Chadema kufungua tawi UDOM

Amechukua nafasi ya ZITTO KABWE aliyetekwa na CCM!
AK[AKILIPEVU]unajua nini m2 wangu,ZK kazibwa mdomo hivyo hanakauli kama awali.ila tukirudi kwenye uzinduzi wa CDM hiyo inati moyo kwani waswahili husema akuanzae mmalize ccm walisha wahi udom ila sasa kwa nguvu na mwendo wa hatari 2metia mguu,wataanza kudai kuwa 2nataka kuanzisha vita kama sio vurugu.naomba mwendo na juhudi viendelee.BIG UP.
 
Maelfu wakusanyika kwenye ufunguzi wa tawi la CDM- UDOM, Baada ya ujio wa KAMANDA LA UKWELI- LEMA G, na kuhutubia kwa kutoa uozo wa CCM, takribani watu zaidi ya ishirini wamerudisha kadi za CCM na kupewa kadi mpya za CDM wakiwemo wazee wawili wenye miaka zaidi ya 50, mbali na hayo watu wengine wameahidi kurudisha kadi za chama tawala na kuchukua mpya za CDM, uzinduzi umefanyika salama, na sasa UDOM ina tawi lenye zaidi ya wanachama elfu nane, sawa na intake moja ya chuo cha Dom kwa mwaka mmoja, hali inavyoonesha, CCM wana wakati mgumu katika uchaguzi wa 2015. Kwani CDM kwa sera zao, CCM hawatatoka kamwe hapo mbeleni labda wajipange zaidi.....!
 
kwa bibi kizee sana na babu kurudisha kadi ya ccm wanafunzi wa udom imebidi wawape zawadi kwani hawajaamini yaweza toweka.
 
We are the one! Popote ulipo tuimbe kwa pamoja hii nyimbo G Lema anahamasisha ktk kuleta Ukombozi wa kweli.
 
Zito amebaki na title ya Ceremonial Deputy Secretary ...G.Lema mie namwita Che Guevara of Tanzanie,big up kaka
 
Mwanzo CCM waliweza kuwalaghai vijana wa udom na ndo chuo pekee kilichokuwa kimesalia mikononi mwake ..sasa udom kurudi kundini inahitimisha msumari wa mwisho kwenye jeneza la Ccm kutoka vyuoni, ...CCM you have no more,HONGERENI UDOM Tanzanians are Proud of you, welcome back Sons & Daughtes!
 
G Lema akamtwanga swali Wasira je ungependa watoto wako waongozwe na chadema uku kukiwa na haki na amani ama mafisadi huku kukiwa na unyonyaji mkubwa? Wasira akashindwa kujibu!

huyo ni wasira gani?

waziri wasira naye alihudhuria? nisaidieni hapo please
 
Hongera sana cdm! Taifa litakombolewa na vijana wakawaida na wasomi wazee na wachawi waendelee kukaa ccm lakini wazee wenye hekima wote milango ikowazi cdm!
 
''Ufalme wa Mungu hutekwa na wenye nguvu'' Tanzania hii itaokolewa na vijana shupavu na wenye nguvu wakiongonzwa na chama kinachoweza kuleta ukombozi. CDM, Imarisheni tawi kwa michango na vikao vya mara kwa mara.. CDM Go...
 
Inasomeka vizuri, lakini chanzo cha habari pliz!
Ikibidi dondosha na picha kwa uthibitisho zaidi
 
G Lema anahitimisha kwa kusema mwisho ya yote patakuwa na shujaa awe ametutoka ama bado yuko hai kumbukumbu zitabaki kizazi na kizazi.
People's Power
Viva Chadema.
 
Maelfu wakusanyika kwenye ufunguzi wa tawi la CDM- UDOM, Baada ya ujio wa KAMANDA LA UKWELI- LEMA G, na kuhutubia kwa kutoa uozo wa CCM, takribani watu zaidi ya ishirini wamerudisha kadi za CCM na kupewa kadi mpya za CDM wakiwemo wazee wawili wenye miaka zaidi ya 50, mbali na hayo watu wengine wameahidi kurudisha kadi za chama tawala na kuchukua mpya za CDM, uzinduzi umefanyika salama, na sasa UDOM ina tawi lenye zaidi ya wanachama elfu nane, sawa na intake moja ya chuo cha Dom kwa mwaka mmoja, hali inavyoonesha, CCM wana wakati mgumu katika uchaguzi wa 2015. Kwani CDM kwa sera zao, CCM hawatatoka kamwe hapo mbeleni labda wajipange zaidi.....!

Kumbe umejiunga juzi juzi tu, sina hata haja ya kusoma thread yako, ila karibu jamvini !
 
Tunaomba picha ili tupate ari zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi ya kueneza habari njema hizi.
 
Back
Top Bottom