhaa kabla na wakati wa uchaguzi. Dosari ambazo huku kwetu hazijawahi tokea. Siku chache kabla ya uchaguzi, mkuu wa IT wa tume ya uchaguzi nchini humo aliuawa kinyama.

Inasemekana mtu huyu ndie alokuwa na password ya data base za IT na kifo chake kimehusishwa na uchaguzi huu.Ilipofika siku ya uchaguzi upinzani uligundua kutokea kwa udukuzi katika data base ya IEBC na kutoa taarifa lakini hakuna hatua iliyo chukuliwa badala yake waliambiwa kuwa kama hawaridhishwi na matokeo waende mahakamani na tume ikaendelea kutangaza matokeo.

Swali fikirishi,kwa nini Musando afe siku chache kabla ya uchaguzi? na kwa nini muuaji achukue vidole vyake? Unaweza pata connection kuwa inawezekana kweli kuna mchezo mchafu ulifanyika kwenye data base ya IEBC though hatuna uhakika.

Wapinzani waliomba issue ndogo tu, waruhusiwe kuangalia taarifa za matokeo direct kwenye data base lakini walikataliwa.Kwa nini wakataliwe ? mimi na wewe hatujui

Maswali ninayo jiuliza;
unawezaje kumsupport mtu ambae wapinzani wanadai kaiba kura? Wewe ni mpinzani 2020 unatazamia kuingia kwenye vita kama alokua nayo mpinzani mwenzako leo,vipi huo wembe ulomyoa mwenzio leo ukikunyoa 2020, utalalamika?

Uchaguzi hauwi huru na haki kwa kuwaruhusu wafungwa na diaspora kupiga kura tu, bali unakuwa huru na haki katika hatua zote za uandikishaji, kampeni, upigaji wa kura, kuhesabu na kutoa matokeo.

Kwa hawa wenzetu kutokana na madai ya upinzani kulikwa na tatizo katika kuhesabu kura za urais ndio maana waliomba access katika data base za IEBC wakanyimwa. Jiulize kwa nini walinyimwa.

Mwisho niwashauri ndugu zangu hawa kabla hawaja toa matamko wawe wanafanya uchunguzi wa kutosha,si vema kutoa tamko leo afu kesho likakugharimu.

Wajifunze kutokana na makosa yao wenyewe:
-2008 lowasa fisadi;2015 wanamsafisha.
-2005-2015 Rais wa awamu ya nne dhaifu 2017 wanamsifia kuwa alikuwa rais bora sana

-Kabla ya 2015 walisema wanataka rais mkali atakae simamia nchi;leo Kaja JPM wanaanza kulia
unawapangia wewe nani?
 
Duh! Hivi kuwa na urafiki na mtu ni lazima akwambie atakusaidia ndiyo muwe marafiki!?

Unapata wapi hii dhana isiyokuwa na kichwa wala miguu Victoire!? Dah! You can do better than this.

Amen, bora hata wangepiga kimya kimya tu. Kwa akili zao wanafikiri Kenyata atawasaidia 2020, labda awalete wakikuyu na wakelenjin wapige kura kwa ukawa. Ila kama wapiga kura ndo hawa hawa watanzania basi kamwe wasahau unless wabadilike.
 
Kama Odinga nae na chama chake waliipongeza CCM wote wapumbavu tu kama Chadema tu.Kama nilivyosema wanabase kwenye urafiki wa mtu na mtu na siyo maslahi ya Taifa zao.Ndo maana narudia tena kusema Chadema kamwe hawatakaa washinde.Hawajui kusimama na Taifa .
Ebu nieleweshe hapo, kusimama na taifa ndio kufanyaje? Hivi mtu amekataa kuwa rafiki na kugeukia mpinzani wako wewe utaendelea kumuunga mkono, pamoja na yote Uhuru ameonesha demokrasia ya kweli, itatugharimu miaka 100 kuifikia.
 
Kama Odinga nae na chama chake waliipongeza CCM wote wapumbavu tu kama Chadema tu.Kama nilivyosema wanabase kwenye urafiki wa mtu na mtu na siyo maslahi ya Taifa zao.Ndo maana narudia tena kusema Chadema kamwe hawatakaa washinde.Hawajui kusimama na Taifa .

"Hawajui kusimama na Taifa" Maneno makubwa haya. Nadhani linaweza kuwa kwenye policy ya nchi. Mtu yeyote anaefikiria kuwa kiongozi mkuu wa nchi ni lazima aweze kusimama na taifa kwa maslahi ya Taifa.

Uhusiano wa kibinafsi huko nyuma kati ya Raila na Magufuli-hauna maana sana. Cha msingi ni Kenya na Tanzania.

Ukiona chama kinaleta tabia ya kutaka kufuruga mahusinano baina ya nchi kwa mahusiano binafsi-ni hatari sana.

Hakifai Kusimama na taifa
 
Wale they are moved by people and not ideas, wanamuunga mkono Kenyata kisa tu eti Raila ni rafiki ya Magufuli, nyie CHADEMA, hamjui kuwa Uhuru na Raila watapita tu? Yaani nyie kamwe hamtakaa mtawale Tanzania maana hamjui hata mnasimamia nini? Jirekebisheni.
Hata kama wangejua wanasimamia nini bado chaguzi za Africa na especially East Africa ni kichefuchefu (mbaya) kabisa.
CCM na hasa wapenda ukweli tukubali kutokana na tume hii ya kikoloni ya DED, DAS, DC & RCs.

Lakini kwa sababu ubovu huo ni faida ya watu. Basi tutaendelea kujifanya kutokuona maovu hayo

WaTz nao ni tatizo linaloikabili nchi, kwa kutotia pressure wakidhani ni kazi ya CDM na upinzani peke yao kudai na kupata stahili yao !!

Cairo's
 
Kwa huu upuuzi uliouandika inawezekana unafuata mkumbo tu pasipo elewa na kutojielewa pia. labda nikuulize je kuna siku CHADEMA walikuwa wanamuunnga mkono Odinga na ODM? ukitoa jibu jitafakari hicho ulichokiandika.
We jamaa unaongea nini? sikiliza clip ya mwanasheria wenu,,kasema by 2012 mlimuunga mkono Raila na ODM yake.This round mme muacha na kuhamia jubilee kisa Raila alikuja bongo na kumsalimia JPM
 
Kwako wewe chama kilichoitia umasikini wa kutisha nchi hii kwa zaidi ya nusu karne ndicho kinakufaa?!!! Mjinga siku zote huendeshwa na fikra na mawazo kiushabiki pasipo mantiki yoyote
Iam not for CCM at
Duh! Hivi kuwa na urafiki na mtu ni lazima akwambie atakusaidia ndiyo muwe marafiki!?

Unapata wapi hii dhana isiyokuwa na kichwa wala miguu Victoire!? Dah! You can do better than this.
Kumbe ulikuwa hujui ? Unafikiri Odinga kwa nini alimpongeza Magufuli ? Ndo sababu hiyo hiyo Lowassa kamuunga mkono Kenyata. Ila tu wasahau kukamata dola kwa ujinga wa namna hii. Tanzania and Kenya are bigger than their man to man friendship
 
Hata kama wangejua wanasimamia nini bado chaguzi za Africa na especially East Africa ni kichefuchefu (mbaya) kabisa.
CCM na hasa wapenda ukweli tukubali kutokana na tume hii ya kikoloni ya DED, DAS, DC & RCs.

Lakini kwa sababu ubovu huo ni faida ya watu. Basi tutaendelea kujifanya kutokuona maovu hayo

WaTz nao ni tatizo linaloikabili nchi, kwa kutotia pressure wakidhani ni kazi ya CDM na upinzani peke yao kudai na kupata stahili yao !!

Cairo's
With that remarks waambie CDM waache kuongea ongea things which later come to hunt them.Huwezi sema una unga mkono chama tawala ambacho kimsingi kinalalamikiwa kwa kuiba kura,wakati wewe mweyewe una subiri kunyolewa 2020.
 
Nimemsikia mwanasheria mkuu wa CDM akisema kuwa wao kama chama walimuunga mkono mgombea wa urais kupitia chama tawala nchini kenya na kwamba kimsingi wamefurahishwa na ushindi wake wa urais nchini humo.

Ifahamike kuwa uchaguzi huu umekuwa na dosari kadhaa kabla na wakati wa uchaguzi. Dosari ambazo huku kwetu hazijawahi tokea. Siku chache kabla ya uchaguzi, mkuu wa IT wa tume ya uchaguzi nchini humo aliuawa kinyama.

Inasemekana mtu huyu ndie alokuwa na password ya data base za IT na kifo chake kimehusishwa na uchaguzi huu.Ilipofika siku ya uchaguzi upinzani uligundua kutokea kwa udukuzi katika data base ya IEBC na kutoa taarifa lakini hakuna hatua iliyo chukuliwa badala yake waliambiwa kuwa kama hawaridhishwi na matokeo waende mahakamani na tume ikaendelea kutangaza matokeo.

Swali fikirishi,kwa nini Musando afe siku chache kabla ya uchaguzi? na kwa nini muuaji achukue vidole vyake? Unaweza pata connection kuwa inawezekana kweli kuna mchezo mchafu ulifanyika kwenye data base ya IEBC though hatuna uhakika.

Wapinzani waliomba issue ndogo tu, waruhusiwe kuangalia taarifa za matokeo direct kwenye data base lakini walikataliwa.Kwa nini wakataliwe ? mimi na wewe hatujui

Maswali ninayo jiuliza;
unawezaje kumsupport mtu ambae wapinzani wanadai kaiba kura? Wewe ni mpinzani 2020 unatazamia kuingia kwenye vita kama alokua nayo mpinzani mwenzako leo,vipi huo wembe ulomyoa mwenzio leo ukikunyoa 2020, utalalamika?

Uchaguzi hauwi huru na haki kwa kuwaruhusu wafungwa na diaspora kupiga kura tu, bali unakuwa huru na haki katika hatua zote za uandikishaji, kampeni, upigaji wa kura, kuhesabu na kutoa matokeo.

Kwa hawa wenzetu kutokana na madai ya upinzani kulikwa na tatizo katika kuhesabu kura za urais ndio maana waliomba access katika data base za IEBC wakanyimwa. Jiulize kwa nini walinyimwa.

Mwisho niwashauri ndugu zangu hawa kabla hawaja toa matamko wawe wanafanya uchunguzi wa kutosha,si vema kutoa tamko leo afu kesho likakugharimu.

Wajifunze kutokana na makosa yao wenyewe:
-2008 lowasa fisadi;2015 wanamsafisha.
-2005-2015 Rais wa awamu ya nne dhaifu 2017 wanamsifia kuwa alikuwa rais bora sana

-Kabla ya 2015 walisema wanataka rais mkali atakae simamia nchi;leo Kaja JPM wanaanza kulia
22df30600bdd8a57c1a1c59d0174a846.jpg

Hill ndilo jibu lako. Muulize kwanza Mwenyekiti wenu kwanini alikuwa anaunga mkono mpinzani wakati yeye ni chama tawala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Hawajui kusimama na Taifa" Maneno makubwa haya. Nadhani linaweza kuwa kwenye policy ya nchi. Mtu yeyote anaefikiria kuwa kiongozi mkuu wa nchi ni lazima aweze kusimama na taifa kwa maslahi ya Taifa.

Uhusiano wa kibinafsi huko nyuma kati ya Raila na Magufuli-hauna maana sana. Cha msingi ni Kenya na Tanzania.

Ukiona chama kinaleta tabia ya kutaka kufuruga mahusinano baina ya nchi kwa mahusiano binafsi-ni hatari sana.

Hakifai Kusimama na taifa
Umenena vyema rafiki,.Hawajamaa wamezoea kiki wanadhani kila kitu kinafaa kutumika kama silaha ya kisiasa.Let us wait i hope Kenyata one day atakuja Tz sasa sijui ataenda kupokelea uwanja wa ndege na CDM? na je akipokelewa na JPM urafiki wao na CDM Utakufa? maana kwa maelezo yao walivunja usswaiba na Raila kisa alikuja bongo kumsalimia JPM na kumpongeza JPM kwa ushindi
 
Back
Top Bottom