CHADEMA kuhusu Mwakibinga-UDOM mmeishia wapi???

issawema

JF-Expert Member
May 30, 2013
776
643
Baada ya mgomo uliopelekea kufukuzwa kwa viongoz wa juu wa selikari ya wanafunzi UDOM nlisikia CHADEMA wakitoa matamko mbalimbali kuhusu kurudishwa kwa viongozi hao lakini mpaka sasa hakuna mabadiliko na watu wanamalizia UE na kwenda likizo.

JE! CHADEMA ILIKUWA IKIWAHADAA WANAFUNZI NA WANANCHI ?
 
Tena nilisikia waziri Wa elimu kivuli Joshua nasali akisema ataandamana hadi mwisho siasa za bongo unafiki sana
 
Chadema ni chama cha Kilaghai..... Wanaendeshwa na matukio.
 
Tena nilisikia waziri Wa elimu kivuli Joshua nasali akisema ataandamana hadi mwisho siasa za bongo unafiki sana

wange weza hiloo ningewapa lura yangu lakini nao wanaonekana wasanii tuu
 
Baada ya mgomo uliopelekea kufukuzwa kwa viongoz wa juu wa selikari ya wanafunzi UDOM nlisikia CHADEMA wakitoa matamko mbalimbali kuhusu kurudishwa kwa viongozi hao lakini mpaka sasa hakuna mabadiliko na watu wanamalizia UE na kwenda likizo.

JE! CHADEMA ILIKUWA IKIWAHADAA WANAFUNZI NA WANANCHI ?

We ulikuwa hujui eeee! Huo msala umebaki kwake yeye mwanafunzi maskini! Ndio wanafunzi wafuate kilichowapeleka shule, waachane na siasa za kilaghai za chadema!
 
Nahilo nalo neno jamaa wazushi sana

Tangu ilipo tokea hadi Leo sijui walikimbilia wapi vile vile wale Wa Geita sijui walifia wapi unajua hawa chedema hawana tofauti na MCC kuwatasa wale jamaaaa mm roho inaniuma sanaaaaa sijui wako wapi
 
Baada ya mgomo uliopelekea kufukuzwa kwa viongoz wa juu wa selikari ya wanafunzi UDOM nlisikia CHADEMA wakitoa matamko mbalimbali kuhusu kurudishwa kwa viongozi hao lakini mpaka sasa hakuna mabadiliko na watu wanamalizia UE na kwenda likizo.

JE! CHADEMA ILIKUWA IKIWAHADAA WANAFUNZI NA WANANCHI ?
Wengi tu watajuta wakidanganywa na chadema ambayo inaonekana inawaacha solemba wafuasi wake wasiochanganua mambo
 
Back
Top Bottom