kwani akiwa chief of IT maana yake ni kwamba yeye tu ndo anaweza kuaccess hayo matokeo au ?.Hebu acha urongo wa KitzHe was the chief IT of IEBC,,If dont want to accept basi
Wana haki ya kufanya hivyo, nao wembe utakapokuja kuwanyoa watajua kama ni butu ama laNimemsikia mwanasheria mkuu wa CDM akisema kuwa wao kama chama walimuunga mkono mgombea wa urais kupitia chama tawala nchini kenya na kwamba kimsingi wamefurahishwa na ushindi wake wa urais nchini humo.
Ifahamike kuwa uchaguzi huu umekuwa na dosari kadhaa kabla na wakati wa uchaguzi. Dosari ambazo huku kwetu hazijawahi tokea. Siku chache kabla ya uchaguzi, mkuu wa IT wa tume ya uchaguzi nchini humo aliuawa kinyama.
Inasemekana mtu huyu ndie alokuwa na password ya data base za IT na kifo chake kimehusishwa na uchaguzi huu.Ilipofika siku ya uchaguzi upinzani uligundua kutokea kwa udukuzi katika data base ya IEBC na kutoa taarifa lakini hakuna hatua iliyo chukuliwa badala yake waliambiwa kuwa kama hawaridhishwi na matokeo waende mahakamani na tume ikaendelea kutangaza matokeo.
Swali fikirishi,kwa nini Musando afe siku chache kabla ya uchaguzi? na kwa nini muuaji achukue vidole vyake? Unaweza pata connection kuwa inawezekana kweli kuna mchezo mchafu ulifanyika kwenye data base ya IEBC though hatuna uhakika.
Wapinzani waliomba issue ndogo tu, waruhusiwe kuangalia taarifa za matokeo direct kwenye data base lakini walikataliwa.Kwa nini wakataliwe ? mimi na wewe hatujui
Maswali ninayo jiuliza;
unawezaje kumsupport mtu ambae wapinzani wanadai kaiba kura? Wewe ni mpinzani 2020 unatazamia kuingia kwenye vita kama alokua nayo mpinzani mwenzako leo,vipi huo wembe ulomyoa mwenzio leo ukikunyoa 2020, utalalamika?
Uchaguzi hauwi huru na haki kwa kuwaruhusu wafungwa na diaspora kupiga kura tu, bali unakuwa huru na haki katika hatua zote za uandikishaji, kampeni, upigaji wa kura, kuhesabu na kutoa matokeo.
Kwa hawa wenzetu kutokana na madai ya upinzani kulikwa na tatizo katika kuhesabu kura za urais ndio maana waliomba access katika data base za IEBC wakanyimwa. Jiulize kwa nini walinyimwa.
Mwisho niwashauri ndugu zangu hawa kabla hawaja toa matamko wawe wanafanya uchunguzi wa kutosha,si vema kutoa tamko leo afu kesho likakugharimu.
Wajifunze kutokana na makosa yao wenyewe:
-2008 lowasa fisadi;2015 wanamsafisha.
-2005-2015 Rais wa awamu ya nne dhaifu 2017 wanamsifia kuwa alikuwa rais bora sana
-Kabla ya 2015 walisema wanataka rais mkali atakae simamia nchi;leo Kaja JPM wanaanza kulia
Walimuunga mkono 2013, ndugu. Walipeleka mpaka magari ya M4C, lakini pia na JPM alienda kumuunga mkono swahiba wakeKwa huu upuuzi uliouandika inawezekana unafuata mkumbo tu pasipo elewa na kutojielewa pia. labda nikuulize je kuna siku CHADEMA walikuwa wanamuunnga mkono Odinga na ODM? ukitoa jibu jitafakari hicho ulichokiandika.
CCM haijawahi kumuunga mkono RAILA, jifunze kutofautisha CHAMA na MTU
Rafiki dunia ni kama kijiji,,naweza kuwa huku shamba but info zinazotokea kokote nikazipata tena fully,,,,wangapi wako na ulafi wa wanawake mbona hawafi and kwa nini afe wakati zimebaki siku chache tu uchaguzi ufanyike? and then why wamkate vidole? Kwa mtu anae fikiri mchezo uko wazi kabisa.
Narudia acha uongo we sema aliyekudanganya access ya matokeo alikuwa nayo yeye tu nani?
Mkuu umelengaa penyewe haswaa ,shikilia hapohapoTukiachilia mbali mengine wana ccm wameumia sana kushinda hata wakenya
Kweli inawezekana ujinga umezaliwa nao acha virojaLowassa kawashika pabaya....CHADEMA mnatetea chama tawala kuiba kura!?
katika kiumbe mjinga kuletwa na mwanamke hapa duniani ni wewe hujui tofauti kati ya kiongozi wa Nasa na kiongozi wa tume au huyo jamaa alikuwa kiongozi wa Nasa nini?Mkuu muulize vipi Mawazo alikufa kwa urafi wa wanawake?
CDM kimekuwa chama cha kipuuzi ever seen.
Katika mjinga
katika kiumbe mjinga kuletwa na mwanamke hapa duniani ni wewe hujui tofauti kati ya kiongozi wa Nasa na kiongozi wa tume au huyo jamaa alikuwa kiongozi wa Nasa nini?
Kweli inawezekana ujinga umezaliwa nao acha viroja
Ukiwa na funguo za chumba ina maana wewe ndio mwenye maamuzi na hicho chumba,japo mwizi anaweza tamani aingie afanye uhalifu.Na hichi ndio kilichotokea mwizi akishindwa kuingia anaona ni bora akuondoe achukue funguo kirahisi ili afanye uhalifu vizuriKkwani akiwa chief of IT maana yake ni kwamba yeye tu ndo anaweza kuaccess hayo matokeo au ?.Hebu acha urongo wa Kitz
Mwambie asikilize clip ya LISU juzi alisema 2013 walimuunga mkono Odinga but wameamua kumuunga mkono Kenyata kisa Odinga alikuja Tanzania kumsalimia JPM,nimecheka kweli. Hivi mimi nikiwa adui yako unajenga uadui na marafiki zangu wote?Wana haki ya kufanya hivyo, nao wembe utakapokuja kuwanyoa watajua kama ni butu ama la
Walimuunga mkono 2013, ndugu. Walipeleka mpaka magari ya M4C, lakini pia na JPM alienda kumuunga mkono swahiba wake
Aliyewaita malofa na wapumbavu hakukosea hata kidogo.Hao ni wazee wa kudandia gari kwa mbele.
Sent using Jamii Forums mobile app[/QU
That is what paranoid and delusion
Mm huwa nashamgaa hivi kwann kwenye hii dunia watu tunapenda sana kupangiana? Km wao wamaamua kumuunga Kenyatta nyie ambao hamuwapendi mna umia nini?? Hata kama hawana sababu za kufanya hivyo nyie mna kosa nini?? Mimi na muunga mkono Kenyatta na pia namuunga mkono magufuli...Wale they are moved by people and not ideas, wanamuunga mkono Kenyata kisa tu eti Raila ni rafiki ya Magufuli, nyie CHADEMA, hamjui kuwa Uhuru na Raila watapita tu? Yaani nyie kamwe hamtakaa mtawale Tanzania maana hamjui hata mnasimamia nini? Jirekebisheni.
Kichwa chako kimejaa ukoko huelewi mawazo kauwawa na watu wanajulikana kabisa ,sasa wewe endelea kuhisi tu kwani akili yako ndo ilivyo