Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 264
- 1,010
maskini chadema, dah!Baada ya Mahakama Kuu ya Masijala ya Dar es Salaam kukubali ombi la upande wa Jamhuri la kuficha majina na taarifa nyingine za mashahidi raia wa upande wa Mashitaka katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, chama hicho kimesema kinaipinga Sheria hiyo ya iliyopitishwa kama Mabadiliko ya Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Namba 2 ya 2018.
Agosti 4, 2025, Jaji Hussein Mtembwa alisema kutokana na uzito wa kosa la uhaini na hofu ya mashahidi kutishiwa, ni haki kwa mashahidi raia kulindwa kwa kutotajwa majina yao, anuani wala mahali walipo katika hatua ya committal, Preliminary Inquiry (PI) na hata wakati wa kusikilizwa kwa kesi hiyo.
Hata hivyo, Kaimu Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dk Rugemeleza Nshala amesema leo Agosti 6 kuwa sharia hiyo japo ilipitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano, haikufuata utaratibu wa kutumika.
“Bunge lilipitisha ila liliitaka Serikali kuweka utarratibu wa kuitumia, lakini haikufanya hivyo. Tumefuatilia na tumegundua kuwa sheria hiyo haikutangazwa kwenye gazeti la Serikali jambo ambalo ni kinyume cha Katiba na tumegundua kuna wafungwa 27 wamehukumiwa kunyongwa kwa sharia hiyo,” amedai Dk Nshala.
Lissu anatarajia kufikishwa tena mahakamani Agosti 13, ambapo anatarajiwa kusomewa mashitaka yake (comital) ili ahamishiwe mahakama kuu kusikiliza kesi hiyo ya uhaini.
“Bado hatujachelewa, tutamweleza jaji haya mambo yote, mambo ndiyo yameanza,” amesema Dk Nshala.
Jihurumie Mwenyewe, watoto wako na ndugu zako kwa sheria za ovyo zinazopitishwa na wabunge wa ccm.....maskini chadema, dah!
hadi huruma 🐒
Nakuelewa snMwamba Mwamba Mwamba
Yesu alimuuliza Petro mara tatu “ je wanipenda?”
maskini chadema, dah!
hadi huruma 🐒
Waganga wa nini mkuu? Unaweza kukuta mganga ana kadi ya CCM kama walivyo jaa kule Gamboshi. Hapa ni kuwaibua kina "Traoure" wa bongo ambao ninao uhakika wapo na kuwauliza jee hiyo dozi ya "ubumbuwazi" waluonyweshwa haijawaisha mwilini?Kwa mahakama hizi za Rostam wasahau kupata haki, hapa dawa ni kutafuta waganga wa kienyeji wawashughulikie hawa wapumbavu.
Jeshi limejaa makada tupuWaganga wa nini mkuu? Unaweza kukuta mganga ana kadi ya CCM kama walivyo jaa kule Gamboshi. Hapa ni kuwaibua kina "Traoure" wa bongo ambao ninao uhakika wapo na kuwauliza jee hiyo dozi ya "ubumbuwazi" waluonyweshwa haijawaisha mwilini?
Wakiamua kuchukua, baada ya miezi sita watakuwa wamewafyeka mafisadi wote, katiba mpya (ya Warioba inarekebishwa kidogo) inawekwa na uchaguzi huru na wa kweli unafanyika.
Au unaonaje?
Mnamdanganya mwenzenu, mnajua kabisa Lissu kesi hii hatoboi!! Alidhani ana watu wa kumsaidia kujifanya jeuri, eti analeta dharau, na kujifanya kutegemea wazungu, haya sasa, kiko wapi!! Wamfyekelee mbali huko!Baada ya Mahakama Kuu ya Masijala ya Dar es Salaam kukubali ombi la upande wa Jamhuri la kuficha majina na taarifa nyingine za mashahidi raia wa upande wa Mashitaka katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, chama hicho kimesema kinaipinga Sheria hiyo ya iliyopitishwa kama Mabadiliko ya Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Namba 2 ya 2018.
Agosti 4, 2025, Jaji Hussein Mtembwa alisema kutokana na uzito wa kosa la uhaini na hofu ya mashahidi kutishiwa, ni haki kwa mashahidi raia kulindwa kwa kutotajwa majina yao, anuani wala mahali walipo katika hatua ya committal, Preliminary Inquiry (PI) na hata wakati wa kusikilizwa kwa kesi hiyo.
Hata hivyo, Kaimu Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dk Rugemeleza Nshala amesema leo Agosti 6 kuwa sharia hiyo japo ilipitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano, haikufuata utaratibu wa kutumika.
“Bunge lilipitisha ila liliitaka Serikali kuweka utarratibu wa kuitumia, lakini haikufanya hivyo. Tumefuatilia na tumegundua kuwa sheria hiyo haikutangazwa kwenye gazeti la Serikali jambo ambalo ni kinyume cha Katiba na tumegundua kuna wafungwa 27 wamehukumiwa kunyongwa kwa sharia hiyo,” amedai Dk Nshala.
Lissu anatarajia kufikishwa tena mahakamani Agosti 13, ambapo anatarajiwa kusomewa mashitaka yake (comital) ili ahamishiwe mahakama kuu kusikiliza kesi hiyo ya uhaini.
“Bado hatujachelewa, tutamweleza jaji haya mambo yote, mambo ndiyo yameanza,” amesema Dk Nshala.
Nasikia freeman Mbowe ni mmoja wapo wa mashahidi watakaotoa ushahidi wa kumnyonga lisuFreeman Mbowe hapo roho yake kwatuuuuu, anajua Lissu anaenda kunyongwa ili arudi kuwa mwenyekiti tena ChademaView attachment 3433422
maskini chadema, dah!
hadi huruma 🐒
Ndiyo yeye na wale vifaranga wake aliowatanguliza kule Chaummwa, jamaa boya sana.Nasikia freeman Mbowe ni mmoja wapo wa mashahidi watakaotoa ushahidi wa kumnyonga lisu
Pia SEMA masikini mahakama zetu dah ,maana hata sisi makomredi huko mbele. Kuna siku yatatatukuta tu.maskini chadema, dah!
hadi huruma 🐒