CHADEMA kufukuza madiwani wawili Shinyanga

CHADEMA kufukuza madiwani wawili Shinyanga

Kata mti, panda miti...

Tulikata miti minne Arusha, tukapanda sita...
 
Yani hii Saccos ya Mbowe ina chekesha sana, Yani kijana Zitto ana watesa namna hii?
Yani mwana chama akijuana na Zitto tuu ni msaliti.
Hivi Mbona Ndesamburo rafiki wa Lowasa hajadiliwi?

Kwa style hii hii saccos kufika August 2015 hitakuwa na imebakiwa na kina
D slaa,Mnyika,Mbowe ,Lema,Ndesa naHalima.
 
Huu ni mwendelezo wa dhambi ya ubaguzi ambayo imekuwa ndiyo msingi wa utendaji wa baadhi ya viongozi wa CHADEMA

Mtafukuza wangapi?.

Hakuna dhambi kubwa na mbaya kama ubaguzi kwa misingi yoyote ile ya kibinadamu.

Neno usaliti mtalitumia sana lakini mkumbuke dhambi ya ubaguzi haitawaacha salama kisiasa.

Muda hutoa majibu na katika muda hou, mtayafahamu matokeo ya dhambi ya ubaguzi mnaoufanya kwa baadhi ya Watanzania wapenda demokrasia ya hoja na ukweli.
Hapo bado Profesa Safari na Baregu kufukuzwa.
 
Nimependa style ya chadema kutofumbia macho watu wasio na maadili. Kulindana kumekithiri sana vyama vingi...wananchi wamechoka. Hao madiwani njaa zao zimewafanya wawasaliti wapiga kura wao. Wapeni adabu. Ccm muige sasa maana humo ndani kuna uozo mkubwa, msijifanye kuwakebehi cdm wakati mnaungua kidogokidogo. Chama makini ni.sawa na mume makini.....hachapiwi ???
 
Huu ni mwendelezo wa dhambi ya ubaguzi ambayo imekuwa ndiyo msingi wa utendaji wa baadhi ya viongozi wa CHADEMA

Mtafukuza wangapi?.

Hakuna dhambi kubwa na mbaya kama ubaguzi kwa misingi yoyote ile ya kibinadamu.

Neno usaliti mtalitumia sana lakini mkumbuke dhambi ya ubaguzi haitawaacha salama kisiasa.

Muda hutoa majibu na katika muda hou, mtayafahamu matokeo ya dhambi ya ubaguzi mnaoufanya kwa baadhi ya Watanzania wapenda demokrasia ya hoja na ukweli.

Cdm haikai na wasaliti, we una laumu nini? mi najua inawauma sana kuona maamuz tunayochukua cdm
 
Wewe msemaukweli...hufai kuwa kiongozi. Inaonekana nyie ndo mnaongoza kupokonya haki za,watu...nimefatilia comment zako na kujifunza kuwa unatbia ya usaliti, kujipendekeza na kulaghai watu. nyie ndo ndugu wakifika kwako unasema hawa ndugu kisa ninanafasi ndo kuja bila hodi.......ubinafsi wa mawazo na kutokomaa kisiasa.
 
Mmmmh hiki chama hiki kinafurahisha, haya mgambo endeleeni kufukuzana tu huku wapinzani wenu wakizidi kujiimarisha
 
Hii ndio sifa ya chama kinachotakiwa kutawala nchi, ukigundulika unahujumu uchumi wanchi sheria inachukua mkondo wake, sio mambo ya kusema majangili au wauza unga wanajulikana huku hamna hatua zozote zinazochukuliwa dhidi ya wahusika. Hongereni chdm mnaonyesha dira safi
 
ccm kazi yao nikuimba tu nyimbo za mipasho na ngonjera huku nchi inadidimia. Maneno na mipango mingi with no action
 
Chadema ipo makini sana mpaka raha, ninafuraha sana kuwa kwenye chama hiki, kuona kila aina ya mamluki wakipukutishwa.
 
Yani hii Saccos ya Mbowe ina chekesha sana, Yani kijana Zitto ana watesa namna hii?
Yani mwana chama akijuana na Zitto tuu ni msaliti.
Hivi Mbona Ndesamburo rafiki wa Lowasa hajadiliwi?

Kwa style hii hii saccos kufika August 2015 hitakuwa na imebakiwa na kina
D slaa,Mnyika,Mbowe ,Lema,Ndesa naHalima.


Naona unaota sasa, ndivyo ulivyokuwa unawaza namna hiyo? Kamwe haiwezi kuwa. Unataka kumlinganisha mwanachama wa mahakama na makamanda? Kamanda waukweli huwa hakimbii mapambano.

Tutamshughulikia yeyote yule popote pale atakayejaribu kucheza na mboni ya watanzania(Chadema) ni heri chadema ikafa leo ikiwa na inasimamia ukweli kuliko kuishi ikiwa inakumbatia uchafu kama ZZK, huku tunakuflash tunasongambele kwa mbele.

Ni heri vile vile kuwa na saccos yenye kuheshimika kuliko kuwa na danguro la wezi wa mali ya umma.
 
hata siku moja timua timua ya cdm haijawahi kuwa breaking newz kwa kuwa ni jambo linalojirudia kilasiiku .ndani ya saa 24 kuna watu 5 au sita wanafukuzwa cdm
 
Kama Seba atafukuzwa Rahel Mashishanga siku zake na yeye zinahesabika..... Hivi CDM wanajua kazi anayopiga Seba kwa wananchi wa Ngokolo??? au sababu tu katofautiana mawazo na wahafidhina, kutofautiana ideas kupo hatuwezi kuwa uniform katika fikra... Masekelo CDM ilitetea coz wananchi walimuenzi Shilembi na wote tunajua what Shilembi stands for... lkn yote hii ni fault yenu na siku si nyingi tutaheshimiana endekezeni tu uhafidhina
 
Back
Top Bottom