Chadema kufungua tawi UDOM

Vema sana vijana wetu wa UDOM. Sisi wazee wenu tunawategemeeni ninyi ktk harakati za kulikomboa taifa letu. Msikubali kurubuniwa na Mafisadi hata mkipewa chochote pokeeni, lakini msitimize yale wawashawishiyo. I feel very proud kwa vijana wetu kwani ndio nguvu ya mabadiliko. Hakika ukombozi u njiani.
 
Kumbe umejiunga juzi juzi tu, sina hata haja ya kusoma thread yako, ila karibu jamvini !

usome thread, usisome, msg sent..... CHADEMA imefungua tawi UDOM na imepata wanachama wengi na ufunguzi wa tawi umefana sana,,, sasa upya wa mtoa mada unahusika vp na taarifa yake aliyoitoa?? Kama CHADEMA imekuudhi sana kwa kufungua tawi udom kajibamize ukutani, au chimba shimo ujifukie
 
Kumbe umejiunga juzi juzi tu, sina hata haja ya kusoma thread yako, ila karibu jamvini !

pole sana mjomba! Wageni humu tunao wengi na ugeni wao sio issue. Tunaangalia mada na habari wanazotuletea. Utakaa sana kuangalia profile za watu wakati tunachangia mada. Umeshaisoma thread na habari ndio hiyo!
 
Kumbe umejiunga juzi juzi tu, sina hata haja ya kusoma thread yako, ila karibu jamvini !

Kujiunga juzijuzi sio ishu. Muhimu ni kile mtu anachopost. Hatungeweza na hatuwezi wote kujiunga na JF kwa wakati mmoja. Mimi binafsi nimetembelea hii website mwaka mmoja (regularly) na sikujiunga on the spot. Nilikuwa nasoma posts tu. Hivi prof. anaweza kumtambia mtoto wa miaka 5 kwamba kamzidi elimu? Haileti maana kwakuwa wengine wamejiunga mapema kwasababu walipata fursa na wengine hawajapata au watapata baadae.
 
Hii ni changamoto kwa ccm, sijui watakuja na mikakati gani ili kukabiliana na cdm?
 
Duh! Kazi ipo cdm wanapoteza viöngozi uchwara wa Mbeya wawili wanapata vijana wenye nguvu zaidi ya elfu 8, naomba hii taarifa imfikie Shitambara na mwenzake wajue hawana jipya.
 
Kumbe umejiunga juzi juzi tu, sina hata haja ya kusoma thread yako, ila karibu jamvini !

Umelazimishwa kusoma mkuu!
CCM damu mpaka maandishi kijani pole lakini ndio hivyo it doesn't matter aliyeleta post kajiunga lini na wewe ulikuwa mgeni
 
Mods kama mleta sredi haweki picha nawaomba m-du ze nidful kwa hii sred
kimsingi habari hii ni ya kweli,nilikuwa na vijana wangu pale wakirekodi yoote yaliyoongelewa nasubiri wanipostie walichosema hawa jamaa maana ni waropokaji sana na mimi niweze kuwajuza,kwa taharifa nilizopata ni kwamba REGIA MTEMA,CHRISTO WAJA MTINDI NA GODBLESS LEMA WALIKUWEKO ENEO LA TUKIO
 
Mi namshangaa mtu ambaye siye mwanafamilia ya Kikwete,Makamba,Kawawa,Mwinyi,Karume na wazee wengine wa CCM ambaye bado anaisupport CCM kwasababu hawa wazee niliowataja wameshafanya CCM kama ufalme wao; wanarithishana madaraka tu! Its better kusupport chama chenye ukomboz wa kweli kisicho na damu na mizizi ya KIFISADI
 
baada ya kufungua tawi nje ya udom na kupata wanachama wengi ndani ya chuo cha dodoma lema imeitahazarisha serekali ya chama cha mapinduzi kuwa endapo watapitisha mswada mbovu watawahasisha wananchi kupinga mswada huo wenye nia ya kuongeza wafungwa wengi ndani yatanzania hata hivyo wanahakati wa chuo cha dodoma wamekua wakilani vitendo mbalimbali kama kuonewa na askari lema alishangaa baada wanachuo kuita mabomu pafiumu lema alitikisa eneo hilo baada ya kusema ccm niwepesi sana,moto uliendelea baada regia kutaja familia saba zinazo ongoza serekali ya tanzaniawatu hao ni 1kiwete 2karume 3msekwa 4makamba 5 rostam 6 lowasa .pia wanachuo wemesema hamna zambi kubwa kama uoga watu mbalimbali walitoa mfano watu kama mandela martin luther cheguavara wakisema tanzani haina amani umeaki utulivu huku wakisema mswada ukipitishwa wataandamana kuanzia tarehe kumi na sita pia lema anatajia kuhutubia mkutano wahadhara maeneo ya ipagala wanachuo wanasema kua watanzania wakiandamana mikoa kumi na tisa mafisadi wanakimbi nchi
 
Nimekuwa nikisema hapa JF....nchi hii itakombolewa na vijana kama Lema,nadhani Ubunge wake ameweka pembeni anahakikisha vijana tunaamka....nawasihi vijana wenzangu wa KITANZANIA bila kujali dini,rangi,jinsia,itikadi za vyama,elimu,hali ya maisha tumuunge mkono kijana mwenzetu huyu.....................................

Bravo Lema.G
 
Usiwe kama Malaria Sugu au Majimshindo, ungetulia kuandika ingekuwa safi.
 
Back
Top Bottom