Chadema kufungua tawi UDOM

SOKON 1

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,134
331
Katika harakati za kuimarisha chama leo ktk chuo kikuu cha Dodoma chadema watafungua tawi ktk eneo nje kidogo na chuo kwa kujumuisha wana Udom na wananchi waishio ktk maeneo hayo ya Ng'ong'ona kwani Dodoma mwamko wa wakazi wake ni mdogo kwa kufanya ivyo itajenga chama na kuongeza imani kwa wananchi.
 
Watu wengi mmo. Lema ndo anazungumza anasema vijana waamke kulikomboa taifa kwani chadema ni ya watu wote kila m2 anatakiwa kujitolea pasipo kuwategemea viongozi wa chadema.
 
Mabinti ni wengi wamejitokeza sijawai kuona ktk mambo ya kisiasa.
 
Kama G Lema anachochea vurugu anasema watake his words kisha ye ndo anaendelea mwendo mdundo.
Kama tumefanya maandamano ktk mikoa mitano ccm wakatetemeka Je itakuweje pindi watakapo fikisha mikoa kumi na tano?
 
G Lema anasema ye anasimamia ukombozi kwa iyo anapokuwa ktk harakati hajui kama atarudi . Kwani hatuwezi kuepuka mateso na vitisho ktk kuleta ukombozi . Pia kama ccm itapitisha huo mswada ye ataongoza maandamao mkoa wa Dodoma.
 
Wanachuo wamesema wanashida na hela ktk kuchangia tawi yeye akasema ayuko tayari kuchangia sababu TATIZO SIO ELA NI KUWA NA STRATEGIC so amewaomba wajichangishe kupitia simu kwani kuna wanachama zaidi ya elfu nane kama watachangie mia tano kwa mwezi watapata hela za kuendesha tawi kwa wale wazalendo watakao jitolea kwa mapenzi yao ya dhati ya chama. Its only purpose and dream vitakavyoleta maendeleo.
 
Heko CDM na UDOM! siku zote vijana huwa nawaambia "Vuguvugu la mabadiliko ya kiuchumi katika nchi yeyote ile duniani huanzia vyuo vikuu, hii ni ishara tosha kabisa ya dalili njema zijazo hata kama gharama yake itakuwa kubwa, lakini watakaobaki watakuwa mashahidi na watasema nani alikuwa anavuruga nchi yetu.
Jana wanafunzi wa south korea rafiki yangu kaniambia, wameazimisha kukumbuka mauaji ya wanafunzi waliokuwa wakipigania taifa lao dhidi utawala dhalimu wa kibabe, na walikuwa ndo viongozi wakuu wa mbele kukomboa taifa lao. Big up UDOM.
 
G Lema akamtwanga swali Wasira je ungependa watoto wako waongozwe na chadema uku kukiwa na haki na amani ama mafisadi huku kukiwa na unyonyaji mkubwa? Wasira akashindwa kujibu!
 
Lema ni mwanaharakati wa kweli na afanyi kwa sifa bali anaonyesha ana chembe za fikra za kweli za kulikomboa taifa kutoka kwa wendawazimu wasiosoma alama za nyakati! Wangeoma wasingelileta limuswada feki
 
G Lema anasema watu watumie Change of the Fingers kwa ku2mia JAMIIFORUMS, FACEBOOK na mengineo kupiga vita vyombo vya habari vinavyochakachua habari za ukombozi kama TBC1, HABARI LEO, UHURU na mengineo.
 
Kuna bibi mzee sana amerudisha kadi ya ccm na babu yaani mpaka watu wameshangaa uku wakiwa na vijana wengi sana wakirudisha kadi.
 
Mwaka 2015 CCM wakifunga vyuo vyote kuwe na strategy ya CHADEMA kuhakikisha kura zinapigwa!
 
Lema ni mwanaharakati wa kweli na afanyi kwa sifa bali anaonyesha ana chembe za fikra za kweli za kulikomboa taifa kutoka kwa wendawazimu wasiosoma alama za nyakati! Wangeoma wasingelileta limuswada feki

Amechukua nafasi ya ZITTO KABWE aliyetekwa na CCM!
 
Mwanzo CCM waliweza kuwalaghai vijana wa udom na ndo chuo pekee kilichokuwa kimesalia mikononi mwake ..sasa udom kurudi kundini inahitimisha msumari wa mwisho kwenye jeneza la Ccm kutoka vyuoni, ...CCM you have no more,HONGERENI UDOM Tanzanians are Proud of you, welcome back Sons & Daughtes!
 
Back
Top Bottom