Benjamin, makada ni wale wazee ambao watakuambia nilipigana Comoro au Msumbiji na Kagera. Vijana waliopo sasa bado kuna wengi wasomi na wamekuwa wakitekeleza tuu amri kulingana na nature ya kazi yao.Jeshi limejaa makada tupu
Aise chadema walikua wanaishi na nyoka ndaniNdiyo yeye na wale vifaranga wake aliowatanguliza kule Chaummwa, jamaa boya sana.
Inasikitisha sana, hata kifo cha mzee Kibao mwamba alitoa assist kwa wauaji.Aise chadema walikua wanaishi na nyoka ndani
Yesu akaliwaambia akina mama wa Yerusalem jililieni ninyi na watoto wenu.maskini chadema, dah!
hadi huruma ๐
Unafahamu anayemletea vitabu mahakamani na kumfanyia printing ya materials? Au Anaelinda chakula na maji anayoyatumia?Lissu akitoboa awamu hii akae atulie maake dola imeamua
Lissu afungwe tuBaada ya Mahakama Kuu ya Masijala ya Dar es Salaam kukubali ombi la upande wa Jamhuri la kuficha majina na taarifa nyingine za mashahidi raia wa upande wa Mashitaka katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, chama hicho kimesema kinaipinga Sheria hiyo ya iliyopitishwa kama Mabadiliko ya Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Namba 2 ya 2018.
Agosti 4, 2025, Jaji Hussein Mtembwa alisema kutokana na uzito wa kosa la uhaini na hofu ya mashahidi kutishiwa, ni haki kwa mashahidi raia kulindwa kwa kutotajwa majina yao, anuani wala mahali walipo katika hatua ya committal, Preliminary Inquiry (PI) na hata wakati wa kusikilizwa kwa kesi hiyo.
Hata hivyo, Kaimu Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dk Rugemeleza Nshala amesema leo Agosti 6 kuwa sharia hiyo japo ilipitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano, haikufuata utaratibu wa kutumika.
โBunge lilipitisha ila liliitaka Serikali kuweka utarratibu wa kuitumia, lakini haikufanya hivyo. Tumefuatilia na tumegundua kuwa sheria hiyo haikutangazwa kwenye gazeti la Serikali jambo ambalo ni kinyume cha Katiba na tumegundua kuna wafungwa 27 wamehukumiwa kunyongwa kwa sharia hiyo,โ amedai Dk Nshala.
Lissu anatarajia kufikishwa tena mahakamani Agosti 13, ambapo anatarajiwa kusomewa mashitaka yake (comital) ili ahamishiwe mahakama kuu kusikiliza kesi hiyo ya uhaini.
โBado hatujachelewa, tutamweleza jaji haya mambo yote, mambo ndiyo yameanza,โ amesema Dk Nshala.
Kweli kbsGood move..hakuna kukubali uonevu hata kama UCHAFUZI wao utapita...maana ndio lengo lao haswaa..Go go Wakili Dr Nshara et al
Sheria hizi ni za chdm tu au Tz nzima?maskini chadema, dah!
hadi huruma ๐
Angalia usianguke ww unayedhani umesimamamaskini chadema, dah!
hadi huruma ๐
Iko wazi mkuu, na mara ya mwisho alisema ana list ya watu hapo ukonga wamehukumiwa kunyongwa na hawajawahi kuwaona mashahidi.Aisee Kwaio Ukishitakiwa Kwa Sheria Hii Ya Kuficha Mashahidi Ni Hakuna Kupona ? Dah
Kwaheri Jemedari Lissu.
Ccm Wamekupenda Zaidi.
Mika 7:8-9Chadema sasa wanashinda magakamani,hiki ni Chama au kituo cha haki za binadamu?
Vipi mkuu unataka kuwakaribisha ghetto waje washinde na wewe mkuu?Chadema sasa wanashinda magakamani,hiki ni Chama au kituo cha haki za binadamu?
Huruma inatakiwa kwa CCM na mashine zake za uharibifu.Kila wanachofanya wanakosea na hakuna Nia njema.Hiyo Sheria batili inawezaje kutumika na Watu wenye Akili timamu?Mnaenda kuangukia pua na No Reforms No Elections.maskini chadema, dah!
hadi huruma ๐
Hakika Dunia uwanja wa fujo.Mwamba Mwamba Mwamba
Yesu alimuuliza Petro mara tatu โ je wanipenda?โ
Na Fedha alizozitupa wakatumia kununua eneo la kuzikia na yeye akawa mtu wa kwanza kuzikwa eneo hiloHakika Dunia uwanja wa fujo.
Yuda eskari yote akawauliza , mtanilipa kiasi gani mikimtoa kwenu?
Baada ya hukumu Yuda akagundua kuwa amemsaliti mtu ambaye hakusitahili kunyongwa. Akazitupa zile fedha na kwenda kujinyonga. ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญkweli mwamba???????
Tlaatlaah hajui hili. Anashangilia ujinga huu leo hajui kuwa mitego ya namna hii hukaa hadi hufikia kipindi ikawanasa walewale walioitengeneza...๐คJihurumie Mwenyewe, watoto wako na ndugu zako kwa sheria za ovyo zinazopitishwa na wabunge wa ccm.....