Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,690
- 140,369
chadema kanda zote ni wafuasi wa zito kasoro misukule ya kaskazini tu
ivi wapumbavu wa kudumu kama wewe,mdhenge mkubwa,unaweza kuniambia nini mimi
chadema kanda zote ni wafuasi wa zito kasoro misukule ya kaskazini tu
CHADEMA mmekwisha!!!!
Afadhali nyie wenye kimbelembele mtashika adabu....
Tulionya mapema kwa watu wenye upeo mdogo wa akili na fikra kama wewe kujipenyeza CHAMANI ukiwa huna wadhifa wowote kwakua tu unatumika kwa shughuli binafsi za Dr. SLaa.... umeshabikia fitina bila kujua mwisho wake.....
CDM ndo bye bye kijana ukitaka DATA sema upewe ni ujinga mkubwa kuingia kwenye pambano bila maandalizi kamwe huwezi shinda vitani ukiwa unapambana na maadui wawili kwa wakati mmoja ndo maana sasa hivi mmerudi nyuma kwa akina SITTA wa CCM mkionesha hakuna Tumaini Tena...
Ha ha ha ha ha ha MOVIE!! inaendelea JAWABU kamili mtalipata kwenye uchaguzi wa vijiji/mitaa na vitongoji
POOR CHADEMA..... BYE BYE CHADEMA!!!!
Chagadema hiyo bana na mambo yake ya giza
CDM kwishney!!!
Hizo ndoto hujaanza wewe kuota, kamuulize Wassira, Vipi stori ya Jehanam imefika episode ya ngapi.!?
Zitto ni ngumi jiwe, mnahangaika naye wakati yeye anahangaika na ujenzi wa nchi. Machadema ni vichwa maji kweli
ubaguzi unaweza kuniambia wale madiwani wanne wa arusha walikuwa kabila gani na dini gani...chadema ukizingua hakuna cha uchaga wala ukaskazini tunakung'oa..
Kwa heshima aliyoacha Bob Makani ndani ya chama,Chadema_ Shinyanga itakua imara na haitayumbishwa na hawa wasaliti ndani ya chama.
Nadhani mngetumia time yenu vizuri kushauri CCM juu ya Lowasa,ya Chadema hayatawasaidia
Padre slaa ana kadi hai ya ccm, na anailipia michango
Wacha akina mbowe wale mapesa misukule isubiri ukombozi teh teh teh !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
!!!!
Umenifanya nilale kwa amani mkuu
Mkuu chadema inachekesha kweli sijui ni kwa nini inawatu wasiojitambua kiasi hiki.Hayatusaidii eti... mnakesha usiku na mchana kuomba SITTA awe mwenyekiti wa Bunge nyie kama chama hamna watu huko? teh teh teh mwenzenu Mungi jana amekiri ni Lowassa tu aweza izika CCM hii inamaanisha akina Mboe wanapiga deal za pesa tu hawana lingine..
POOR CHADEMA!!!!!
Kweli kabisa na ataijenga sana nchi huko mahakamani akitoka tu tunakula kichwa ili mlie vizuri mapopo wenzie.
Kweli kabisa na ataijenga sana nchi huko mahakamani akitoka tu tunakula kichwa ili mlie vizuri mapopo wenzie.
Ina maana mtaweza kuutoa uchafu hata kama uchafu wenyewe ni Slaa?Tutawashughulikia iwe mchana ama usiku, lazima kila uchafu utoke ndani ya chadema. Wasafi tu ndio tutaiona pepo na kuiishi nchi ya ahadi
Tupo kwenye mada hii kuleta mada za majukwaa mengine ni kukwepa nguvu ya hoja...
Episode ya jehanam ifwate Jamii intelligence hapa si mahali pake....
Mkatae mkubali CDM inakufa tena kifo cha mende ishara kuu mmeipata kwenye uchaguzi wa madiwani...
POOR CHADEMA!!!!!!